Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Ipo siku wakristo watakuwa wanateseka ndani ya Tanzania imeshaanza Zanzibar na mamlaka zimefumbia macho
 
Mimi naona waislam wangeishia kuwa wajinga tu ingetosha.....ila ujinga + unafiki???? Aaah it's too much aisee
 
Tatizo Ni moja hao watu huwa Wana plans za kuvuruga tamaduni zilizopo...athari za hao Ni long-term effects......Nina mifano mingi hasa nyumbani,,,hapo watajenga na bar,guests kumbi za miziki na kutoa misada ya kukufurisha waislamu
Unataka kuniambia hayo machoko yaliyojaa zenji..ubakaji wawatoto wadogo ndio tamaduni zenu za asili.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Ninakadhia ya kuishi na hao jamaa karibu kwhy siungi mkono mkristo kutoka Mara aje kunijengea Mimi kanisa Mtwara ....kila watu na tamaduni zao kwhy tusiingiliane...
 
Unataka kuniambia hayo machoko yaliyojaa zenji..ubakaji wawatoto wadogo ndio tamaduni zenu za asili.?

#MaendeleoHayanaChama
Usihusianishe uovu wa mtu na Imani yake anaweza kuitwa Musa lkn akawa Ni kufar...kule Moshi mchungaji kafanya yake kwa mabinti zaidi ya 10 Tena mtu mmoja
 
Kwahiyo kanisani wanaubili maovu?
Naam na ndio maana ulaya na America na popote palipo makanisa ndipo kwenye viwango vikubwa vya Mambo Kama uzinzi,ujambazi,,madawa ya kulevya,wizi,dhuluma,ukimwi,ulevi na kila Aina ya mabaya
Njoo hata hapa Tanzania,mikoa yenye makanisa mengi Kama Mbeya,Njombe,Arusha, Kilimanjaro n.k ndiyo yenye viwango vikubwa vya cases za mauaji,Ubakaji, Ujambazi,Ukimwi,uchuna ngozi,uchawi,wizi, dhuluma na mengineyo
 
Unataka kuniambia hayo machoko yaliyojaa zenji..ubakaji wawatoto wadogo ndio tamaduni zenu za asili.?

#MaendeleoHayanaChama
Mmomonyoko wa maadili na maovu mengi yanayotokea Zanzibar offcourse ni kwa sababu ya external forces,hivi huoni kiwango Cha wageni wanaoingia kutalii kule? Hivi hujaona tofauti ya sehemu zisizotembelewa na idadi kubwa ya wageni na zile zinazotembelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…