Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu


Kwahiyo Assalafiyun ndio dheheb pekee sahihi? Ibadhi, Sunni n.k ni wamotoni??
 
Mtaongea sana, adhana itaendelea kama kawaida,,,, sasa ajifanye mtu kuzuia, atakipata akitakacho na huko ataenda kusimulia
Kwamba unatangaza amani huku umeficha mapanga..dini ya hakhi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nyie mbwa hizi spekaker mmezikuta huku mitaani na mtaziacha. Na hakuna cha kutoa spekaker misikitini. Kama hamtaki kusikia adhana nendeni mkaishi mbali na misikiti mbuzi nyie
Ndio mafunzo yenu makubwa kutukana...uwezo wa kujibu hoja hamnaga.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hizo Adhana ndio zinakusaidia kuwahi kukiamsha ili uende kwenye Shughuli zako.
 
Ndugu yangu, unajua Bid'aa ni nini kwanza kishari'ah ?

Unachokisema ni sawa na kusema kwenda Hijja na Ndege ni Bid'aa. Hujaelewa maana ya Bid'aa Kishari'ah.
 
Vipi Bro nawe ushakuwa kama wale wa Mungu kaniotesha usiku wa jana sio

Au unahisi kila jambo lina taratibu za kujiamulia tu.
 
Hizi simu za wazungu?
Elimu dunia hiyo hatuitaki
Najua umeandika kutukejeli Waislam ila fahamu Adhana ni jambo la Kishari'ah. Sio kwamba wakati ule labda Adhana ilikuwa ni ubunifu fulani hivi wa kiteknolojia, la, bali hiyo ni Ibada iliyowekwa Kishari'ah.

Na kuhusu "Elimu Dunia"; Uislam haukatazi kusoma "Elimu Dunia" wala kutumia teknolojia za kisasa. Itoshe tu kusema hivyo kwa sasa.
 
Wairan washia saudia wasunni...watapatanaje mkuu?
 
Nitajie DHEHEBU la mtume muhammad.kati ya haya tuliojipa waislam
Mpaka hapa naona upo mbali na watu wenye elimu
Epuka kua mbishi mpaka jina lako ilo likakusadifu kua ni kweli
 
Nini maana bid'aa?
 
Mimi sina tatizo,ongezeni sauti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…