DuuhBakwata na wadogo zenu uvccm mna usenge mwingi sana
AsanteeeHuna akili! Kwaiyo Saudia ndio waislam? Uislam wa Saudia umesaidia nini kwa mataifa ya waislam wenzao?
Uislam naanza kuhisi hauhitajiki duniani!?Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende.
Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni alama ya uislam utapotea.
Saudia, Quwait, baharain na Qatar viongozi wao tayari nchi zao washazikabidhi kwa Israel na marekani. Amebaki Iran peke yake ambao ndio kikwazo kwao.
Masharti dhidi ya Iran
1. Wasiwe na nyuklia lkn Isreal na marekani wao wazidishe uzalishaji wa nyuklia
2. Wasiwe na silaha, lkn Isreal wao waongeze uzalishaji wa silaha.
3. Wasiwaunge mkono washirika wao lkn Isreal yeye aongeze idadi ya washirika wao.
Masharti haya hata mtoto mdogo hayakubali
Hongera Papa kwa kusema ukweli. Tunategemea TEC kupitia kitima na wao watatoa kauli kuunga mkono kiongozi wao dini
mkristo gani uko shallow namna hii kuhusu kubondwa kwa iran?Mkuu swala la Iran si la kidini , ni la haki ya kila mtu anayependa usawa.
Hata mimi Mkristo nawaombea Iran dhidi ya ubabe wa Marekani na Israel.
Na wala sitetei uhayawani wa Israel kuua watoto wadogo Gaza na Lebanon.
Trump na Netanyahu ni maajenti wa Ibilisi
Wacha story leta wapi makosa yao ili tuone kama kweli ulisemalo ni kweliHujui ulisemalo wewe
Kausome ushia ata kidogo hlf ndo uje kuongea haya unayoyaongea
Nguzo upi walio ikataa hebu tuonyesheJe Muislamu akiikataa nguzo moja tu katika Uislamu huyu tunamuhesabu vipi?
I don't agree with you, Sunni Muslims do not think that Shias are non Muslims there some groups who claim to follow Salafi interpretation and it's mainly them who as a result of their extreme form of interpretation consider all Shias to be Non Muslim.Adiosamigo
The position taken by the majority of Sunni scholars states that Shias are muslim so long as they don't take part in shrik or beliefs that go against the Quran. And this is applied with other Sunni groups as well. Jalibu kufatilia yaliyo andikwa humu alafu utoe mrejesho✍️✍🏼
Mpogoro unajifanya kobazi kuliko mwarabu 😁😂Hivi ww unadhani mashia ni waislamu?
Mashia ni wabaya zaidi kuliko hawa tunowaita makafiri
Hhhhhhhhhh ety unajiita muislamu hlf huamini hadithi za bukhari dah maibadhi mna tabu sanaaa anyway sipo kwa lengo la kubishana ila muombe Allah akujaalie uijue nuru nzuri ya Uislamu utatoka tu huko ulipo bila ya kushinikizwaI don't agree with you, Sunni Muslims do not think that Shias are non Muslims there some groups who claim to follow Salafi interpretation and it's mainly them who as a result of their extreme form of interpretation consider all Shias to be Non Muslim.
The fact is that in Hajji and Umrah, all Muslims gather including Shias. Calling Shias non Muslims is like saying that Hajji and Umrah is being done by Non Muslims which is obviously incorrect.
Mimi sikubaliani na hadithi nyingi za Bukhari nikubaliane na point zilizo andikwa na anaye tofautisha Waislamu kwanza wapi Qur'an inaruhusu kusema wewe Sunni na Wale Shia Qur'an yenyewe strictly forbids dividing the religion into sects afu wewe ujidai 💯 Muslim acheni ujinga wa kusema Shia sio Muslim tofauti hata kwa wakristo zipo kati ya orthodox na Catholic hio ni sunnat al hayaa lakini sio we Salaf ujione uko sawa wakati wewe nwenye una makosa.
Waulize mashia mtume wao ni nani halafu njoo unijibuNguzo upi walio ikataa hebu tuonyeshe
Waulize mashia mtume wao ni nani halafu njoo unijibuNguzo upi walio ikataa hebu tuonyeshe
Njoo na hoja ndugu mm ni mshirazi na asili ya washirazi wanatoka iraniMpogoro unajifanya kobazi kuliko mwarabu 😁😂
Libya nayo ilikua namatatizo gani mbona hao ulowataja pia hawakuwahi kuisapotiNa mbona nchi za kiislam mfano Saudi Arabia ambako kuna Maccah na Madina haziungi mkono Iran waislam wenzao...kwann??
Hadi imevunja uhusiano wa kibalozi na Iran.
Iran ina matatizo Sheakh, kwann inasapoti makundi ya kigaidi kama Hezbullah na Huth??
Inaelekea una Imani ya kijinga.mkristo gani uko shallow namna hii kuhusu kubondwa kwa iran?
kosa lako unajinasibu ni mkristo, bora ungejinasibu ni mpagani, huna dini, ni kafiri ungeeleweka vemaInaelekea una Imani ya kijinga.
Umeona pale zikirushwa Biblia au Qoran?
Sasa hilo linakusumbua?kosa lako unajinasibu ni mkristo, bora ungejinasibu ni mpagani, huna dini, ni kafiri ungeeleweka vema
Unataka tulazimishwe kuvaa vilemba na kufuga madevu? Iran anatakiwa kurudishwa mikononi kwa Shaha na awe disarmed, Iran ni tishio kwa kila mtu.Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende.
Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni alama ya uislam utapotea.
Saudia, Quwait, baharain na Qatar viongozi wao tayari nchi zao washazikabidhi kwa Israel na marekani. Amebaki Iran peke yake ambao ndio kikwazo kwao.
Masharti dhidi ya Iran
1. Wasiwe na nyuklia lkn Isreal na marekani wao wazidishe uzalishaji wa nyuklia
2. Wasiwe na silaha, lkn Isreal wao waongeze uzalishaji wa silaha.
3. Wasiwaunge mkono washirika wao lkn Isreal yeye aongeze idadi ya washirika wao.
Masharti haya hata mtoto mdogo hayakubali
Hongera Papa kwa kusema ukweli. Tunategemea TEC kupitia kitima na wao watatoa kauli kuunga mkono kiongozi wao dini