Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"

Quran 15:26 haipo katika Quaran unayotumia . Je, huo wingi haupo?
Nini cha uongo hapo?
Hii si yako ni jibu la wenzako.Nachotaka kufaham kutoka kwako kama Mohammad (saw) alicopy bible je bibile imeandika kuhusu jua kuzunguka au mwezi kupasuka au mme mmoja wake zaid ya mmoja.

Qur-an inasema "Jua linazunguka.." wanasanyansi walibisha but now wamethibitisha jua linazunguka.. je ukristo unasemaje?


Mwez ulipasuka katikat kipindi cha mtume Mohammad (saw) .wanasayansi wamethibitisha hiv juz..Ukristo unasemaje kuhus mwez?


Uislam umesema mme mmoja wake zaid ya mmoja.Takwimu zinaonesha wanawake ni weng kuliko wanaume means uislam unasema kweli...vip ukristo unasemaje kuhusu mme na mke. Kama ni ratio ya 1:1 vip hili kundi la wanawake litakalo baki hali ya kuwa zinaa ni dhambi?
 

Ushapata jogoo wa kuchinja kesho??
 
Mwamba kwenye swala la mwanaume mmoja kuoa wake zaidi ya mmoja hilo halipo mzee... imagine Tanzania wanaume ni 30m wanawake ni 31m hapo hata ukisema mwanaume mmoja aoe mke mmoja na robo wanawake wataisha na wanaume wengi hawatapata mke sembuse wake wanne? Hivi watu 60m ukitaka ratio ya mume mmoja wake wawili inabidi iweje? Inabidi wanaume tuwe 20m wanawake 40m, vipi tukitaka tuoe 3,4 unajua itakuwaje? Kuoa wake 2,3,4 sio agizo la Mungu, acha uzinzi.

_Wanasayansi gani wamethibitisha kwamba jua linazunguka?

_hilo la mwezi kupasuka point yako ni nini mzee! Kukopi sio lazima aandike yote ni wazi kwamba ataingiza na yake
 
Maisha yalivo magumu mi sitaki hata kusikia Kuna watanzania wanagombana kisa dini za wakoloni ilihali za kwao ziliwashinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Mwenyezi Mungu Mtukufu anajitukuza kwa utukufu wake ndipo anaongea kwa uwingi mbona jambo hilo liko wazi sana?
Kisha anaposema "Tuumbe" utatu unatoka wapi?
kwanini isiwe uwili au utano na ukumi?
 
Kila siku tunawajibu hilo neno la wingi lililotumika kwenye Quran ,sijui hamtunzi kumbukumbu
 
Kila siku tunawajibu hilo neno la wingi lililotumika kwenye Quran ,sijui hamtunzi kumbukumbu
Kwa hiyo MUNGU ametumia verse zote kwenye kuran katika wingi yaani We/tu-
Na nikuonesha ametumia I am
 
Hilo ni Likitabu La ibilisi.

Shetani + Roman + Mapepo + Mohamed + Majini = Quran...islamic
Phycological mtu anetukana hovyo hovyo kwenye mjadala huyo automatically Hana la kuongea(hoja)

Lakini Nafurahi kukuona unalia
 
Unajua umoja na wingi?
Nimesema
Tumesema.
Huwezi kutumia wingi kuonesha ukubwa wake. Hapo bado haujanishawishi.
Tumemuumba mtu kwa mfano wetu. Hapa unasema alikuwa peke yake.
Biblia ndiyo ipo sawa 100%
 
Vipi na pale jua kuzama kwenye matope!?
 
Nenda google halafu search MAJESTIC "WE"... halafu uache ujinga.
 
Ongezeni likes hapa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Uwe unaelewa kaka mme mmoja kwa wake zaid ya mmoja sio lazima.Means wapo watakaooa 1,2,3,4,so usichukulie hili jambo ni lazim [emoji2357][emoji2357][emoji848].SAS ikiwa ni ajabu mume mmoja kuoa wake zaid ya mmoja,kwa takwimu hizi za 30m na 31m itabid 1m ya wanawake wakose kuolewa,dini zonasema zinaa ni dhambi. Hao 1m service watapata wap [emoji2369]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…