Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"


 
Mtoa mada unajiskiaje ukigoogle unaambiwa uislamu ndiyo dini inayokuwa kwa haraka hapa duniani?? Et watu zaidi ya bilioni moja hyo aya hawajaielewa ila wewe ndiye uliyeelewa?? Marekani pekee watu 25,000 kila mwaka wanakuwa waislamu baada ya wao wenyewe kuisoma quran na kuielewa,na duniani kwa ujumla ni zaidi ya watu 75,000 wanajiunga na uislamu.mambo ya WE tulishayatolea ufafanuzi zamani kuwa ni "plural of respect" Mungu ni mmoja na hana mshirika
 
Kwahiyo Mungu alishindwa kuumba pekeyako Hadi ashirikiane na Malaika
 
Dini yoyote haijawahi kosa jibu la kujitetea. Ni kufuatilia upepo na kujichosha kujaribu kukosoa dini yoyote. Umewahi sikia juu ya Royal we?
 
wakati Yesu yuko tumboni kwa mama yake je Mariamu alikuwa anamuabudu nani?
 
Acha uongo. Ingekuwa ni hivyo kweli ungekuta marekani ishakuwa dola ya kiislamu zamani.
 
Hivi mama Samia anapo sema watanzania wamenituma niwape Salam hua tumempa Salam kweli au ni kutaka kutuwakilisha lakini Salam hua ni yake yeye kama yeye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…