Mnyama Q
JF-Expert Member
- Jun 15, 2019
- 453
- 510
Serkal huvunja pale ambapo taasisi za dini zmekatwa kuvunjaNdio Sheria ya nchi
Cheti Cha ndoa ni Cha serekali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serkal huvunja pale ambapo taasisi za dini zmekatwa kuvunjaNdio Sheria ya nchi
Cheti Cha ndoa ni Cha serekali
Hakuna taasisi inavunja ndoa ni mahakama tu , Kuna ma Baraza ambayo ndio hizo dini wanakaa wanatuo mapendekezo , kesi inaweza ishia kwao ila hawana mamlaka ya kuvunja ndoaSerkal huvunja pale ambapo taasisi za dini zmekatwa kuvunja
Hii umeitoa wapi mkuu? Au ndio zile stori za kukaririshwa na katekista? Ila mbona wakristo wanaongoza kwa kukutwa na makini kule kwa mwamposa?Sisi tunachoshukuru atufugi majini wala hatutumii majini waislam na majini ni baba mmoja mama moja[emoji1787][emoji1787]
Uislam kwetu ndoa inavunjwa bila hata serikaliHakuna taasisi inavunja ndoa ni mahakama tu , Kuna ma Baraza ambayo ndio hizo dini wanakaa wanatuo mapendekezo , kesi inaweza ishia kwao ila hawana mamlaka ya kuvunja ndoa
Haitambuliki hiyo talaka kisheria ,Uislam kwetu ndoa inavunjwa bila hata serikali
Kuna sehemu jamaa alifariki alfajiri saa 7 wakawa wanaenda kumzika walipokuwa wanamfukia akapiga chafya watu mbioNdugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.
Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.
Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.
Mahari zenyewe ni kawaida tu si kama huku kwetu, wanachojali wao ni watu waowane na ndio maana ni ngumu sana kukuta jamii nyingi za Waislamu wanaishi pamoja bila ndoa.
Muhammad aliweka wazi ndugu wa waislamu ni majini wanaitana kakaHii umeitoa wapi mkuu? Au ndio zile stori za kukaririshwa na katekista? Ila mbona wakristo wanaongoza kwa kukutwa na makini kule kwa mwamposa?
Muhammad anasema kila muislamu ana jiniHii umeitoa wapi mkuu? Au ndio zile stori za kukaririshwa na katekista? Ila mbona wakristo wanaongoza kwa kukutwa na makini kule kwa mwamposa?
Ndo zinavunja kwanini ndoa za Kiislam znamalizwa easy tu na talaka bila kwenda mahakamani? Nakwanini ndoa za Kikristu hazivunjwi(zilizo nyingi) na mahakama unayosema?Hakuna taasisi inavunja ndoa ni mahakama tu , Kuna ma Baraza ambayo ndio hizo dini wanakaa wanatuo mapendekezo , kesi inaweza ishia kwao ila hawana mamlaka ya kuvunja ndoa
Swala la kuowa lilianza kwa Adam alivyokabiziwa mke na mungu, Mwanzo 1:28Yesu hakuowa Hawa wakristo wa Sasa sheria ya ndoa wameitowa wapi
Hiyo milioni 3 siyo kesi kwa sababu unaweza kutoa elfu 50 tu kati ya milioni 3 na unakabidhiwa mke na wewe utaendelea kulipa kiasi kilichobaki kidogokidogo ukiwa ndani ya ndoa.Kuna binti wa kiislamu kaolewa Kwa mahali ya milioni 3 niliona mwenyewe karatasi la makubaliano sheikh Katia na mhuri
Kwani mnabishana nini?Suala lipo wazi kwamba ni lazima aolewe kwanza na mwanaume mwingine na pipe itembee kama hadithi inavyoonesha.Ukimuacha mwanamke , ata kama ni ndani ya mwezi mkataka kurudiana lazima aolewe na apigwe pipe
Muhammad alilisitiza apigwe pipe maana kuna icho kisa huyo mama alifanya ujanja kuolewa alafu akataka talaka haraka ili arudi kwa mume wake wa mwanzo maana sheria ndio ilivyosema aolewe kwanza alafu ndio aachike alafu arudi kwa mume wa mwanzo
Muhammad akasisitize pipe kwanza ndio arudi
..."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Wewe tatizo lako ni lipi ikiwa sheria hii imewekwa ili kulinda maslahi ya kuzuia watu kuachana kiholela tu?.Lazima pipe apigwe ndio unaweza kumrudia
Yani talaka anapewa mwanamke na adhabu juu ya kupigwa pipe na mwanaume mwingine ata kama alikuwa bado anampenda mume wake
Kisa cha huyo mama kinafikirisha sana alikuwa anataka arudi kwa mume wake ila akaambiwa hakuna kitu kama hicho lazima achezee pipe kwanza
.."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Sheria hiyo inafanya kazi kwa muachano wa mara ya 3 tu.Lakini ukiacha mara ya kwanza hakuna sharti hilo,ukiacha mara ya pili bado hakuna sharti hilo,ila sasa ukiacha kwa mara ya 3 kwa mwanamke huyo huyo,basi ni lazima sharti la mwanamke huyo kuolewa kwanza na mwanaume mwingine kwa maana halisi ya ndoa yaani lipatikane na tendo la ndoa baina yao.Sasa ikitokea akaachika tena huko,basi aliyekuwa mume wake wa awali ataruhusiwa kumuoa tena.Kuwa makini hasira zako ukija kuacha mke , lazima akapigwe pipe kwanza ndio mrudiane
Kumbuka pia Muhammad kasema
Ukimfumania mke, Muhammad anasema waombe waendelee ukatafute mashahidi wafike wa4 [emoji23] [emoji1787]
Hadith That Sa'd b. 'Ubadah said to the Messenger of Allah (ﷺ) : What do you think if I find with my wife a man ; should I give him some time until I bring four witnesses ?" He said: "Yes". Sunan Abi Dawud 4533 ,
Kinyume cha apo fumania yako haikubaliki
Siyo mahari tu,hata Ndoa hawana.Sidhani kama wakristo kwa upande wa dini Wana mahari nafikiri maharishi ni suala la familia husika ya mwanamke na ukristo hausiani na hilo
Ni baada ya kufanya ujinga wake huo wa kuachikaachika mara ngapi?.Wakristo hakuna drama ukioa umeoa
Huyo mama alikuwa anatimiza sheria kandamizi zidi ya wanawake inayomlazimisha kuolewa alafu ndio arudi kwa mume wake wa mwanzo apende asipende , ndipo akatumia unjanja kutaka aolewe tu ilmradi apate chance ya kurudi kwa mume wake , balaa lake ndio hiyo Muhammad akasema sio kuolewa tu mpaka apigwe pipe ndio ataweza kurudiana na mume wa mwanzo
nimependa .....na nili nalo mkaliangalie-styupidi 😃Siku zote huwa nasema kuwa, Wakristo ni njia nyembamba inayoonwa na kupitwa na wachache, wengi wenu mma majina ya Kikristo au mnaupenda Ukristo au mmerithishwa Ukristo au na Mashabikintu na wapenzi wa Ukristo lakini kamwe si Wakristo na hamjawahi kuwa.
Ni wapi katika Ukristo mliapangiwa au mlifundishwa kiasi cha mahari mnachotakiwa kutoa? Ni wapi mlifundishwa mfanye sherehe kubwa za kufahari?
Ni wapi mlifundishwa kufanya misiba na maziko ya kifahari?
Watu mnajiamulia wenyewe kuishi mifumo yenu ya kimaisha halafu mnasingizia dini.
Mbona Wakristo wa huko Ulaya, Marekani na kwingineko nje ya Afrika hawafanyi mambo ya ndoa na maziko kifahari? Wengine hata mahari hazitolewi?
Mfumo wa ufungishaji ndoa wa bomani ulitumiwa ma wakoloni wakiuleta kutoka huko kwao. Mbona ndoa za Bomani leo hii huwa hatuzioni zikiwa na hizi mbwembwe?
Mkubali tu kwamba wengi huwa mnajidhania kuwa ni Wakristo ila kiuhalisia mpo nje kabisa ya Ukristo.
Ukristo unapaswa uutafute, unakuhitaji ujikane kweli, sasa dini inayokutaka ujikane na uichague yenyewe dhidi ya mali itakufundishaje kuishi maisha ya kifahari? Kwa uwezo na mali zipi ulizo nazo?