Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Serkal huvunja pale ambapo taasisi za dini zmekatwa kuvunja
Hakuna taasisi inavunja ndoa ni mahakama tu , Kuna ma Baraza ambayo ndio hizo dini wanakaa wanatuo mapendekezo , kesi inaweza ishia kwao ila hawana mamlaka ya kuvunja ndoa
 
Sisi tunachoshukuru atufugi majini wala hatutumii majini waislam na majini ni baba mmoja mama moja[emoji1787][emoji1787]
Hii umeitoa wapi mkuu? Au ndio zile stori za kukaririshwa na katekista? Ila mbona wakristo wanaongoza kwa kukutwa na makini kule kwa mwamposa?
 
Hakuna taasisi inavunja ndoa ni mahakama tu , Kuna ma Baraza ambayo ndio hizo dini wanakaa wanatuo mapendekezo , kesi inaweza ishia kwao ila hawana mamlaka ya kuvunja ndoa
Uislam kwetu ndoa inavunjwa bila hata serikali
 
Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.

Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.

Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.

Mahari zenyewe ni kawaida tu si kama huku kwetu, wanachojali wao ni watu waowane na ndio maana ni ngumu sana kukuta jamii nyingi za Waislamu wanaishi pamoja bila ndoa.
Kuna sehemu jamaa alifariki alfajiri saa 7 wakawa wanaenda kumzika walipokuwa wanamfukia akapiga chafya watu mbio
 
Hii umeitoa wapi mkuu? Au ndio zile stori za kukaririshwa na katekista? Ila mbona wakristo wanaongoza kwa kukutwa na makini kule kwa mwamposa?
Muhammad aliweka wazi ndugu wa waislamu ni majini wanaitana kaka

Jami` at-Tirmidhi 18

Abdullah bin Mas'ud narrated that :

Muhammad said: "Do not perform Istinja, with dung, nor with bones. For indeed it is provisions for your brothers among the Jinn."
 
Hii umeitoa wapi mkuu? Au ndio zile stori za kukaririshwa na katekista? Ila mbona wakristo wanaongoza kwa kukutwa na makini kule kwa mwamposa?
Muhammad anasema kila muislamu ana jini
, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
 
Kama mahakama
Hakuna taasisi inavunja ndoa ni mahakama tu , Kuna ma Baraza ambayo ndio hizo dini wanakaa wanatuo mapendekezo , kesi inaweza ishia kwao ila hawana mamlaka ya kuvunja ndoa
Ndo zinavunja kwanini ndoa za Kiislam znamalizwa easy tu na talaka bila kwenda mahakamani? Nakwanini ndoa za Kikristu hazivunjwi(zilizo nyingi) na mahakama unayosema?
 
Kuna binti wa kiislamu kaolewa Kwa mahali ya milioni 3 niliona mwenyewe karatasi la makubaliano sheikh Katia na mhuri
Hiyo milioni 3 siyo kesi kwa sababu unaweza kutoa elfu 50 tu kati ya milioni 3 na unakabidhiwa mke na wewe utaendelea kulipa kiasi kilichobaki kidogokidogo ukiwa ndani ya ndoa.
 
Ukimuacha mwanamke , ata kama ni ndani ya mwezi mkataka kurudiana lazima aolewe na apigwe pipe
Muhammad alilisitiza apigwe pipe maana kuna icho kisa huyo mama alifanya ujanja kuolewa alafu akataka talaka haraka ili arudi kwa mume wake wa mwanzo maana sheria ndio ilivyosema aolewe kwanza alafu ndio aachike alafu arudi kwa mume wa mwanzo

Muhammad akasisitize pipe kwanza ndio arudi
..."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kwani mnabishana nini?Suala lipo wazi kwamba ni lazima aolewe kwanza na mwanaume mwingine na pipe itembee kama hadithi inavyoonesha.
 
Lazima pipe apigwe ndio unaweza kumrudia
Yani talaka anapewa mwanamke na adhabu juu ya kupigwa pipe na mwanaume mwingine ata kama alikuwa bado anampenda mume wake
Kisa cha huyo mama kinafikirisha sana alikuwa anataka arudi kwa mume wake ila akaambiwa hakuna kitu kama hicho lazima achezee pipe kwanza
.."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Wewe tatizo lako ni lipi ikiwa sheria hii imewekwa ili kulinda maslahi ya kuzuia watu kuachana kiholela tu?.
 
Kuwa makini hasira zako ukija kuacha mke , lazima akapigwe pipe kwanza ndio mrudiane

Kumbuka pia Muhammad kasema
Ukimfumania mke, Muhammad anasema waombe waendelee ukatafute mashahidi wafike wa4 [emoji23] [emoji1787]
Hadith That Sa'd b. 'Ubadah said to the Messenger of Allah (ﷺ) : What do you think if I find with my wife a man ; should I give him some time until I bring four witnesses ?" He said: "Yes". Sunan Abi Dawud 4533 ,

Kinyume cha apo fumania yako haikubaliki
Sheria hiyo inafanya kazi kwa muachano wa mara ya 3 tu.Lakini ukiacha mara ya kwanza hakuna sharti hilo,ukiacha mara ya pili bado hakuna sharti hilo,ila sasa ukiacha kwa mara ya 3 kwa mwanamke huyo huyo,basi ni lazima sharti la mwanamke huyo kuolewa kwanza na mwanaume mwingine kwa maana halisi ya ndoa yaani lipatikane na tendo la ndoa baina yao.Sasa ikitokea akaachika tena huko,basi aliyekuwa mume wake wa awali ataruhusiwa kumuoa tena.
 
Wakristo hakuna drama ukioa umeoa

Huyo mama alikuwa anatimiza sheria kandamizi zidi ya wanawake inayomlazimisha kuolewa alafu ndio arudi kwa mume wake wa mwanzo apende asipende , ndipo akatumia unjanja kutaka aolewe tu ilmradi apate chance ya kurudi kwa mume wake , balaa lake ndio hiyo Muhammad akasema sio kuolewa tu mpaka apigwe pipe ndio ataweza kurudiana na mume wa mwanzo
Ni baada ya kufanya ujinga wake huo wa kuachikaachika mara ngapi?.
 
sisi tumewazidi vingi vikubwa na vya maana

ndoa na mazishini vitu vidogo sana na vya Duniani.
 
Siku zote huwa nasema kuwa, Wakristo ni njia nyembamba inayoonwa na kupitwa na wachache, wengi wenu mma majina ya Kikristo au mnaupenda Ukristo au mmerithishwa Ukristo au na Mashabikintu na wapenzi wa Ukristo lakini kamwe si Wakristo na hamjawahi kuwa.

Ni wapi katika Ukristo mliapangiwa au mlifundishwa kiasi cha mahari mnachotakiwa kutoa? Ni wapi mlifundishwa mfanye sherehe kubwa za kufahari?
Ni wapi mlifundishwa kufanya misiba na maziko ya kifahari?
Watu mnajiamulia wenyewe kuishi mifumo yenu ya kimaisha halafu mnasingizia dini.

Mbona Wakristo wa huko Ulaya, Marekani na kwingineko nje ya Afrika hawafanyi mambo ya ndoa na maziko kifahari? Wengine hata mahari hazitolewi?
Mfumo wa ufungishaji ndoa wa bomani ulitumiwa ma wakoloni wakiuleta kutoka huko kwao. Mbona ndoa za Bomani leo hii huwa hatuzioni zikiwa na hizi mbwembwe?

Mkubali tu kwamba wengi huwa mnajidhania kuwa ni Wakristo ila kiuhalisia mpo nje kabisa ya Ukristo.
Ukristo unapaswa uutafute, unakuhitaji ujikane kweli, sasa dini inayokutaka ujikane na uichague yenyewe dhidi ya mali itakufundishaje kuishi maisha ya kifahari? Kwa uwezo na mali zipi ulizo nazo?
nimependa .....na nili nalo mkaliangalie-styupidi 😃
 
Back
Top Bottom