Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Na ww muandikie kirumi! Hawa jamaa mbona ni ngozi nyeusi kabisa ila huku mitaani wanajikuta waarabu?
Waarabu wenyewe wanawatenga ila hawajistukii maana wakienda uarabuni hawaruhusiwi hata kwenda msikitini wanaonekana nyani tu😂😂😂
 
Ukisoma hiyo hadith utakuta ipo katika mlango huu

"Chapter: If A Man Finds A Man With His Wife, Should He Kill Him ?"

kwa maana ya kwamba "kama mtu akimfumania mkewe na mwanaume mwingine , je amuue( ajichukulie sheria mkononi)?

Hapa inaonesha jinsi gani uislam ni dini inayozingatia misingi ya haki kwa mwanadamu! Mtume (peace be upon him) alimjibu huyo sswahaba kuwa asimuume bali avute subira mpaka awalete mashahidi wanne?

Hii inaonesha jinsi gani uislam unazingatia misingi ya sheria ili kuondoa matendo ya umwagaji damu bila ya haki.
Acha takiya wewe , Ushahidi wa uzinzi ni watu wa nne tena wakiwa wameona pipe ikiingia, ndio maana jamaa akamuuliza Muhammad Je akimkuta mke wake na mwanaume mwingine awape mda mpaka akatafute mashahidi wa nne Muhammad akamjibu NDIYO

Hadith That Sa'd b. 'Ubadah said to the Messenger of Allah (ﷺ) : What do you think if I find with my wife a man ; should I give him some time until I bring four witnesses ?" He said: "Yes". Sunan Abi Dawud 4533 ,
 
Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.

Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.

Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.

Mahari zenyewe ni kawaida tu si kama huku kwetu, wanachojali wao ni watu waowane na ndio maana ni ngumu sana kukuta jamii nyingi za Waislamu wanaishi pamoja bila ndoa.
Mimi ni mkristu ila waislamu wako smart kinyama,mtu mmekutana kiutu uzima unasema kufa na kuzikana.Kweli.
 
Hakuna kilichobadilika , kisa ni kile kile
Muhammad kasisitiza lazima apigwe pipe kwanza
Nimekuuliza tu je ninyi wakristo pindi mkioa wanawake huwa hamruhusiwi kuwaingilia?? Naomba unijibu
 
Ukisoma hiyo hadith utakuta ipo katika mlango huu

"Chapter: If A Man Finds A Man With His Wife, Should He Kill Him ?"

kwa maana ya kwamba "kama mtu akimfumania mkewe na mwanaume mwingine , je amuue( ajichukulie sheria mkononi)?

Hapa inaonesha jinsi gani uislam ni dini inayozingatia misingi ya haki kwa mwanadamu! Mtume (peace be upon him) alimjibu huyo sswahaba kuwa asimuume bali avute subira mpaka awalete mashahidi wanne?

Hii inaonesha jinsi gani uislam unazingatia misingi ya sheria ili kuondoa matendo ya umwagaji damu bila ya haki.
Ukiwaleta mashahidi wanna ndo ruksa kumuua?
 
Acha takiya wewe , Ushahidi wa uzinzi ni watu wa nne tena wakiwa wameona pipe ikiingia, ndio maana jamaa akamuuliza Muhammad Je akimkuta mke wake na mwanaume mwingine awape mda mpaka akatafute mashahidi wa nne Muhammad akamjibu NDIYO

Hadith That Sa'd b. 'Ubadah said to the Messenger of Allah (ﷺ) : What do you think if I find with my wife a man ; should I give him some time until I bring four witnesses ?" He said: "Yes". Sunan Abi Dawud 4533 ,
Ampe muda kwa maana asimuue hapo hapo? Usitake kupotosha hiyo hadith ipo katika sunan abu dawud , kitabu kinachohusu masuala ya ad-diyat (blood-wit)
 
Mmi naona cyo upande wa ndoa na maziko pekeyake hawa ndugu zetu wametupiga gepu kubwa sana hata taratibu za ibada ..... huwezi sali na mwanamke karibu yake katika hali ya kawaida atakutoa kwenye reli .... kwanzia mavazi mapak mwonekano .... sisi wakristo kutoboa pepo ni ngumu sana labda tupewe nafasi ya upendeleo
 
Nimekuuliza tu je ninyi wakristo pindi mkioa wanawake huwa hamruhusiwi kuwaingilia?? Naomba unijibu
Wakristo hakuna drama ukioa umeoa

Huyo mama alikuwa anatimiza sheria kandamizi zidi ya wanawake inayomlazimisha kuolewa alafu ndio arudi kwa mume wake wa mwanzo apende asipende , ndipo akatumia unjanja kutaka aolewe tu ilmradi apate chance ya kurudi kwa mume wake , balaa lake ndio hiyo Muhammad akasema sio kuolewa tu mpaka apigwe pipe ndio ataweza kurudiana na mume wa mwanzo
 
Mimi ni mkristu ila waislamu wako smart kinyama,mtu mmekutana kiutu uzima unasema kufa na kuzikana.Kweli.
Inafanya hivi kuwafunga wale onja onja Kila siku ndoa kanisani!
 
Waarabu wenyewe wanawatenga ila hawajistukii maana wakienda uarabuni hawaruhusiwi hata kwenda msikitini wanaonekana nyani tu😂😂😂
Msahafu upo na wa lugha ya kiswahili, Kwanini msiabudu Kwa kiswahili? Ila utasikia swalama aleku sheikh au akibalu 😁😁
 
Ampe muda kwa maana asimuue hapo hapo? Usitake kupotosha hiyo hadith ipo katika sunan abu dawud , kitabu kinachohusu masuala ya ad-diyat (blood-wit)
Unataja jina la kitabu na mimi ndio nimekuwekea hadith , ulijua nimeitoa wapi?
Hadith ipo wazi soma, sheria ya uzinzi ni watu wa nne ndio utakuwa umekamata ugoni tena waone pipe ikiingia wasipo ona pipe imeingia hakuna ushahid wa kutosha , na sheria hii Muhammad aliitunga baada ya mke mtoto Aisha alikamatwa anapigwa pipe ila shahidi alie muona alikuwa mmoja
Hadith That Sa'd b. 'Ubadah said to the Messenger of Allah (ﷺ) : What do you think if I find with my wife a man ; should I give him some time until I bring four witnesses ?" He said: "Yes". Sunan Abi Dawud 4533 ,
 
Unataja jina la kitabu na mimi ndio nimekuwekea hadith , ulijua nimeitoa wapi?
Hadith ipo wazi soma, sheria ya uzinzi ni watu wa nne ndio utakuwa umekamata ugoni tena waone pipe ikiingia wasipo ona pipe imeingia hakuna ushahid wa kutosha , na sheria hii Muhammad aliitunga baada ya mke mtoto Aisha alikamatwa anapigwa pipe ila shahidi alie muona alikuwa mmoja
Hadith That Sa'd b. 'Ubadah said to the Messenger of Allah (ﷺ) : What do you think if I find with my wife a man ; should I give him some time until I bring four witnesses ?" He said: "Yes". Sunan Abi Dawud 4533 ,
Kumbe Muhammad ni mtunzi wa sharia nikafikiri ni maagizo ya Allah 😭😭
 
Ili kuepuka umalaya Allah na Muhammad walileta kitu inaitwa mutah marriage, unachukua demu kwa mda mfupi unapiga game ukimaliza Allah anasema lazima ulipie
  • Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119
 
Ndoa au mazishi ni maamuzi ya familia haina uhusiano na dini
Haya ndio matatizo yaliyofanya Nchi ikajenga hospitali maalumu pale Milembe DODOMA. Haya pitia pale chap ukapate dozi yako.
 
Ili kuepuka umalaya Allah na Muhammad walileta kitu inaitwa mutah marriage, unachukua demu kwa mda mfupi unapiga game ukimaliza Allah anasema lazima ulipie
  • Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119
Hukwenda madrasa kunusa nusa tu maandiko bali kuyaelewa!! 😄😄
 
Simu ya tsh 30,000. Haiwezi kuwa na thamani sawa na simu ya 300,000. Ukimpenda utamgharamia, na ukimgharamia UTAMTHAMINI. Ndg zetu waislamu pesa ni tatizo kubwa kwa BAADHI yao. Juzi niliona clip moja masheikh wanalalamika sadaka msikitini hazieleweki, tofauti na makanisani ambako wachungaji wanamiliki magari nk. Kuoa mtoto wa mtu kwa laki moja hiyo ni DHARAU, ndiyo maana huwa hawawathamini. Kwenye maziko, ni utaratibu tu. Wengine wanaweza kusubiri ndg, watoto wa marehemu nk.
 
Back
Top Bottom