Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Kwa nini kupigwa pipe ni muhimu , ata kama umemuacha ndani ya mwezi mkataka kurudiana lazima mwanaume mwingine achomeke pipe kwanza akimuoa bila kumpiga pipe hairuhusiwi
Kumbuka Huyu Mama aliolewa na Abdur Rahman kwa kijanja ili aachike arudiane na Rifa , Muhammad akasema hawezi kurudi kwa Rifa mpaka apigwe pipe na Abdur 🤣 🤣 pumbavu kabisa

Kisa kilicho leta hiyo Sheria
Rifa alimpa talaka mke wake badae huyu mwanamke akaolewa na adburrahman, huyu mwanamke akawa anapoke kipigo kutoka kwa abdul mpaka akawa wa kijani , akaenda kwa Muhammad kushtaki , muhammad hakujali kipigo alicho pewa ila akamwambia kama unataka kumuacha abdul urudi kwa rifa lazima abdul apige machine kwanza ndio urudi kwa mume wako wa mwanzo,
...."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari
Bado unajizungusha tu pale pale ila aya ipo wazi kwenye Quran

Al-Baqarah 2:229

ٱلطَّلَٰقُ مَرَّتَانِۖ فَإِمْسَاكٌۢ بِمَعْرُوفٍ أَوْ تَسْرِيحٌۢ بِإِحْسَٰنٍۗ وَلَا يَحِلُّ لَكُمْ أَن تَأْخُذُوا۟ مِمَّآ ءَاتَيْتُمُوهُنَّ شَيْـًٔا إِلَّآ أَن يَخَافَآ أَلَّا يُقِيمَا حُدُودَ ٱللَّهِۖ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا يُقِيمَا حُدُودَ ٱللَّهِ فَلَا جُنَاحَ عَلَيْهِمَا فِيمَا ٱفْتَدَتْ بِهِۦۗ تِلْكَ حُدُودُ ٱللَّهِ فَلَا تَعْتَدُوهَاۚ وَمَن يَتَعَدَّ حُدُودَ ٱللَّهِ فَأُو۟لَٰٓئِكَ هُمُ ٱلظَّٰلِمُونَ

Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani

T'alaka ni mara mbili. Kisha ni kukaa kwa wema au kuachana kwa vizuri. Wala si halali kwenu kuchukua chochote mlicho wapa wake zenu, ila ikiwa wote wawili wakiogopa ya kwamba hawataweza kushikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu. Basi mkiogopa kuwa hawataweza kushikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu hapo itakuwa hapana lawama ikiwa mwanamke atajikomboa. Hii ndiyo mipaka ya Mwenyezi Mungu; basi msiikiuke. Na watakao ikiuka mipaka ya Mwenyezi Mungu, hao ndio madhaalimu.

Al-Baqarah 2:230

فَإِن طَلَّقَهَا فَلَا تَحِلُّ لَهُۥ مِنۢ بَعْدُ حَتَّىٰ تَنكِحَ زَوْجًا غَيْرَهُۥۗ فَإِن طَلَّقَهَا فَلَا جُنَاحَ عَلَيْهِمَآ أَن يَتَرَاجَعَآ إِن ظَنَّآ أَن يُقِيمَا حُدُودَ ٱللَّهِۗ وَتِلْكَ حُدُودُ ٱللَّهِ يُبَيِّنُهَا لِقَوْمٍ يَعْلَمُونَ

Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani

Na kama amempa t'alaka (ya tatu) basi si halali kwake baada ya hayo mpaka aolewe na mume mwengine. Na akiachwa basi hapana ubaya kwao kurejeana wakiona kuwa watashikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu. Na hii ni mipaka ya Mwenyezi Mungu anayo ibainisha kwa watu wanao jua.
 
Mbona daudi hakumuachia Mungu akapambane na goliath?? Mbona alisonga mbele vitani kwenda kupambana...ndio tuseme wewe ni mchamungu sana kuliko daudi?
Daudi alipambania mtesi wa waisrael siyo kumdhihaki Mungu. Wa kumdhihaki Mungu muachie Mungu atampa somo
 
Kuna binti wa kiislamu kaolewa Kwa mahali ya milioni 3 niliona mwenyewe karatasi la makubaliano sheikh Katia na mhuri
Mahari haiusiani na dini tunazungumzia wepesi wa jambo
 
Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha, siyo kesho tu akifariki asubuhi jioni anaweza kuzikwa kama hakuna vikwazo vya aina yoyote ile.
Faida yake ni nini?
 
Mahari haiusiani na dini tunazungumzia wepesi wa jambo
Ugumu wake una sababu za msingi! Dini inataka iplay part yake kuhakikisha mafundisho ya ndoa umeyapata ili kuepuka kuwa miongoni mwa kufungisha ndoa Kwa watu wenye uelewa mdogo na maisha ya ndoa.
 
Bado unajizungusha tu pale pale ila aya ipo wazi kwenye Quran
Ukimuacha mwanamke , ata kama ni ndani ya mwezi mkataka kurudiana lazima aolewe na apigwe pipe
Muhammad alilisitiza apigwe pipe maana kuna icho kisa huyo mama alifanya ujanja kuolewa alafu akataka talaka haraka ili arudi kwa mume wake wa mwanzo maana sheria ndio ilivyosema aolewe kwanza alafu ndio aachike alafu arudi kwa mume wa mwanzo

Muhammad akasisitize pipe kwanza ndio arudi
..."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari 🤣 🤣 🤣
 
Kwanza mwanamke wa kiislam akiachwa kwa talaka tatu haruhusiwi kuolewa ndani ya mwezi mmoja...bali anatakiwa akae eda kipindi cha miezi 4 ili kama alitoka na ujauzito katika ndoa iliyopita iweze kujulikana.

Pia sheria imebainisha kuwa mwanamke pindi akiolewa ni lazima aingiliwe, sijui kwenu wakristo kwamba mkiwaoa wanawake hamruhusiwi kuwaingilia?

Ila sheria imeweka wazi hivyo ili watu wasilete janja janja ya kupanga ndoa...yaani mtu anamuacha mkewe then ili amrudie anaenda kumpanga rafiki yake amuoe huyo mwanamke (pasi na kumuingilia) then amuache ili aweze kumrudia tena. Janja janja hii imekatazwa kwenye dini...jua ukimuacha mke kwa talaka tatu basi inampasa aolewe tena na mwanaume mwingine then amuingilie waishi ikiwa atamuacha kwa talaka tatu ndio utaruhusiwa tena kuja kumuoa. Upo?
 
Ukimuacha mwanamke , ata kama ni ndani ya mwezi mkataka kurudiana lazima aolewe na apigwe pipe
Muhammad alilisitiza apigwe pipe maana kuna icho kisa huyo mama alifanya ujanja kuolewa alafu akataka talaka haraka ili arudi kwa mume wake wa mwanzo maana sheria ndio ilivyosema aolewe kwanza alafu ndio aachike alafu arudi kwa mume wa mwanzo

Muhammad akasisitize pipe kwanza ndio arudi
..."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Wewe mke wa papa acha kujichekesha kama mwanamke ulio toka kuliwa

Alafu unazikata aya na kuleta ujinga pumbavu kabisa
 
Ongelea waomdhihaki Mungu ni wapi kwenye biblia imewaasa wauliwe?
Mambo ya walawi 24:15-16

"Nawe uwaambie Waisraeli kwamba mtu yeyote atakayemlaani Mungu wake ni lazima awajibike kwa dhambi yake.Mtu yeyote awe ni mwenyeji au mgeni anayemkufuru Mwenyezi-Mungu, jumuiya nzima itamuua kwa kumpiga mawe"
 
Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.

Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.

Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.

Mahari zenyewe ni kawaida tu si kama huku kwetu, wanachojali wao ni watu waowane na ndio maana ni ngumu sana kukuta jamii nyingi za Waislamu wanaishi pamoja bila ndoa.
Kuna binti mahali ilikua QURAN 😂 ila huku side b unaambiwa mahali milioni 3+
 
Faida yake ni kupeleka mambo harakaharaka.
Yesu kristo alifufuka ktk wafu, sisi tunasikilizia kwanza tuone km alizimia tu! Sasa mnaharakisha ili ikitokea alikuwa hajafa mujione kafufuka kama Yesu.
 
Ila sheria imeweka wazi hivyo ili watu wasilete janja janja ya kupanga ndoa...yaani mtu anamuacha mkewe then ili amrudie anaenda kumpanga rafiki yake amuoe huyo mwanamke (pasi na kumuingilia) then amuache ili aweze kumrudia tena. Janja janja hii imekatazwa kwenye dini...jua ukimuacha mke kwa talaka tatu basi inampasa aolewe tena na mwanaume mwingine then amuingilie waishi ikiwa atamuacha kwa talaka tatu ndio utaruhusiwa tena kuja kumuoa. Upo?
Lazima pipe apigwe ndio unaweza kumrudia
Yani talaka anapewa mwanamke na adhabu juu ya kupigwa pipe na mwanaume mwingine ata kama alikuwa bado anampenda mume wake
Kisa cha huyo mama kinafikirisha sana alikuwa anataka arudi kwa mume wake ila akaambiwa hakuna kitu kama hicho lazima achezee pipe kwanza
.."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari 🤣 🤣 🤣
 
Mwamba ngoma huvutia kwake.
Kila dini na utaratibu wake. Amin unacho amini usilazimishe watu waaamini chako. Acha imani itawale mioyoni mwetu
 
Back
Top Bottom