Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Bado unajizungusha tu pale pale ila aya ipo wazi kwenye QuranKwa nini kupigwa pipe ni muhimu , ata kama umemuacha ndani ya mwezi mkataka kurudiana lazima mwanaume mwingine achomeke pipe kwanza akimuoa bila kumpiga pipe hairuhusiwi
Kumbuka Huyu Mama aliolewa na Abdur Rahman kwa kijanja ili aachike arudiane na Rifa , Muhammad akasema hawezi kurudi kwa Rifa mpaka apigwe pipe na Abdur 🤣 🤣 pumbavu kabisa
Kisa kilicho leta hiyo Sheria
Rifa alimpa talaka mke wake badae huyu mwanamke akaolewa na adburrahman, huyu mwanamke akawa anapoke kipigo kutoka kwa abdul mpaka akawa wa kijani , akaenda kwa Muhammad kushtaki , muhammad hakujali kipigo alicho pewa ila akamwambia kama unataka kumuacha abdul urudi kwa rifa lazima abdul apige machine kwanza ndio urudi kwa mume wako wa mwanzo,
...."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari
Al-Baqarah 2:229
ٱلطَّلَٰقُ مَرَّتَانِۖ فَإِمْسَاكٌۢ بِمَعْرُوفٍ أَوْ تَسْرِيحٌۢ بِإِحْسَٰنٍۗ وَلَا يَحِلُّ لَكُمْ أَن تَأْخُذُوا۟ مِمَّآ ءَاتَيْتُمُوهُنَّ شَيْـًٔا إِلَّآ أَن يَخَافَآ أَلَّا يُقِيمَا حُدُودَ ٱللَّهِۖ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا يُقِيمَا حُدُودَ ٱللَّهِ فَلَا جُنَاحَ عَلَيْهِمَا فِيمَا ٱفْتَدَتْ بِهِۦۗ تِلْكَ حُدُودُ ٱللَّهِ فَلَا تَعْتَدُوهَاۚ وَمَن يَتَعَدَّ حُدُودَ ٱللَّهِ فَأُو۟لَٰٓئِكَ هُمُ ٱلظَّٰلِمُونَ
Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
T'alaka ni mara mbili. Kisha ni kukaa kwa wema au kuachana kwa vizuri. Wala si halali kwenu kuchukua chochote mlicho wapa wake zenu, ila ikiwa wote wawili wakiogopa ya kwamba hawataweza kushikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu. Basi mkiogopa kuwa hawataweza kushikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu hapo itakuwa hapana lawama ikiwa mwanamke atajikomboa. Hii ndiyo mipaka ya Mwenyezi Mungu; basi msiikiuke. Na watakao ikiuka mipaka ya Mwenyezi Mungu, hao ndio madhaalimu.
Al-Baqarah 2:230
فَإِن طَلَّقَهَا فَلَا تَحِلُّ لَهُۥ مِنۢ بَعْدُ حَتَّىٰ تَنكِحَ زَوْجًا غَيْرَهُۥۗ فَإِن طَلَّقَهَا فَلَا جُنَاحَ عَلَيْهِمَآ أَن يَتَرَاجَعَآ إِن ظَنَّآ أَن يُقِيمَا حُدُودَ ٱللَّهِۗ وَتِلْكَ حُدُودُ ٱللَّهِ يُبَيِّنُهَا لِقَوْمٍ يَعْلَمُونَ
Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
Na kama amempa t'alaka (ya tatu) basi si halali kwake baada ya hayo mpaka aolewe na mume mwengine. Na akiachwa basi hapana ubaya kwao kurejeana wakiona kuwa watashikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu. Na hii ni mipaka ya Mwenyezi Mungu anayo ibainisha kwa watu wanao jua.