Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Wewe mke wa papa acha kujichekesha kama mwanamke ulio toka kuliwa

Alafu unazikata aya na kuleta ujinga pumbavu kabisa
Kuwa makini hasira zako ukija kuacha mke , lazima akapigwe pipe kwanza ndio mrudiane

Kumbuka pia Muhammad kasema
Ukimfumania mke, Muhammad anasema waombe waendelee ukatafute mashahidi wafike wa4 😂 🤣
Hadith That Sa'd b. 'Ubadah said to the Messenger of Allah (ﷺ) : What do you think if I find with my wife a man ; should I give him some time until I bring four witnesses ?" He said: "Yes". Sunan Abi Dawud 4533 ,

Kinyume cha apo fumania yako haikubaliki
 
Nini tafsri ya mahali? Ukimpa Binti hiyo pesa ni tofauti gani na aliyeko kwenye danguro anakutajia kiasi mnaenda kunyanduana baadae Yuko huko huru kusepa?? Wa kukolomea mkewe hivyo hajui tafsri ya mahali.

Ni Shida kwa kiswahili kuielezea mahari isipokuwa kama unajua kiingereza ningependa uangalie maneno haya:--- "Bride price" na "Dowry"

Katika dini ya kiisilamu Mahari maana yake kwa kizungu ni Dowry nayo sio lazima iwe ni pesa au mali yaweza hata ikawa ni makubaliano kati ya mwanamke na mwanaume, mfano anaweza kutokea mwanaume mkristo anataka kuoa mwanamke muisilamu inafahamika katika Uisilamu hairuhusiwi mwanamke muisilamu kuolewa na mtu asiyekuwa muisilamu, katika hali hiyo huyo mwanamke anaweza kumwambia huyo mwanaume kuwa ili amuoe inabidi abadili dini awe muisilamu ndio anaweza kumuoa na kitendo hicho cha kubadili dini ndicho kitakuwa mahari yake kutoka kwa huyo mwanaume, (jambo hilo limepata kutokea katika zama za uhai wa mtukufu mtume Muhammad saw), hiyo ndio Mahari (Dowry) katika Uisilamu, jambo jingine unatakiwa ujue ni kwamba Mahari katika Uisilamu ni pesa au mali ambayo huyo Muolewaji ambayo anatakiwa aje nayo kwa Mumewe (ni mali ya muolewaji kwa Mumewe)--- sasa katika mazingira hayo unawezaje kusema hiyo ni hongo anayopewa kahaba kwenye danguro??!!, hapa tunazungumzia ndoa na mahari na sio hongo kwa changudoa.

Sasa tuje kwenye Mahari inayoitwa "Bride price" au kwa kiswahili chepesi ni "Bei ya muolewaji", hii ni pesa au mali wanayolipwa wazazi au ndugu za mwanamke anayeolewa, katika hiyo mahari huyo muolewaji anaweza kupewa kiasi kidogo au asipewe kabisa kwani hii inategemea na roho za wazazi au wapokeaji wa hiyo mahari, aina hii ya Mahari sio ya Kiisilamu bali ni mahari inayomfanya muolewaji kuwa kama bidhaa iliyouzwa kwa mwanaume na hivyo kwa undani kumfanya muolewaji awe dhalili na kutezwa utu wake.
 
Mambo ya walawi 24:15-16

"Nawe uwaambie Waisraeli kwamba mtu yeyote atakayemlaani Mungu wake ni lazima awajibike kwa dhambi yake.Mtu yeyote awe ni mwenyeji au mgeni anayemkufuru Mwenyezi-Mungu, jumuiya nzima itamuua kwa kumpiga mawe"

(Lk 6:29-30)​

38 Mmesikia ilisemwa, ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino.’ 39 Lakini ninawaambia msishindane na yeyote anayetaka kuwadhuru. Mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie na la kushoto pia. 40 Mtu akitaka kukushitaki ili akunyang'anye shati, mpe na koti pia. 41 Askari akikulazimisha kwenda naye maili moja,[a] nenda maili mbili pamoja naye
 
Ugumu wake una sababu za msingi! Dini inataka iplay part yake kuhakikisha mafundisho ya ndoa umeyapata ili kuepuka kuwa miongoni mwa kufungisha ndoa Kwa watu wenye uelewa mdogo na maisha ya ndoa.
Kwaio hoja yako ya msingi ni ipi ukilinganisha na kichwa cha habari
 
Mahari yaongezwe itapunguza kuoa na kuacha.
Mahari 50,000? Ni sawa na fedha za kutumia bar masaa 2.
 
Ni Shida kwa kiswahili kuielezea mahari isipokuwa kama unajua kiingereza ningependa uangalie maneno haya:--- "Bride price" na "Dowry"

Katika dini ya kiisilamu Mahari maana yake kwa kizungu ni Dowry nayo sio lazima iwe ni pesa au mali yaweza hata ikawa ni makubaliano kati ya mwanamke na mwanaume, mfano anaweza kutokea mwanaume mkristo anataka kuoa mwanamke muisilamu inafahamika katika Uisilamu hairuhusiwi mwanamke muisilamu kuolewa na mtu asiyekuwa muisilamu, katika hali hiyo huyo mwanamke anaweza kumwambia huyo mwanaume kuwa ili amuoe inabidi abadili dini awe muisilamu ndio anaweza kumuoa na kitendo hicho cha kubadili dini ndicho kitakuwa mahari yake kutoka kwa huyo mwanaume, (jambo hilo limepata kutokea katika zama za uhai wa mtukufu mtume Muhammad saw), hiyo ndio Mahari (Dowry) katika Uisilamu, jambo jingine unatakiwa ujue ni kwamba Mahari katika Uisilamu ni pesa au mali ambayo huyo Muolewaji ambayo anatakiwa aje nayo kwa Mumewe (ni mali ya muolewaji kwa Mumewe)--- sasa katika mazingira hayo unawezaje kusema hiyo ni hongo anayopewa kahaba kwenye danguro??!!, hapa tunazungumzia ndoa na mahari na sio hongo kwa changudoa.

Sasa tuje kwenye Mahari inayoitwa "Bride price" au kwa kiswahili chepesi ni "Bei ya muolewaji", hii ni pesa au mali wanayolipwa wazazi au ndugu za mwanamke anayeolewa, katika hiyo mahari huyo muolewaji anaweza kupewa kiasi kidogo au asipewe kabisa kwani hii inategemea na roho za wazazi au wapokeaji wa hiyo mahari, aina hii ya Mahari sio ya Kiisilamu bali ni mahari inayomfanya muolewaji kuwa kama bidhaa iliyouzwa kwa mwanaume na hivyo kwa undani kumfanya awe dhalili na kutezwa utu wake.
Kumbe mahali haihusiani na ukristu bali ukristu hufugisha ndoa Kwa uthibitisho wa makubaliano haina ya upande wa waoaji na waolewaji!! Hata Bure inafungisha ilimradi familia zimekubaliana
 
Kijana unatamani ukifa ukamuliwe kinyesi?
Mwislam kwenye ndoa ni take away tu.
Anaoa leo mwezi kesho talaka...hayo ndio mnayataka?
Hiyo ni zinaa ya kisheria
 
Kwaio hoja yako ya msingi ni ipi ukilinganisha na kichwa cha habari
Hoja yangu ni ukristu kuwazidi waislamu kwenye suala la ndoa Kwa kuplay part yake kutoa elimu Kwa wahusika kwanza bila kukurupuka
 
Kumbe mahali haihusiani na ukristu bali ukristu hufugisha ndoa Kwa uthibitisho wa makubaliano haina ya upande wa waoaji na waolewaji!! Hata Bure inafungisha ilimradi familia zimekubaliana

Hilo jambo watakujibu wakristo, ila kwa upande wa Uisilamu mahari ni lazima, hata mwanamke anaweza kumuambia mwanaume amnunulie Qur'an ili iwe mahari yake pia inasihi, katika Uisilamu mambo ya ndoa ni rahisi.
 
Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.

Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.

Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.

Mahari zenyewe ni kawaida tu si kama huku kwetu, wanachojali wao ni watu waowane na ndio maana ni ngumu sana kukuta jamii nyingi za Waislamu wanaishi pamoja bila ndoa.
Hata wewe mkuu ukitaka kufa na kuzikwa siku hiyo hiyo ni wewe na familia yako na hali ya uchumi wa familia yako so ni vile wewe utaacha maagizo kwa familia yako!
 
Kuna watu huwa wanafanya dhihaka kuwa waislamu mahari ndogo na bla bla kibao,hawajui lengo ni kufanya ndoa iwe nyepesi ili watu wafunge ndoa waepuke zinaa, lkn upande wa pili kwakuwa hamuogopi dhambi huwa mnadunda Tu.
Sidhani kama wakristo kwa upande wa dini Wana mahari nafikiri maharishi ni suala la familia husika ya mwanamke na ukristo hausiani na hilo
 
Lazima pipe apigwe ndio unaweza kumrudia
Yani talaka anapewa mwanamke na adhabu juu ya kupigwa pipe na mwanaume mwingine ata kama alikuwa bado anampenda mume wake
Kisa cha huyo mama kinafikirisha sana alikuwa anataka arudi kwa mume wake ila akaambiwa hakuna kitu kama hicho lazima achezee pipe kwanza
.."If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you.....Sahih al-Bukhari 🤣 🤣 🤣
Wacha kucopy hadith halafu unaikata ili upotoshe maana...wacha nikuwekee kisa kizima kilivyokuwa halafu uone jinsi gani ulivyo na tabia ya kupotosha...

Sahih al-Bukhari 5825

Narrated `Ikrima:
Rifa`a divorced his wife whereupon `AbdurRahman bin Az-Zubair Al-Qurazi married her. `Aisha said that the lady (came), wearing a green veil (and complained to her (Aisha) of her husband and showed her a green spot on her skin caused by beating). It was the habit of ladies to support each other, so when Allah's Messenger (ﷺ) came, `Aisha said, "I have not seen any woman suffering as much as the believing women. Look! Her skin is greener than her clothes!" When `AbdurRahman heard that his wife had gone to the Prophet, he came with his two sons from another wife. She said, "By Allah! I have done no wrong to him but he is impotent and is as useless to me as this," holding and showing the fringe of her garment, `Abdur-Rahman said, "By Allah, O Allah's Messenger (ﷺ)! She has told a lie! I am very strong and can satisfy her but she is disobedient and wants to go back to Rifa`a." Allah's Messenger (ﷺ) said, to her, "If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you." Then the Prophet (ﷺ) saw two boys with `Abdur- Rahman and asked (him), "Are these your sons?" On that `AbdurRahman said, "Yes." The Prophet (ﷺ) said, "You claim what you claim (i.e.. that he is impotent)? But by Allah, these boys resemble him as a crow resembles a crow,"

Huyo mwanamke baada ya kuolewa tu akataka atengeneze mazingira ya kuachwa ili arudi tena kwa mume wake wa zamani , hivyo akakimbilia kwa mke wa Mtume (pbuh)kwenda kumsingizia Abdur Rahman kuwa kampiga mpaka ngozi yake imevilia damu na kuwa ya kijani pia akamsingizia uongo kuwa Abdur Rahman ni khanithi (yaani Hawezi kusimamisha na kumuongilia), ndipo Abdur Rahman kusikia mkewe huyo mpya amekimbilia kwa Mtume ikabidi aende akiwa na watoto wake wawili, alivyoelezwa malalamiko ya mkewe akakana akasema kuwa huyo mwanamke amedanganya kwasababu ana nia ya kurudi kwa mtalaka wake, mtume akamuulize vipi hawa watoto, akajibu kuwa ni wanawe, ikabidi amuulize yule mwanamke vipi anadai kuwa Abdur rahman sio rijali ilihali hawa watoto wamefanana nae sana? Ndio akaambiwa kuwa ni haramu kwake kuolewa na Rifaa' mpaka pale atakapoingiliwa na Abdur rahman na kuja kutalikiwa kwa talaka 3.
 
Hakna Sheria ya Kikristu inoruhusu wanandoa kuachana sababu ya uzinzi elwa Hilo kwanza! Kutoa roho ya mtu inaruhusiwa? Ustaarabu mzur Ni ndoa zidumu hakna blah blah mmezaa watoto so wanahtaj malezi yenu nyote baba na mama

Yesu akawajibu, “Mose aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. Lakini haikuwa hivyo tangu mwanzo. Basi nawaambieni, yeyote atakayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, akaoa mke mwingine, anazini.”

Mathayo 19:8-9
 
Wacha kucopy hadith halafu unaikata ili upotoshe maana...wacha nikuwekee kisa kizima kilivyokuwa halafu uone jinsi gani ulivyo na tabia ya kupotosha...
Hakuna kilichobadilika , kisa ni kile kile
Muhammad kasisitiza lazima apigwe pipe kwanza
 
Wacha kucopy hadith halafu unaikata ili upotoshe maana...wacha nikuwekee kisa kizima kilivyokuwa halafu uone jinsi gani ulivyo na tabia ya kupotosha...

Sahih al-Bukhari 5825

Narrated `Ikrima:
Rifa`a divorced his wife whereupon `AbdurRahman bin Az-Zubair Al-Qurazi married her. `Aisha said that the lady (came), wearing a green veil (and complained to her (Aisha) of her husband and showed her a green spot on her skin caused by beating). It was the habit of ladies to support each other, so when Allah's Messenger (ﷺ) came, `Aisha said, "I have not seen any woman suffering as much as the believing women. Look! Her skin is greener than her clothes!" When `AbdurRahman heard that his wife had gone to the Prophet, he came with his two sons from another wife. She said, "By Allah! I have done no wrong to him but he is impotent and is as useless to me as this," holding and showing the fringe of her garment, `Abdur-Rahman said, "By Allah, O Allah's Messenger (ﷺ)! She has told a lie! I am very strong and can satisfy her but she is disobedient and wants to go back to Rifa`a." Allah's Messenger (ﷺ) said, to her, "If that is your intention, then know that it is unlawful for you to remarry Rifa`a unless `Abdur-Rahman has had sexual intercourse with you." Then the Prophet (ﷺ) saw two boys with `Abdur- Rahman and asked (him), "Are these your sons?" On that `AbdurRahman said, "Yes." The Prophet (ﷺ) said, "You claim what you claim (i.e.. that he is impotent)? But by Allah, these boys resemble him as a crow resembles a crow,"

Huyo mwanamke baada ya kuolewa tu akataka atengeneze mazingira ya kuachwa ili arudi tena kwa mume wake wa zamani , hivyo akakimbilia kwa mke wa Mtume (pbuh)kwenda kumsingizia Abdur Rahman kuwa kampiga mpaka ngozi yake imevilia damu na kuwa ya kijani pia akamsingizia uongo kuwa Abdur Rahman ni khanithi (yaani Hawezi kusimamisha na kumuongilia), ndipo Abdur Rahman kusikia mkewe huyo mpya amekimbilia kwa Mtume ikabidi aende akiwa na watoto wake wawili, alivyoelezwa malalamiko ya mkewe akakana akasema kuwa huyo mwanamke amedanganya kwasababu ana nia ya kurudi kwa mtalaka wake, mtume akamuulize vipi hawa watoto, akajibu kuwa ni wanawe, ikabidi amuulize yule mwanamke vipi anadai kuwa Abdur rahman sio rijali ilihali hawa watoto wamefanana nae sana? Ndio akaambiwa kuwa ni haramu kwake kuolewa na Rifaa' mpaka pale atakapoingiliwa na Abdur rahman na kuja kutalikiwa kwa talaka 3.
Walizaa nae kivipi kama alikuwa hajamuingilia?? Nimenukuu mistari yako boss na ni haramu Kwa maagizo ya Allah
 
Nilitaka niolewe nyumbani wakataja mahari jamaa akasema ngoja ajipange. Alirudi baada ya mwaka nikawa nimebadili mawazo. Ningekuwa muislamu ningeshaolewa. Ila daah jamani hizi mahari zetu za kikristo sio fair. Yani wenzio wamemla buuure na wataendelea kumla tu bila kulipa hiyo mahari. Halafu wewe unaenda kutoa milioni kadhaa? Dah poleni wanaume.
Aliyetaja mahari kubwa alikuwa ni Padri, Mchungaji au ni familia yako! Embu tujifunze kutofautisha mambo baina ya familia ya kikristo na ukristo wenyewe! Nadhani tatizo hapo ni familia yako
 
Kuwa makini hasira zako ukija kuacha mke , lazima akapigwe pipe kwanza ndio mrudiane

Kumbuka pia Muhammad kasema
Ukimfumania mke, Muhammad anasema waombe waendelee ukatafute mashahidi wafike wa4 😂 🤣
Hadith That Sa'd b. 'Ubadah said to the Messenger of Allah (ﷺ) : What do you think if I find with my wife a man ; should I give him some time until I bring four witnesses ?" He said: "Yes". Sunan Abi Dawud 4533 ,

Kinyume cha apo fumania yako haikubaliki
Ukisoma hiyo hadith utakuta ipo katika mlango huu

"Chapter: If A Man Finds A Man With His Wife, Should He Kill Him ?"

kwa maana ya kwamba "kama mtu akimfumania mkewe na mwanaume mwingine , je amuue( ajichukulie sheria mkononi)?

Hapa inaonesha jinsi gani uislam ni dini inayozingatia misingi ya haki kwa mwanadamu! Mtume (peace be upon him) alimjibu huyo sswahaba kuwa asimuume bali avute subira mpaka awalete mashahidi wanne?

Hii inaonesha jinsi gani uislam unazingatia misingi ya sheria ili kuondoa matendo ya umwagaji damu bila ya haki.
 
Walizaa nae kivipi kama alikuwa hajamuingilia?? Nimenukuu mistari yako boss na ni haramu Kwa maagizo ya Allah
Alizaa hao watoto na mke wake mwingine

"When `AbdurRahman heard that his wife had gone to the Prophet, he came with his two sons from another wife. "
 
Back
Top Bottom