Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Siku zote huwa nasema kuwa, Wakristo ni njia nyembamba inayoonwa na kupitwa na wachache, wengi wenu mma majina ya Kikristo au mnaupenda Ukristo au mmerithishwa Ukristo au na Mashabikintu na wapenzi wa Ukristo lakini kamwe si Wakristo na hamjawahi kuwa.

Ni wapi katika Ukristo mliapangiwa au mlifundishwa kiasi cha mahari mnachotakiwa kutoa? Ni wapi mlifundishwa mfanye sherehe kubwa za kufahari?
Ni wapi mlifundishwa kufanya misiba na maziko ya kifahari?
Watu mnajiamulia wenyewe kuishi mifumo yenu ya kimaisha halafu mnasingizia dini.

Mbona Wakristo wa huko Ulaya, Marekani na kwingineko nje ya Afrika hawafanyi mambo ya ndoa na maziko kifahari? Wengine hata mahari hazitolewi?
Mfumo wa ufungishaji ndoa wa bomani ulitumiwa ma wakoloni wakiuleta kutoka huko kwao. Mbona ndoa za Bomani leo hii huwa hatuzioni zikiwa na hizi mbwembwe?

Mkubali tu kwamba wengi huwa mnajidhania kuwa ni Wakristo ila kiuhalisia mpo nje kabisa ya Ukristo.
Ukristo unapaswa uutafute, unakuhitaji ujikane kweli, sasa dini inayokutaka ujikane na uichague yenyewe dhidi ya mali itakufundishaje kuishi maisha ya kifahari? Kwa uwezo na mali zipi ulizo nazo?
Wala usitoe povu saaana mzee kubali tu yaishe dini pekee ambayo itamjali kiumbe chochote kile akiwemo huyoo binadam ni UISLAM,hivyo usitumie nguvu nyingi kuwajib waislam wkt UISLAM upo pale pale na utakuwepo kwahy tutumie fursa hii kukubalisha ktk UISLAM.
 
Hii pole kama unampa huyo alietaka kutoa mahari hivi?kwamba wenzie wamekula Bure ...yeye atoe mahar??

Hukumpenda huyo jamaa ..umgemwambia atoe barua halafu unabeba mimba....kwenu wenyewe wangeshusha mahari
Hahahah hizi mbinu za kijasusi kama familia inakomaa sana 🤣🤣🤣
 
Kitu kikiwa kirahisi pia kina gharama yake.Mfano kwa waislam mtu akimchoka mke hakuna kuvimiliana ni either talaka au analetwa mwenzio.Nikimchoka mume naomba talaka chap nawahi penye manufaa.Hii ya mazishi hivi mzazi kafa let's nipo Dar yeye yuko Tabora haina haja ya kusubiri ni anazikwa tu.Binafsi uislamu dini nzuri ila ndoa na mazishi hapana jmn
Hio gharama ndio raha yenyewe. Uzuri mke haachiki bila talaka kwahio kama sijaamua kukupa talaka utaenda hadi Bakwata 🤣🤣🤣 kama mwenzenu Kwini
 
Wala usitoe povu saaana mzee kubali tu yaishe dini pekee ambayo itamjali kiumbe chochote kile akiwemo huyoo binadam ni UISLAM,hivyo usitumie nguvu nyingi kuwajib waislam wkt UISLAM upo pale pale na utakuwepo kwahy tutumie fursa hii kukubalisha ktk UISLAM.
Usinilazimishe kuanza kufunua uvundo ja uozo wa huko, hiyo siyo tabia yangu. Tabia yangu ni kuheshimu imani za watu.
 
Wewe ni mristo kweli au ni mristo jina ??.

Wakristo waliofunga ndoa ya kikristo hawawezi kuachana kwa hali yoyote isipokuwa uzinzi tu, yaani kama Mke kabainika kufanya zinaa ni hapo tu ndipo mume anaweza kumuacha mkewe.

Soma injili uujue ukristo wako vyema.
Kisheria iko hivyo ila kama ni ndoa ya kiroma hapo mtabadili vyumba tu talaka hampewi ng'o 😀
 
Biblia haijaandika uzinifu sasa mbna unakua mbishi mkuu shida nn kutaka kuforce vitu ambavyo havipo?
Wewe hiyo imani ya kikristo ni mali yako??, hebu nionyeshe hati miliki yako ya hiyo imani ya kikristo ili kuanzia leo nikitaka kuzungumzia kitu chochote kinachohusu ukristo nije kukuomba ruhusa.

"Kulingana.na Biblia ni uzinifu tu ndio sharti la wana ndoa wa kikristo kuvunja ndoa yao"

Ama nishuhudie ndoa zikivunjwa kanisani au laa hiyo sio kazi yangu, kazi yangu ni kunukuu maneno ya Biblia tu.
 
Kanawe kwanza uso itakua ndio umeamka wewe
 
Sheria sio ya Muhammad bali ni Sheria ya mwenyewe MUNGU!

Mtume Muhammad (peace be upon him) katumwa kama mjumbe wa Mungu kuja kutubainishia haki wanaadam.

Na sheria ya ndoa ya uislam inatambua talaka 3 , pindi mume anapompa mkewe talaka tatu hatakiwi aendelee nae mpaka aolewe na mtu mwingine endapo huko akiachika pia kwa talaka 3 ndipo huyu wa kwanza ataruhusiwa kumuoa upya huyo mwanamke.
Muhamdad ndio katunga , ila kama ni Allah ni kichekesho sana
hakujua mwanamke anaweza achika na asitake kuolewa tena
 
Muhamdad ndio katunga , ila kama ni Allah ni kichekesho sana
hakujua mwanamke anaweza achika na asitake kuolewa tena
Sasa kwani kuna mtu kalazimishwa hapo
Alafu kukataa kuolewa ndio maumbile ya mwanamke hayo kwani?

We mke wa papa tumia akili sio mihemko
 
Okay usijali tupo hapa kuelimishana

Kama umemuacha na eda imeisha hapo INA maana huyo sio mkeo tena,Ila kama baadae ukaona Una mhitaji basi utalazimika kuanza process upya za ndoa na yeye aridhie kuolewa na wewe.

Kwahiyo haijalishi utakaa Mda gani mpaka ulete Hilo ombi lako la ndoa,cha muhimu ukitaka kurudiana nae basi itabidi umuoe upya.

Kwa faida zaidi,mke anayeachwa Kwa talaka moja au mbili,mume unaweza kumrejea Kwa kumuoa kama nilivyo sema hapo awali

Ila

Ukimuachia Kwa talaka tatu,na hapa talaka hazitoki zote Kwa pamoja laa,utaratibu ni kwamba unamuacha Kwa talaka moja,mbili mpaka zatimia tatu maana kuna wapuuzi huwa wanatoa tatu Kwa mpigo ambacho ni kinyume na sheria.

Sasa hiyo talaka ya tatu sheria inasema hivi,hapo hautaruhusiwa kumuoa mpaka aolewe na mume mwingine na akiachika ndio waeza kumuoa tena,ingawa kuna wapuuzi vile vile mke anampenda anakupanga wewe umuoe huyo mwanamke na kisha umuache kisha amuoe tena,hayo ni makosa,unaweza kutuficha Sisi wanadamu lakini Mungu anajua lengo lako na Nia yako.
Muhammad alisisitiza lazima apigwe machine , hakuna ujanjaunja hapo

Aolewe apigwe pipe ndio arudi kwako
 
Na bikra 72 peponi[emoji16][emoji16][emoji16]
Maaashalah!Mbaya zaidi huku kitaa bikra hakuna kabisa wote km ...balaah
20230314_113736.jpg
 

Attachments

  • 20220903_164501.jpg
    20220903_164501.jpg
    20.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom