Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Okay usijali tupo hapa kuelimishanaSorry hapa sijakuelewa vizuri,Kama nimeachana naye baada ya eda kuisha na hatujarudiana na tukiwa tumerudiana ,hatujarudiana baadaye nikataka nirudiane after two years what happened.
Thank you , you're well elaborated Ila sijakuelewa kwenye kurudiana
Kama umemuacha na eda imeisha hapo INA maana huyo sio mkeo tena,Ila kama baadae ukaona Una mhitaji basi utalazimika kuanza process upya za ndoa na yeye aridhie kuolewa na wewe.
Kwahiyo haijalishi utakaa Mda gani mpaka ulete Hilo ombi lako la ndoa,cha muhimu ukitaka kurudiana nae basi itabidi umuoe upya.
Kwa faida zaidi,mke anayeachwa Kwa talaka moja au mbili,mume unaweza kumrejea Kwa kumuoa kama nilivyo sema hapo awali
Ila
Ukimuachia Kwa talaka tatu,na hapa talaka hazitoki zote Kwa pamoja laa,utaratibu ni kwamba unamuacha Kwa talaka moja,mbili mpaka zatimia tatu maana kuna wapuuzi huwa wanatoa tatu Kwa mpigo ambacho ni kinyume na sheria.
Sasa hiyo talaka ya tatu sheria inasema hivi,hapo hautaruhusiwa kumuoa mpaka aolewe na mume mwingine na akiachika ndio waeza kumuoa tena,ingawa kuna wapuuzi vile vile mke anampenda anakupanga wewe umuoe huyo mwanamke na kisha umuache kisha amuoe tena,hayo ni makosa,unaweza kutuficha Sisi wanadamu lakini Mungu anajua lengo lako na Nia yako.