Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Serkal huvunja pale ambapo taasisi za dini zmekatwa kuvunja
Hakuna taasisi inavunja ndoa ni mahakama tu , Kuna ma Baraza ambayo ndio hizo dini wanakaa wanatuo mapendekezo , kesi inaweza ishia kwao ila hawana mamlaka ya kuvunja ndoa
 
Sisi tunachoshukuru atufugi majini wala hatutumii majini waislam na majini ni baba mmoja mama moja[emoji1787][emoji1787]
Hii umeitoa wapi mkuu? Au ndio zile stori za kukaririshwa na katekista? Ila mbona wakristo wanaongoza kwa kukutwa na makini kule kwa mwamposa?
 
Hakuna taasisi inavunja ndoa ni mahakama tu , Kuna ma Baraza ambayo ndio hizo dini wanakaa wanatuo mapendekezo , kesi inaweza ishia kwao ila hawana mamlaka ya kuvunja ndoa
Uislam kwetu ndoa inavunjwa bila hata serikali
 
Kuna sehemu jamaa alifariki alfajiri saa 7 wakawa wanaenda kumzika walipokuwa wanamfukia akapiga chafya watu mbio
 
Hii umeitoa wapi mkuu? Au ndio zile stori za kukaririshwa na katekista? Ila mbona wakristo wanaongoza kwa kukutwa na makini kule kwa mwamposa?
Muhammad aliweka wazi ndugu wa waislamu ni majini wanaitana kaka

Jami` at-Tirmidhi 18

Abdullah bin Mas'ud narrated that :

Muhammad said: "Do not perform Istinja, with dung, nor with bones. For indeed it is provisions for your brothers among the Jinn."
 
Hii umeitoa wapi mkuu? Au ndio zile stori za kukaririshwa na katekista? Ila mbona wakristo wanaongoza kwa kukutwa na makini kule kwa mwamposa?
Muhammad anasema kila muislamu ana jini
, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
 
Kama mahakama
Hakuna taasisi inavunja ndoa ni mahakama tu , Kuna ma Baraza ambayo ndio hizo dini wanakaa wanatuo mapendekezo , kesi inaweza ishia kwao ila hawana mamlaka ya kuvunja ndoa
Ndo zinavunja kwanini ndoa za Kiislam znamalizwa easy tu na talaka bila kwenda mahakamani? Nakwanini ndoa za Kikristu hazivunjwi(zilizo nyingi) na mahakama unayosema?
 
Kuna binti wa kiislamu kaolewa Kwa mahali ya milioni 3 niliona mwenyewe karatasi la makubaliano sheikh Katia na mhuri
Hiyo milioni 3 siyo kesi kwa sababu unaweza kutoa elfu 50 tu kati ya milioni 3 na unakabidhiwa mke na wewe utaendelea kulipa kiasi kilichobaki kidogokidogo ukiwa ndani ya ndoa.
 
Kwani mnabishana nini?Suala lipo wazi kwamba ni lazima aolewe kwanza na mwanaume mwingine na pipe itembee kama hadithi inavyoonesha.
 
Wewe tatizo lako ni lipi ikiwa sheria hii imewekwa ili kulinda maslahi ya kuzuia watu kuachana kiholela tu?.
 
Sheria hiyo inafanya kazi kwa muachano wa mara ya 3 tu.Lakini ukiacha mara ya kwanza hakuna sharti hilo,ukiacha mara ya pili bado hakuna sharti hilo,ila sasa ukiacha kwa mara ya 3 kwa mwanamke huyo huyo,basi ni lazima sharti la mwanamke huyo kuolewa kwanza na mwanaume mwingine kwa maana halisi ya ndoa yaani lipatikane na tendo la ndoa baina yao.Sasa ikitokea akaachika tena huko,basi aliyekuwa mume wake wa awali ataruhusiwa kumuoa tena.
 
Ni baada ya kufanya ujinga wake huo wa kuachikaachika mara ngapi?.
 
sisi tumewazidi vingi vikubwa na vya maana

ndoa na mazishini vitu vidogo sana na vya Duniani.
 
nimependa .....na nili nalo mkaliangalie-styupidi 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…