Labda kuoa wake wengiSio tu ndoa na mazishi, waislam wamewazidi mambo mengi tu
Hii pole sio yeye peke yake. Wote waliotoa, wanaotoa na watakaotoa mahari. Hasa zile za mamilioni.Hii pole kama unampa huyo alietaka kutoa mahari hivi?kwamba wenzie wamekula Bure ...yeye atoe mahar??
Hukumpenda huyo jamaa ..umgemwambia atoe barua halafu unabeba mimba....kwenu wenyewe wangeshusha mahari
Nilitaka niolewe nyumbani wakataja mahari jamaa akasema ngoja ajipange. Alirudi baada ya mwaka nikawa nimebadili mawazo. Ningekuwa muislamu ningeshaolewa. Ila daah jamani hizi mahari zetu za kikristo sio fair. Yani wenzio wamemla buuure na wataendelea kumla tu bila kulipa hiyo mahari. Halafu wewe unaenda kutoa milioni kadhaa? Dah poleni wanaume.
Wakiachana vipi kuhusu watoto watalelewa na Nani?Tena wao (Wakristo) sheria ya talaka inawabana mno, huwezi kumuacha mkeo kwa kosa jingine lolote isipokuwa la uzinifu tu, kwa Waisilamu hiyo hakuna, kama mmechokana basi talaka inaswihi ili kila mmoja akatafute ahueni huko mbele ya safari
Mkuu
Usijalie kuna mzigo utaenea Muda sio MREFU!
Unaitwa chrislam Dini Mpya ya Dunia Yaani muunganikoe wa dinie ZOTE!
Nadhani tutaoana bila ubaguzi!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilitaka niolewe nyumbani wakataja mahari jamaa akasema ngoja ajipange. Alirudi baada ya mwaka nikawa nimebadili mawazo. Ningekuwa muislamu ningeshaolewa. Ila daah jamani hizi mahari zetu za kikristo sio fair. Yani wenzio wamemla buuure na wataendelea kumla tu bila kulipa hiyo mahari. Halafu wewe unaenda kutoa milioni kadhaa? Dah poleni wanaume.
Nilitaka niolewe nyumbani wakataja mahari jamaa akasema ngoja ajipange. Alirudi baada ya mwaka nikawa nimebadili mawazo. Ningekuwa muislamu ningeshaolewa. Ila daah jamani hizi mahari zetu za kikristo sio fair. Yani wenzio wamemla buuure na wataendelea kumla tu bila kulipa hiyo mahari. Halafu wewe unaenda kutoa milioni kadhaa? Dah poleni wanaume.
Siku zote huwa nasema kuwa, Wakristo ni njia nyembamba inayoonwa na kupitwa na wachache, wengi wenu mma majina ya Kikristo au mnaupenda Ukristo au mmerithishwa Ukristo au na Mashabikintu na wapenzi wa Ukristo lakini kamwe si Wakristo na hamjawahi kuwa.Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.
Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.
Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.
Mahari zenyewe ni kawaida tu si kama huku kwetu, wanachojali wao ni watu waowane na ndio maana ni ngumu sana kukuta jamii nyingi za waislamu wanaishi pamoja bila ndoa.
Kwanza angeenda mwenyewe bila hata barua, barua ingekuka yeye yupo kwa bwana ake.Hii pole kama unampa huyo alietaka kutoa mahari hivi?kwamba wenzie wamekula Bure ...yeye atoe mahar??
Hukumpenda huyo jamaa ..umgemwambia atoe barua halafu unabeba mimba....kwenu wenyewe wangeshusha mahari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee sanaaaa.Shida kubwa ipo hapa; kwa Wakristo mahari ni pesa/mali wanayolipwa Wazazi wa binti wakati kwa Waisilamu mahari ni pesa/mali ya binti anayeolewa hivyo kwa Waisilamu binti ndiye anayetaja thamani ya mahari yake mwenyewe, na jambo hili linatoa heshima kwa muolewaji kwani yeye akitaja mahari yake na ikiwa ni yake mwenyewe huyo binti anakuwa sio kama Bidhaa inayouzwa kwa mume tofauti na wazazi wakitaja na kupokea mahari ya binti yao ambapo inakuwa ni sawa wamemuuza binti yao kama Mbuzi kwa mume kitu ambacho wakati mwingine hupelekea mabinti kunyanyasika vibaya katika ndoa zao kwani unaweza kumsikia mume akimtamkia mkewe; "Mimi usinichezee unajua nimetoa kwa wazazi wako ngombe 100 kwa ajili yako??!"--- tena hapo mwanaume kafura kwa hasira kali kisa labda mkewe alijisahau kumtengea maji ya kuoga bafuni, [emoji3][emoji3]
Wakiachana vipi kuhusu watoto watalelewa na Nani?
Hizi ni chuki, japo mapungufu haya kosekani kwenye kila jamboNdoa za kiislamu ni za kimchongo wala hazina mashiko, unaoa leo unaacha kesho…. huna cha kupoteza.
Una maanisha aliporudi baada ya mwaka hukukubali akuoe tena?Nilitaka niolewe nyumbani wakataja mahari jamaa akasema ngoja ajipange. Alirudi baada ya mwaka nikawa nimebadili mawazo. Ningekuwa muislamu ningeshaolewa. Ila daah jamani hizi mahari zetu za kikristo sio fair. Yani wenzio wamemla buuure na wataendelea kumla tu bila kulipa hiyo mahari. Halafu wewe unaenda kutoa milioni kadhaa? Dah poleni wanaume.
Kumiliki shule na hospital ni utashi wa watu mwenyewe. Lkn ukiristo hakuna sehemu unasema mmiliki hivyo vitu.Hamia kwao
Kila dini na taratibu zake
Mbona sisi tumewaacha mbali kwenye umiliki wa shule hospital vyuo
Hapo hujilinganishi nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kila siku ni matangazo ya kuunadi tu Uislamu ukilinganishwa na Ukristo, inamaana Uislamu wenyewe umeshindwa kujitangaza kwa maudhui safi na matendo mema popote pale duniani?
Nina wasiwasi sana juu ya hii dini isijekuwa hivi [emoji117] "Kizuri huwa chajiuza bali kibaya hujitangaza".
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hakuna dini inayopanga mahari tatizo tunapenda ufahari.Hamia kwao
Kila dini na taratibu zake
Mbona sisi tumewaacha mbali kwenye umiliki wa shule hospital vyuo
Hapo hujilinganishi nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbusu jiwe unapojifanya mkristoNdugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.
Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.
Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.
Mahari zenyewe ni kawaida tu si kama huku kwetu, wanachojali wao ni watu waowane na ndio maana ni ngumu sana kukuta jamii nyingi za waislamu wanaishi pamoja bila ndoa.
Hii nimeipenda watu waepuke zinaa ,hivi na kuachana ikoje ,ama ndio Ile kuwa muishi ndani mwezi bila kusemeshana ndio urudi kuwa bado nahitaji kumpati talaka.Kuna watu huwa wanafanya dhihaka kuwa waislamu mahari ndogo na bla bla kibao,hawajui lengo ni kufanya ndoa iwe nyepesi ili watu wafunge ndoa waepuke zinaa,lkn upande wa pili kwakuwa hamuogopi dhambi huwa mnadunda Tu!
Acha uongo wewe,unamaanisha kwenye jamii za kiislam hakuna ndoa maana wanaachana kila siku,hakuna Wanandoa waliozeeka!?Ndoa za kiislamu ni za kimchongo wala hazina mashiko, unaoa leo unaacha kesho…. huna cha kupoteza.
Jiwe gani unalozungumziaga!?..na unalionea wivu kweli Hilo jiwe kubusiwa!!.nenda kanisani ukapakwe mafuta na askofu halafu akubusu,simpo tu!!Mbusu jiwe unapojifanya mkristo