Waislamu Mnafeli wapi?

Tukikaa kimya mnatutaka tuongee, tukiongea mnataka tukae kimya.

Ukweli ni kwamba mashehe wote wanamiliki majini. Muislamu asiyewasiliana na majini labda ni wa level ya chini.
Eeeeh wametakaa uongee naweee umefungukaaaa
 
Hao Masharifu mala kadhaa tunaona ndio waalimu wazuri wa dini.

Akizaliwa mtoto Sharifu anatembezwa sehemu mbali mbali kutoa mihadhara ya dini na kuombea waislamu wenye madhaifu mbali mbali.

Wewe bado hujaufamu Uislamu kwa usahihi.
 
Na zawadi kibao wanampa
 
Na zawadi kibao wanampa
Waislamu wengi hawaufahamu uislamu wao.

Maimamu wao hawaambii kabisa namna mwislamu mtu na mwislamu Jini wanayoshiri pamoja kwenye dini yao, hadi wamwamini sana muumini huyo ndio wana mwambia hiyo habari

Mi nikiongea nao najua uelewa wao huwa nawaacha tu.

Uko ushirika mkubwa sana kati ya baadhi mashehe na majini maislamu ndio maana unaona kuwa baadhi ya mashehe wanatabiri nyota na kuagua na kuganga wanafanya hivyo kwa kuwezeshawa na majini

Na mwasisi ni Mtume Muhammadi mwenyewe.
Alikuwa anashiri dini pamoja na majini kama alivyoshiriki na waislamu watu.
 
Maimuna wenzio watakuja ku like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…