Hakuna tatizo mkuu, kinachonishangaza ni kwamba huwa siwaoni mkizungumza kiarabu kati yenu zaidi ya salamaleko na kunukuu aya za quran tu.
Hoja yako siipingi, labda ngoja nikupe hoja yangu nadhani itakua rahisi kuona nachokilenga. Mi nakaa uswahili ukichukua sampo hata ya watoto 10 ukiwauliza wewe upo sura gani wanataja vizuri tu na kurecite but wakimaliza kila mmoja ukimuuliza ina maana gani wengi huwa wanachemka. Kuchemka kwa watu wengi maana yake haijapewa msisitizo.
Ndo maana mi binafsi naona inatakiwa kupewa kipaumbele kikubwa sana ili kueliminate hiyo unasema "kwa mwanafunzi aliyezingatia mafunzo vyema" Yani iwe yeyote anayeenda madrasa awe na uwezo wa kuelewa kile anachosoma kwa wepesi zaidi, ili hata akisikia random sura ambayo hajasoma anakua anaelewa nini kinaongelewa
HIi ni experience na mtizamo wangu kuyoka huku uswahili nilipo
Kweli mku, nakuunga mkono tena aibu kubwa kwa waislam wa sasa, hatusomi Kiarabu wengine tunasoma lugha za makafiri badala ya kujifunza lugha yetu. Ijapokuwa kujifunza lugha ya makafiri sio dhambi lkn vijana wengi wa kiislamu wamejikita huko
Mafunzo ya dini ni zaidi ya kusoma Quran ukiona watoto wanaenda madrassa kuna mengi wanajifunzaNi abrakadabra tu hakuna cha kueleweka zaidi ya kuchanganya watoto tu. Unakuta mtoto anapelekwa englishi medium akajifunze kiingereza na jioni anaenda madrasa kukaririshwa kiarabu cha dini. Huyo mtoto wa kiswahili hapo ataelewa nini kama si ujinga tu?
uasi wa waarabu haufanyi kiarabu kiwe haram brother , na kutumia kiarabu kwenye swala haimaanishi kuwakuza waarabu , dini kukua au kufifia hilo halitakuongezea wala kukupunguzia kitu kwenye maisha yako , sisi ndo tunatakiwa kujishughulisha na hiloNakwambieni enyi waislam, ni suala la muda tu kuruwan kuwa obsolete. Unajua watu wa kizazi hiki reasoning yao iko tofauti sana. Mfano mpaka sasa hamjawapa sababu za msingi kwa nini tuabudu kwa kiarabu tu, ilhali Mwenyezi Mungu ni wa wote. Uarabu kuna uasi mkubwa sana unaendelea dhidi ya uislam. Ndiyo maana wengi wanahamia nchi za makafiri badala ya nchi za kiarabu.
Muislam tofauti na Wakiristo. Hata wewe ukisilimu mawazo mgando hayo hutakuwa nayoNakwambieni enyi waislam, ni suala la muda tu kuruwan kuwa obsolete. Unajua watu wa kizazi hiki reasoning yao iko tofauti sana. Mfano mpaka sasa hamjawapa sababu za msingi kwa nini tuabudu kwa kiarabu tu, ilhali Mwenyezi Mungu ni wa wote. Uarabu kuna uasi mkubwa sana unaendelea dhidi ya uislam. Ndiyo maana wengi wanahamia nchi za makafiri badala ya nchi za kiarabu.
Muislam tofauti na Wakiristo. Hata wewe ukisilimu mawazo mgando hayo hutakuwa nayo
hoja yako ya mazingira wezeshi nakubaliana nayo ndo vitu kama jamii vya kuamua na kuangalia solution ni nini.Hapo imeeleza vyema kabisa. Lakini ukweli ni huu. Huwezi mpata mtu hata mmoja ambaye atakijua kiarabu kwa ufasaha kwa kusoma madrasa pekee. Lugha ina mambo mengi. Moja wapo ni mazingira ya lugha (linguisticenvironment). Mazingira ya lugha hayamfanyi mtu kujua kiarabu. Kwa maana mazingira ya kujifunza lugh ndani na nje ya madrasa ni tofauti. Ndani ya madrasa kiarabu kinafundishwa. Nje ya madrasa kiswahili kimetamalami. Katika mazingira hayo ataimarishaje uweo wake wa kiarabu? Ndiyo maana Yoda anauliza mbona mkikutana mtasalimiana vizuri tu kiarabu, lkn baada ya hapo wataendelea kiswahili. That's very fun.
Kama waislam wenyewe wameridhika na mfumo wao wa maisha inatosha ,kama ambavyo sisi hatuhoji wale manabii wanaonena kwa lugha zisizoeleweka coz nyi wenyewe mmeridhika sisi haituhusuMawazo mgando ni kuamini kwamba Mwenyezi Mungu anakubali sala kwa lugha moja tu. Ilhali watu na Lugha zao ni malia Yake
Qu'ran imejengwa juu ya herufi 28 za hijaa ambazo kwa hizo ndo kiarabu chote kimejengwa hapo, hakuna herufi zaidi ya hizo sasa maneno yako kiasi kama sijayaelewa.Quran imeandikwa kiarabu ila kiarabu si Quran maandishi ya kiarabu yanatofautiana na ya kwenye Quran kwa kuwa huwa hayana irabu(aeiou) kwa hyo anaesoma Quran tupu hawez kusoma kiarabu unless amesoma kiarabu ama kwa lugha nyingine kiarabu kinasomwa kwa kujua maana na muundo wa maneno.
Mawazo mgando ni kuamini kwamba Mwenyezi Mungu anakubali sala kwa lugha moja tu. Ilhali watu na Lugha zao ni malia
Kwanini wakiristo waende makanisani na wasiabudu majumbani? MUNGU hayupo majumbani?
nchi za makafiri ni zipi mkuu? nitajie kama tano ili tujifunze mkuuNakwambieni enyi waislam, ni suala la muda tu kuruwan kuwa obsolete. Unajua watu wa kizazi hiki reasoning yao iko tofauti sana. Mfano mpaka sasa hamjawapa sababu za msingi kwa nini tuabudu kwa kiarabu tu, ilhali Mwenyezi Mungu ni wa wote. Uarabu kuna uasi mkubwa sana unaendelea dhidi ya uislam. Ndiyo maana wengi wanahamia nchi za makafiri badala ya nchi za kiarabu.
Kwanini wakiristo mnaenda kuabudu makanisani? Majumbani mungu hayupo? Kwanini upoteze muda wakati hata Mungu J2 nyumbani yupo?Mawazo mgando ni kuamini kwamba Mwenyezi Mungu anakubali sala kwa lugha moja tu. Ilhali watu na Lugha zao ni malia Yake
Hata wewe badili simu yako iwe kwa kiswahili uone kama ni rahisi kutumiaBadilisha simu yako kwenda arabic, halaf mpe aitumie kama ataweza
Utagundua wengi wanakariri lakini si kuelewa lugha yenyewe
Ni wachache sana wanao elewa hiyo lugha
nchi za makafiri ni zipi mkuu? nitajie kama tano ili tujifunze mkuu
Kama ni hivyo hizi dini haziwahusu waafrika maana zilikuja kwa lugha zao?Lugha Hutambulisha jamii.
Kama Quran ilishushwa ikiwa na ujumbe wa kiarabu Maana yake walengwa walikuwa ni waarabu.
Mungu anasema kwenye hiyo Quran , kuwa anasikia maombi ya mtu yoyote yule . Hata ukiswali kwa lugha yoyote anasikia.Bro kama naleta siasa. Jifanye jeuri au jitoe ufahamu kwa kuswali swala 5 kwa lugha yako ya kiswahili au ya kabila lako.