Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

Of course, tofauti Ni kubwa darling....yeye ana uhakika wa kupigwa mashine asubuhi mchana na jioni kwa gharama ya uji tu na baadae kuachwa kurudi kudanga.
Aisee! Kumbe wee ni kakorofi hivi.
Eeh hapa patamu leo wacha msimangane warembo kwa warembo 🤣🤣🤣🤣🤣
Atakae shinda aje nimnunulie pizza. Nipo nimekaa pale pizzahut mkuki mall
 
Huna ujualo ila punguza kuropoka ili mradi tu eti usisahaulike kama na wewe upo humu JF.
Punguza jazba,Kwani mkinikumbuka humu umnanipa hela ya ugali hebu relax na dini za waarabu zisikuumize kichwa kijana
 
Utajijuuu na kuloweka loweka kwako😂😂
Acha basi nawe mmbo yako ebu kwanza kagombane na mwanamke mwenzio huko naona kimeumana leo hapa jf. Wanawake wanakwarupiana 🤣🤣🤣🤣🤣

Kuloweka muhimu ujue basi tuu tunatomber hovyo kwa sababu ndalama zinapiga chenga. Mie ningekuwa na hela mbona nilishaoa zamani tena sio mrembo mmoja, wanne
 
Of course, tofauti Ni kubwa darling....yeye ana uhakika wa kupigwa mashine asubuhi mchana na jioni kwa gharama ya uji tu na baadae kuachwa kurudi kudanga.
We endelea kukitembesha mwisho uwe Single mamaz sugu na Wanaume wenu wa dini yenu wana kampeni ya kataa ndoa yaaani best Joannah ndoa utaishia kuiona kwenye TV🤨
 
Habari za humu!

Naukubali sana utaratibu wa wenzetu wa dini tofauti. Kwao unaweza kuoa na kuingiza mke kwa 200k au hata 100k. Niliwahi kuwa mshenga, kuna dogo alitoa 50k akachukua mke mapema sana maana ilikuwa kipindi cha Ramadhani mwendo wa maandazi tu harusi imeisha.

Nimeishi Kusini yaani kipindi hiki cha Ramadhani ndoa kama zote. Kwetu sisi wa Christ hali ni tete, maana budget ya mali tu kama 2.5mil ukianza maandalizi yaani budget ya chini mil 15, unasumbuka na michango hadi shida bado mwanamke naye anaweza kukusumbua, ukizingatia gharama ulizoingia hata Mahakama haisemi urudishiwe pesa yako.

Kuna wakati natamani nibadili dini nihamie upande wa pili, shida tu itikadi na malezi niliyokulia naamini life is useless without Christ.

Hapo ndio tunatofautiana Imani. Kama wenzangu wengekuwa wanamuamini Christ ndio everything ningehama. Otherwise nikae pale niangalie team kataa ndoa.
Kwenye Biblia hawaja andikwa swala la mahali sijui mil 2 au badget ya sherehe si chini ya mil 15.. huo ni utashi wa watu.. kuiga uzungu tu.. natoa ushuhuda.... Ndoa ya Babu yangu ali nihadhia kuwa, baada kufungishwa kanisani alirudi Nyumbani....
Dhehebu ninalo sali, kitabu cha sala kina himiza makasisi wawaambie Vijana ukweli kwamba ukamilifu wa ndoa si sherehe...
 
Aisee! Kumbe wee ni kakorofi hivi.
Eeh hapa patamu leo wacha msimangane warembo kwa warembo 🤣🤣🤣🤣🤣
Atakae shinda aje nimnunulie pizza. Nipo nimekaa pale pizzahut mkuki mall
Una penda bifu😁😁
 
Una penda bifu😁😁
Napenda bifu lenu nyie wanawake maana naona mmoja ana support kuolewa mwengine kudanga sasa sijui hoja ya nani itakuwa na mashiko.
Nipo nasoma mtanange.
Ila mie niseme ukweli nipo upande wako sasa usiniangushe mrembo ebu mbomonde huyo kwa point zilishoe da skonga
 
Sasa kifurushi Cha mwezi Unataka kiwe sh ngapi?maana baada ya ramadhani hizo ndoa huwa zinavunjika
Kuna kaka yangu ni mkatoliki kufa mtu. Alioa muimba kwaya, gharama jumla ilikuwa almost 8.5M kuanzia mahali mpaka sherrhe. Baada ya miezi 6 ndoa ikavunjika. Nikasema hiiiii bagoshaaaaa.

Nb:Ndoa kuvunjika Haina dini
 
Napenda bifu lenu nyie wanawake maana naona mmoja ana support kuolewa mwengine kudanga sasa sijui hoja ya nani itakuwa na mashiko.
Nipo nasoma mtanange.
Ila mie niseme ukweli nipo upande wako sasa usiniangushe mrembo ebu mbomonde huyo kwa point zilishoe da skonga
Kam kweli upo upande wangu naomba umuoe Joannah kwa msahafu ujue kudanga si vyema😬
 
Aisee! Kumbe wee ni kakorofi hivi.
Eeh hapa patamu leo wacha msimangane warembo kwa warembo 🤣🤣🤣🤣🤣
Atakae shinda aje nimnunulie pizza. Nipo nimekaa pale pizzahut mkuki mall
Niko ofisi opposite hapa kwenye matrekta mwambie ami aniletee kabisa niandelee nayo😂
 
We endelea kukitembesha mwisho uwe Single mamaz sugu na Wanaume wenu wa dini yenu wana kampeni ya kataa ndoa yaaani best Joannah ndoa utaishia kuiona kwenye TV🤨
Hivi ndoa Ni kuingia mbinguni?badala uniambie nipambanie uzima wa milele wa unaniambia nipambanie ndoa za kifurushi Cha mwezi kweli Nuzulati?
 
Back
Top Bottom