Nakuhusia usiishi ivi mambo ya imani yana mlango mpana sana ingekua ni kweli ayo mambo yapo basi kila siku watu wangekuwa wanakufa uko mtaani, propaganda zimewaharibu na uislam upo against mauaji ya ivo na kaa ukijua wanaofanya ivo wapo nje ya uislam, uislam unaamlisha amani na upendo ukiujua vizuri utabadilika tu na kuufuata
Yani wanaofanya mauaji kama kujilipua au kulipua makanisa hawapo sahihi hata kidogo uislam haujafundisha ivo
Ivo ni vikundi tu vyakiharifu kama vile
-Mafia
-Narcos
- lile kundi la congo na makundi mengine yakiharifu
Baadhi ya mambo yaliyokatazwa kwenye vita za jihad:-
-wasiiliwe watoto, wanawake, wazee na viongozi wa dini
-yasibolewe majengo ya ibada
- wasiuliwe wanajeshi walio retreat
- usijiue nafsi yako (kujitoa muhanga)
- usiue kwa moto
Izo ni baadhi ya sheria zilitumiwa kwenye jihadi
Na zamani vita ilikua ni njia yakawaida sana kusimamisha dola
Fanya research kuhusu mafundisho ya kweli ya uislam utoe ujinga uliojazwa
Kuhusu ndoa ni dini imeruhusu watu kuachana kwasababu binadamu kwa binadam mapenzi huisha usilazimishe kuishi na mtu amba huna mapenzi nae kabisa kwa sababu ya uvumilivu mtu kafanya uasherati, au mapenzi yameisha achaneni kwa wema hata kama ni mmekaa mwezi mmoja tu kwenye ndoa fateni sheria za dini imeamrisha nini kuhusu taraka sio mnaachana tu kama kuku apo mnakua nje ya uislam
Kwaiyo wanaokosea ni wengi ila usiihukum dini kwa upumbavu wa watu ndo maana msingi mkuu wa dini ni elimu kwanza