Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

Malezi gani ya kuwafunza watoto wadogo mambo ya kikubwaa?? Nimeishi na waislamu sanaa, sijaona hayo malezi.

Mtoto wa darasa la 3 anafundishwa mambo ya kitandani inahuu, ndo wanaongoza kuzaa wakiwa wadogo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unyago na msondo, akuuuuuh
Hayo hayahusiani Na dini,dini imekataza kuzini Kwa mwanaume na mwanamke Hadi kuoana huo ni udhaifu wa wazazi na watoto wenyew kuhus kujifunza dini na udhaifu wetu binadmau na kuhusu kuachika watu wanaachika Kwa tabia zao sio kwasabbu ya kuolewa Kwa gharama nafuu walio na tabia njema wanadumu kwenye ndoa
 
Hata za Kirklisto ukioa sehemu ya hali ya chini mahari ndogo unaoa pia
Hao waislamu wa hali ya chini mie mashoga zangu wanaolewa na mahari hadi 4m na Muslim pure
Inategemeana kama familia bora ni balaa tena usiombe waarabu hadi dhahabu lazima ulete
 
Suala lakuoa dini tofauti nisuala zito sana hasa hili lakutengwa naukoo mzima nikisanga hata mm bado niko dilemma naona kabisa unaweza kutengwa nandugu endapo ukioa jamii ambazo wao hawaziamini.
Unaogopa nini mtu mzima unajitafutia riziki labda kama wewe ni tegemezi kwa hao ndugu ndio utapata uzito
 
Suala lakuoa dini tofauti nisuala zito sana hasa hili lakutengwa naukoo mzima nikisanga hata mm bado niko dilemma naona kabisa unaweza kutengwa nandugu endapo ukioa jamii ambazo wao hawaziamini.
Kila mtu na namna anavyolichukulia, lakini hili n swala zito mm sishauri mtu ajaribu kabisa.
 
Mwenzio kifurushi chake kimeisha we unacheka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie najiuliza mbns hawana uzito ktk kuachana?? Yaan utashangaa vuupuu washa achana.
 
Hayo hayahusiani Na dini,dini imekataza kuzini Kwa mwanaume na mwanamke Hadi kuoana huo ni udhaifu wa wazazi na watoto wenyew kuhus kujifunza dini na udhaifu wetu binadmau na kuhusu kuachika watu wanaachika Kwa tabia zao sio kwasabbu ya kuolewa Kwa gharama nafuu walio na tabia njema wanadumu kwenye ndoa
Oooh hapo sawa shangaziii, umeelewekaaa.
 
na kuachana ndo kuzuri, mnakua mnaishi kwa adabu kama kweli ndoa unaitaka unaishi kwa adabu..
Halafu kuachika mwanamke wa kiislamu sio kesi huwa wanaolewaga tena sister angu kaolewa mara3 ya tatu ndo anayo mpaka leo.. kuna best angu aliolewa akaachika na mtoto na ameolewa tena mwezi wa2 ndoa za maana tu kwenye maukumbi huko.. Njoo huku kwa mimi mgalatia kama kuna mtu mwenye hali kama yangu anathubutu kunioa akifikiria mahari na sherehe anagairi
Ukikuta mwanaume amekuoa kwa mara ya tatu na ulimchana ukweli huyo amekupenda kweli sasa je hiyo dada alimwambia ukweli kuwa anae olewa nae ni mara tatu????

Kama alimwambia na alikubali basi huyo jamaa alimpenda kwa Hali yoyote na moyo wote.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie najiuliza mbns hawana uzito ktk kuachana?? Yaan utashangaa vuupuu washa achana.
Ghafla Kama chafya
 
Ukikuta mwanaume amekuoa kwa mara ya tatu na ulimchana ukweli huyo amekupenda kweli sasa je hiyo dada alimwambia ukweli kuwa anae olewa nae ni mara tatu????

Kama alimwambia na alikubali basi huyo jamaa alimpenda kwa Hali yoyote na moyo wote.
wanaume tofauti
 
Umenikumbusha yule Tajiri mfanyabiashara wa kimataifa Mmarekani aliyetaka kumuoa Ke Muislam Sudani 2019 afu Ke alitengwa na familia ya kwao na kumfungia kabisa asitoke nchini wala asiolewe na Mmarekani sababu tu ya Ukristo wa Me.

International Relations laws kupitia UN ndiyo ilisuluhisha ule mgogoro ndipo Binti akaolewa na kwenda kuishi na Me USA mazima.

Binti alikuwa PISI KALI hatareee....[emoji16]
Anaitwa nani
 
Back
Top Bottom