Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

Waislamu wanamtambuwa Masiah na wanatambua ndiye atakayehukumu wazima na wafu.

Achana na hawa waislamu maamuma wanaoshinda kwenye vibaraza vya misikiti kutwa mzima hawajui hata Masiah ni nani.
 
Ndoa za kiislam mahari waweza kutoa hata laki 1 unaondoka na binti, kwa wakristo hizi mahari za milioni 1 ni kawaida sana yapasa ujipange.

Sherehe latika ndoa za wakristo ni tukio muhimu na inaweza gharimu mpaka milioni 2 lakini kwa waislam ukishalipia mahari, sherehe itakuwa hapo hapo unaweza gharamika laki 1 tu na mambo yanamalizika.

Katika uislam Mwanaume anaweza kuongeza mke kama ilivyokuwa kwa manabii wengi tu katika biblia, ni hadi pale dini ilibyoanza kufata utamaduni wa wazungu wa kuoa mke moja nasi tukarithi,

Katika ndoa za kikristo hata mke akiwa mchawi, anachukia ndugu zako, hataki kukupa tendo, hataki kuzaa, n.k. hapo hamuachani inabidi mvumiliane.
 
Hamna pahali kweny bible pameandikwa mfanye sherehe ila ni watu binafsi ndo wameanzisha utaratibu. Unaweza kuepuka. Ndoa ni pale kanisani baada ya kufungishwa na kiongozi zinazobaki ni mbwembwe.
 
Mbona Waisilamu wanamuamini Yesu kuliko wakristo,mtafute kiongozi wa Waisilamu Shehe,halafu muulize Yesu ni nani? Utapewa majibu ya kukuridhisha nafsi yako
 
Mafarisayo asa mnachekesha jmni ni watu wa kuonewa huruma mnoo

Nyie kuachana kwenu mpk mahakamani aya sasa twendeni na statistics za mahakamani ni ndoa zipi zinaongoza kwa Talaka?

Mm sijibu jibu mnalo wenyewe nyie mafarisayo
 
Dr. Mwaka ni mfano mzuri zaidi wa kuigwa
 
Kila kitu ni gharama na gharama yeyote ina malipo yake

Wanaume tutafute pesa, ukiona mwanaume anazungumzia uislam kwenye ndoa ujue huyo yuko radhi aowe kiislamu alafu aishi kiiskrito kama mleta mada, yote ni kumpunguzia gharama lakini hana point ya msingi....

Ukiona mtu anatamani cha mwenzie huyo yuko radhi kufanya lolote juu ya kitu chake alimradi apate cha mwenzake... Hawana tofauti na alshababu wanaoamini kujilipua ndio kuipigania dini yao..
 
Kwani lazima mbona mnakuwa wapumbavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…