Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
[emoji1787][emoji1787]Wapo waliovaa balakashia na kanzu walipofika kwenye foleni wakakuta wale wagawaji wanawauliza "nisomee juzuu fulani"
Ikabidi wageuze tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Wapo waliovaa balakashia na kanzu walipofika kwenye foleni wakakuta wale wagawaji wanawauliza "nisomee juzuu fulani"
Ikabidi wageuze tu
Kilo ya nyama sh 8000 tu, nenda buchani kanunuwe nyama ule.Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hii, watangaze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wenyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa?
Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure?
Huo si uhuni?
😂Au alikuwa na haraka watu wakaamua kumnyamaziaSadaka ikitilewa (kama hio nyama) kipaombele Cha kwanza ni waislamu (waumini) ,pili majirani waislamu na mwisho majirani wasio waislamu.
Kwahiyo Labda ulikosa kwasababu nyama ilikuwa ndogo kuliko idadi ya watu (huwezi kupewa kwanza usiye muislamu akaachwa mlengwa) ,au wagawaji walipiga hat trick .
Ulikosa hata mualiko?
Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hii, watangaze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wenyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa?
Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure?
Huo si uhuni?
Mimi nipo hapa Arusha msikiti wa mtaani kwangu juzi jumamosi ailetwa ng'ombe mzima wakagawa kwa utaratibu huo huo jana wlileta mbuzi lakini wakwaambia leo kwaajili ya waislamu tu.😂Au alikuwa na haraka watu wakaamua kumnyamazia
Wewe ni mjasiria-tumbo.Mimi sio muislamu ila nina kanzu nina kilemba na hadi misikiti mikubwa naingia kuswali nina changamana nao ktk DUAH nakula sana vyakula vyao huwa siogopi kama nikidhamiria kula ubwabwa wao , ninajuwa haya mbili tatu tu na ninalafudhi nzuri tu ya kuisoma kwaiyo naweza anza alafu nikajifanya ninakohoa sana ninaomba udhuru inakuwa imepita iyo
Wavaa kobazi sio wa kuamini sana linapo kuja suala la chakula(nyama)...pole sana...sipati picha umekula tembele wakati ulikua unasikilizia nyama[emoji28][emoji28]Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hii, watangaze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wenyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa?
Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure?
Huo si uhuni?
huwa wanafata utaratibu kama ulivo katika Quran hawez kupewa jirani kabla muumin hajapataMimi nipo hapa Arusha msikiti wa mtaani kwangu juzi jumamosi ailetwa ng'ombe mzima wakagawa kwa utaratibu huo huo jana wlileta mbuzi lakini wakwaambia leo kwaajili ya waislamu tu.
Pia miezi miwili ya nyuma Kuna waarabu walitoa mbuzi 50 wachinjwe Kuna wakristo waliondoka hadi mbuzi mzima wengine walipewa mbuzi mmoja wagawane watu wanne
Kwahiyo jamaa alikosa kwa sababu zingine sio kwamba hastahili
Usilete chuki hpa m naongea factWalevi na wavuta sigara wanapendana sana.
Dini gani ya haki wanaopendana wao kwa wao? Siyo kweli
Jtahidi kwa mwakani uanze kusoma juzuu!Wapo waliovaa balakashia na kanzu walipofika kwenye foleni wakakuta wale wagawaji wanawauliza "nisomee juzuu fulani"
Ikabidi wageuze tu
Nioneshe mkristo mmoja tu alofnya ivo kwenye sikukuu zenuNi dini ya haki au ya mchongo? Marehemu muhammad aliwaweza sana
hapana sina njaa kiivo ila napenda tu kula kijuimiya na pia napenda kuwa ivo maana wanaonijuwa sio muislam wananipenda mno wengi wananishawish ni silimu ila nawaambia soon wanichagulie mke kwanzaWewe ni mjasiria-tumbo.
Msogeze huko uani apakuliwe huko huko mkuu.Mleta mada njoo hapa kwa Mpemba upakuliwe nyama ukale na familia yako.
Kama hupendi kupakuliwa njoo uani huku uchukue mbuzi mzima akampike mwenyewe.
Usilete chuki hpa m naongea fact
Kuna rafiki yangu naye ana kanzu na kofia kwa ajili ya events za kiislamu na amechagua mpk jina la kiislamu anajiita 'AbdulAziz' ikitokea fursa tu hata msikitini anaingia na kanzu yake na anasalimia kama muislamu hadi udhu anachukua na watu wakimuona wmebadilka basi anaitwa AbdulAziz na yeye anakuwa siriaz sana huwezi mdhania kuwa mkiristo.mi sio muislamu ila nina kanzu nina kilemba na hadi misikiti mikubwa naingia kuswali , ninajuwa haya mbili tatu tu na ninalafudhi nzuri tu ya kuisoma kwaiyo naweza anza alafu nikajifanya ninakohoa sana ninaomba udhuru inakuwa imepitaii
hapana sina njaa kiivo ila napenda tu kula kijuimiya na pia napenda kuwa ivo maana wanaonijuwa sio muislam wananipenda mno wengi wananishawish ni silimu ila nawaambia soon wanichagulie mke kwanza
Sio kweliWapo waliovaa balakashia na kanzu walipofika kwenye foleni wakakuta wale wagawaji wanawauliza "nisomee juzuu fulani"
Ikabidi wageuze tu
hlf ulichokiongea wala sio nilichomaanisha jirani ana haki yke kma jirani na inapaswa kumsaidia kma una uwezo huoSiyo fact bali ni upuuzi umeeleza.
Jirani yako siyo dini yako ana shida, humsaidii kwasababu siyo dini yako. Hapa dini inazidiwa upendo na walevi na wavuta sigara wanaopendana. Hawa jamaa ukiingia bar utasikia mpe bia hyo, jamaa hata humjui. Unapita zako jamaa hata humjui unamuomba sigara anakupa. Sasa wewe unayemjua mungu unakataa kumsaidia mwenzako kwasababu siyo dini yako.
Dini ni ukichaa uliokamaa ndiyo maana huwa siamini katika dini. Mtu anaweza kukuua kwasababu ya dini.