Waislamu wametufanyia uhuni mtaani kwetu kwenye hii sikukuu yao

Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hii, watangaze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wenyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa?
Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure?

Huo si uhuni?
Kilo ya nyama sh 8000 tu, nenda buchani kanunuwe nyama ule.

Waliotowa sadaka yao hawakumbaguwa mtu, kama shida ipo kwa wagawaji acha malalamiko vitu vidogo sana hivyo.
 
Sadaka ikitilewa (kama hio nyama) kipaombele Cha kwanza ni waislamu (waumini) ,pili majirani waislamu na mwisho majirani wasio waislamu.

Kwahiyo Labda ulikosa kwasababu nyama ilikuwa ndogo kuliko idadi ya watu (huwezi kupewa kwanza usiye muislamu akaachwa mlengwa) ,au wagawaji walipiga hat trick .

Ulikosa hata mualiko?
😂Au alikuwa na haraka watu wakaamua kumnyamazia
 
Sasa mzee ulienda wakasema awagawi kwa wa kristo
Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hii, watangaze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wenyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa?

Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure?

Huo si uhuni?
 
😂Au alikuwa na haraka watu wakaamua kumnyamazia
Mimi nipo hapa Arusha msikiti wa mtaani kwangu juzi jumamosi ailetwa ng'ombe mzima wakagawa kwa utaratibu huo huo jana wlileta mbuzi lakini wakwaambia leo kwaajili ya waislamu tu.

Pia miezi miwili ya nyuma Kuna waarabu walitoa mbuzi 50 wachinjwe Kuna wakristo waliondoka hadi mbuzi mzima wengine walipewa mbuzi mmoja wagawane watu wanne

Kwahiyo jamaa alikosa kwa sababu zingine sio kwamba hastahili
 
Mimi sio muislamu ila nina kanzu nina kilemba na hadi misikiti mikubwa naingia kuswali nina changamana nao ktk DUAH nakula sana vyakula vyao huwa siogopi kama nikidhamiria kula ubwabwa wao , ninajuwa haya mbili tatu tu na ninalafudhi nzuri tu ya kuisoma kwaiyo naweza anza alafu nikajifanya ninakohoa sana ninaomba udhuru inakuwa imepita iyo
Wewe ni mjasiria-tumbo.
 
Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hii, watangaze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wenyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa?

Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure?

Huo si uhuni?
Wavaa kobazi sio wa kuamini sana linapo kuja suala la chakula(nyama)...pole sana...sipati picha umekula tembele wakati ulikua unasikilizia nyama[emoji28][emoji28]

#MaendeleoHayanaChama
 
Mimi nipo hapa Arusha msikiti wa mtaani kwangu juzi jumamosi ailetwa ng'ombe mzima wakagawa kwa utaratibu huo huo jana wlileta mbuzi lakini wakwaambia leo kwaajili ya waislamu tu.

Pia miezi miwili ya nyuma Kuna waarabu walitoa mbuzi 50 wachinjwe Kuna wakristo waliondoka hadi mbuzi mzima wengine walipewa mbuzi mmoja wagawane watu wanne

Kwahiyo jamaa alikosa kwa sababu zingine sio kwamba hastahili
huwa wanafata utaratibu kama ulivo katika Quran hawez kupewa jirani kabla muumin hajapata
 
mi sio muislamu ila nina kanzu nina kilemba na hadi misikiti mikubwa naingia kuswali , ninajuwa haya mbili tatu tu na ninalafudhi nzuri tu ya kuisoma kwaiyo naweza anza alafu nikajifanya ninakohoa sana ninaomba udhuru inakuwa imepitaii
Wewe ni mjasiria-tumbo.
hapana sina njaa kiivo ila napenda tu kula kijuimiya na pia napenda kuwa ivo maana wanaonijuwa sio muislam wananipenda mno wengi wananishawish ni silimu ila nawaambia soon wanichagulie mke kwanza
 
Mleta mada njoo hapa kwa Mpemba upakuliwe nyama ukale na familia yako.
Kama hupendi kupakuliwa njoo uani huku uchukue mbuzi mzima akampike mwenyewe.
 
Siyo fact bali ni upuuzi umeeleza.
Jirani yako siyo dini yako ana shida, humsaidii kwasababu siyo dini yako. Hapa dini inazidiwa upendo na walevi na wavuta sigara wanaopendana. Hawa jamaa ukiingia bar utasikia mpe bia hyo, jamaa hata humjui. Unapita zako jamaa hata humjui unamuomba sigara anakupa. Sasa wewe unayemjua mungu unakataa kumsaidia mwenzako kwasababu siyo dini yako.
Dini ni ukichaa uliokamaa ndiyo maana huwa siamini katika dini. Mtu anaweza kukuua kwasababu ya dini.
Usilete chuki hpa m naongea fact
 
mi sio muislamu ila nina kanzu nina kilemba na hadi misikiti mikubwa naingia kuswali , ninajuwa haya mbili tatu tu na ninalafudhi nzuri tu ya kuisoma kwaiyo naweza anza alafu nikajifanya ninakohoa sana ninaomba udhuru inakuwa imepitaii

hapana sina njaa kiivo ila napenda tu kula kijuimiya na pia napenda kuwa ivo maana wanaonijuwa sio muislam wananipenda mno wengi wananishawish ni silimu ila nawaambia soon wanichagulie mke kwanza
Kuna rafiki yangu naye ana kanzu na kofia kwa ajili ya events za kiislamu na amechagua mpk jina la kiislamu anajiita 'AbdulAziz' ikitokea fursa tu hata msikitini anaingia na kanzu yake na anasalimia kama muislamu hadi udhu anachukua na watu wakimuona wmebadilka basi anaitwa AbdulAziz na yeye anakuwa siriaz sana huwezi mdhania kuwa mkiristo.
 
Siyo fact bali ni upuuzi umeeleza.
Jirani yako siyo dini yako ana shida, humsaidii kwasababu siyo dini yako. Hapa dini inazidiwa upendo na walevi na wavuta sigara wanaopendana. Hawa jamaa ukiingia bar utasikia mpe bia hyo, jamaa hata humjui. Unapita zako jamaa hata humjui unamuomba sigara anakupa. Sasa wewe unayemjua mungu unakataa kumsaidia mwenzako kwasababu siyo dini yako.
Dini ni ukichaa uliokamaa ndiyo maana huwa siamini katika dini. Mtu anaweza kukuua kwasababu ya dini.
hlf ulichokiongea wala sio nilichomaanisha jirani ana haki yke kma jirani na inapaswa kumsaidia kma una uwezo huo

Ila sasa uliza vzr hlf ndio ulete hasira zako hpa
 
Back
Top Bottom