Waislamu wanatubeba sana!!

Sawa mnatubeba hatukatai, ila mbona ndio mnaongoza kwenye malalamiko?
Elimu
Ajira
Utawala,
Haki
Biashara
Vyote mnasema wakristo wanawaonea!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Umesahau kitu kimoja. Awamu zilizoongozwa na muslims ndio ziliongoza kwa corruption na scandals za uhujumu uchumi.
 

Kwani wakristo hawafanyi yasio takiwa?! So wakifanya wanakua wanafiki[emoji23][emoji38][emoji38]
 
Shida yako unasumbuliwa na majina. Mtu akiitwa James umekimbia kumlable ni mkristo na mtu akiitwa Ally umekimbia kumlable ni muislam. Ethiopia Waziri Mkuu wake anaitwa Abeiy Ahmed lakini ni mlokole . Shida yako unatukuza udini.

Acha uwongo [emoji16][emoji38][emoji38]
 
Kwa kutuuzia zile chemical au?dini haiko kirahisi hivyo na boxing je?
 
Takwimu za kichekechea hizo mkiambiwa hamjasoma mnabisha!
 
Mbn yule shehe wenu alimkubali jiwe na kumlinganisha na mitume una maanisha huyu atamfananisha na allah?
 
Ndio wizi mzur
 
Mkuu nchi yetu ma Rais wote ni RC ni nini walichofanya Sasa, hyo ya kuingiza sijui Rc ni best tungeyaona hayo mambo
[emoji23][emoji23][emoji23] nimeona nicheke kwanza. Naomba nitaje marahisi wakatoliki ninaowafahamu wa hapa Tz.

1. Mwal julius kambarage nyerere
2. Benjamin William mkapa
3. Dkt John pombe magufuli(ahaa kumbe nimemaliza wote)

Dah aisee komenti yako imenifanya nikufikirie sana. Maana hiyo Dp uliyoweka hapo inaweza ikawa siyo yako lakini kwa muonekano wake inatafsiri kuwa wew ni msichana unayefikir wisely sana lakini kwa hii komenti yako nimeanza kupata mashaka.

Siyo kwako tu na kwa wasichana wengine wa humu. Ila nimegundua kitu... Wewe utakuwa under 18[emoji23][emoji23].

Sorry kama nitakuwa nimekukwaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…