Waislamu wanatubeba sana!!

Waislamu wanatubeba sana!!

Sawa mnatubeba hatukatai, ila mbona ndio mnaongoza kwenye malalamiko?
Elimu
Ajira
Utawala,
Haki
Biashara
Vyote mnasema wakristo wanawaonea!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:

1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.

[UPDATE from DeepPond]:
  • Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
  • Yanga inadhaminiwa na GSM.
  • Simba inadhaminiwa na Mo.
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
View attachment 2049955

2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
😀😀 Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.

5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.

View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!

========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.

Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407
Umesahau kitu kimoja. Awamu zilizoongozwa na muslims ndio ziliongoza kwa corruption na scandals za uhujumu uchumi.
 
Ila waislamu ni wanafiki sn,wao ndy wanaongoza kulalamika wananynyaswa na mfumo Kristo kila siku

Unafiki mwingine ni huu;Kusema muziki,Mpira ni ushetani lkn wao ndy wapo on top,wameshikilia crown [emoji146]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app

Kwani wakristo hawafanyi yasio takiwa?! So wakifanya wanakua wanafiki[emoji23][emoji38][emoji38]
 
Shida yako unasumbuliwa na majina. Mtu akiitwa James umekimbia kumlable ni mkristo na mtu akiitwa Ally umekimbia kumlable ni muislam. Ethiopia Waziri Mkuu wake anaitwa Abeiy Ahmed lakini ni mlokole . Shida yako unatukuza udini.

Acha uwongo [emoji16][emoji38][emoji38]
 
Hapo muislamu ni Said Bakhresa tu, waliobaki hao ni Illuminati, wengi kulijuwa hili ni ngumu sana.

Kabla ya kujuwa maana ya utajili ni nini jifunze kujuwa maana ya self made Millionaire.

Kwa Tanzania unakutana na watu kama marehemu Reginald Mengi na Juma Mufuruki na Bakhresa

Huyo Shekhar Kanabar na Mo Dewji walishaandaliwa maisha na Baba zao wao wametake off tu.

Mengi alivyotoka Uingereza kusoma alianza kuajili Water coopers kama mhasibu.
Kwa kutuuzia zile chemical au?dini haiko kirahisi hivyo na boxing je?
 
tanzania waislamu ni 90/% wananchi wake ni waislamu ila wengi hawaingii msikitini lakini kama siku mungu akiwakbusha waingie msikitini sala 5 tanzania itakuwa kama mwezi wa ramadhani kwa siku zote kwenye sensa hawataki kuandika dini na waislamu tanzania wakiamua wote wavae kanzu aaaa utahesabu mmoja mmoja wenye suruali
Takwimu za kichekechea hizo mkiambiwa hamjasoma mnabisha!
 
Mitano tena kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Lazima Mama ugombee tena.

Kura yangu nishakupatia.

Ukimaliza mpe
January Makamba[emoji106]
Bila kupepesa macho.
Atakula na sisi tunakula.

Akimaliza Makamba ampe Hussein Mwinyi[emoji106]
bila mashaka.

Watanzania tunataka Amani, Furaha na Maendeleo.

Na sio Usabaya.
Mbn yule shehe wenu alimkubali jiwe na kumlinganisha na mitume una maanisha huyu atamfananisha na allah?
 
Kweli wasomi ni wengi na wanaolimaliza Taifa hili ni hao wasomi
Nikikumbuka yale maburungutu aliogawa Rugemalira na kuwapa dini yake tu mpaka maaskofu na wenye ELIMU hujashangaa

EPA, Escrow na mengine
Mtu anapewa 1.5b anasema mboga
Na yule wa Rada pia dini hiyo hiyo

Kwa kweli kusoma sio kusaidia Taifa bali kuliangamiza kwa wizi
Baada ya wakristo kusoma sana na waislamu kupigwa biti kwenye elimu waliamua kufanya biashara

Na leo wao ndio wanaotoa mchango mkubwa katika kulipa kodi nchini

Someni sana ila bado wanafunzi wanajisaidia porini umejiuliza kwanini?

Kalamu inaiba sana
Ndio wizi mzur
 
Mkuu nchi yetu ma Rais wote ni RC ni nini walichofanya Sasa, hyo ya kuingiza sijui Rc ni best tungeyaona hayo mambo
[emoji23][emoji23][emoji23] nimeona nicheke kwanza. Naomba nitaje marahisi wakatoliki ninaowafahamu wa hapa Tz.

1. Mwal julius kambarage nyerere
2. Benjamin William mkapa
3. Dkt John pombe magufuli(ahaa kumbe nimemaliza wote)

Dah aisee komenti yako imenifanya nikufikirie sana. Maana hiyo Dp uliyoweka hapo inaweza ikawa siyo yako lakini kwa muonekano wake inatafsiri kuwa wew ni msichana unayefikir wisely sana lakini kwa hii komenti yako nimeanza kupata mashaka.

Siyo kwako tu na kwa wasichana wengine wa humu. Ila nimegundua kitu... Wewe utakuwa under 18[emoji23][emoji23].

Sorry kama nitakuwa nimekukwaza.
 
Back
Top Bottom