kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,970
- 4,448
Dini ya mwenyezi mungu ni ile ya kumuabudia mwamba Brian Deacon huku mwenyewe anawakataza na mnalazimisha kumuweka kwenye masanamu ya kabisa na rozariUgaidi✅ kufuga kitimoto❌. Hiyo ndio dini ya mnyaazi mungu
HIVI WAGALATIA MMEWAHI KUWAPENDA LINI WAISLAMU NA KUWATAKIA KHERI?Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Sheikh Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya.Wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako katika Quran,aliendelea kufafanua kuwa Quran haijakataza kufuga nguruwe bali imekataza kula nguruwe,alisema hata yeye amekuwa akifuga nguruwe ambao wamemletea manufaa ya kiuchumi ikiwemo uwezo wa kuwalipia karo watoto shuleni,alisisitiza waislamu hawakatazwi kufuga nguruwe kwa ajili ya kujikwamua kutoka katika dimbwi la umasikini.Ushauri wangu kwa waislamu wa jf na wengineo waanze kusoma nyuzi za namna ya ufugaji bora wa nguruwe au tuseme ufugaji wenye tija
Kuoa kitoto cha miaka 9✅ kufuga kitimoto❌. Dini ya amaniDini ya mwenyezi mungu ni ile ya kumuabudia mwamba Brian Deacon huku mwenyewe anawakataza na mnalazimisha kumuweka kwenye masanamu ya kabisa na rozari
Ndiyo unafiki wenyewe.Wewe ndio unaijua sana Quran?
Umeandika uozo,
Kama ushasema ikiwa hamna namna, sasa namna ipo
Halafu uislamu upo hivyo kwa vitu vyote ikitokea hamna namna kabisa itafanyika kinachowezekana
Hata bangi ikiwa ndio hamna namna may be dawa pekee hapo itatumika kwa hali hiyo hiyo
Mwacheni kaka yangu FaizaFoxyHuyo atakuwa anachambana voo saa hz na kupiga ngano na beshete yake secretarybird maake wanajikuta ni wanazuoni wa kiswahili Cha Marko polo
Mkuu dini yetu umeijua tangu lini aise.Hakuna wa kuniletea ubabaishaji humu dini yao naijua hasa, ni vile sipend mabishano
Huu sio ugali 😂
Achana na hilo, kule mtu akinunua kitimoto anavuna mafuta pia, kwahiyo wese la kitimoto linatumika kupikia mboga nyingine pia.kuna mzenji alipangiwa kazi mbeya alafu jamaa swala 5 hasa,jamaa alitafuta uhamisho kwanguvu zake zote,madai yake anasema huku kitimoto nje nje shida ipo kwawatoto wanaweza kukaribishwa ugali kwajirani wakala bila kujua ni ugali nakitimoto
Sasa kama ndiyo hivyo, mbona kuna watu, Wasio Waislamu, na choka mbaya, na hawafugi nguruwe ili kujikwamua.Shehe atapingwa sana lakini ameongea jambo la.msingi
Wewe na nani mwenye huo msimamo?Mkuu umeliweka sawa kabisa, wanataka tufanane, tumepewa majina ya hajabu kwa msaimamo wetu wadini, itikadi kali, mujahidina swara tano kobazi gaidi nk kisa tuna msimamo.
Da nimecheka *******Abdulswamadu Khafidh Zubeir akichukua Bayodata za Mradi wa Msikiti Mkuu jijini Mbeya.
View attachment 3364777
Mimi ni Karim aseehMkuu dini yetu umeijua tangu lini aise.
Faiza ni bii kizee anapokea pango nyumba zake, hapo mnazi mmoja!!Mwacheni kaka yangu FaizaFoxy
Mimi ni Rajabu.Mimi ni Karim aseeh
Ndugu yangu ktk ImaniMimi ni Rajabu.
Pale mnazi mmoja anakaa kaka yangu Evelyn Salt.Faiza ni bii kizee anapokea pango nyumba zake, hapo mnazi mmoja!!
Sawa Malkia Zumaridi tumekusikiaItaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Sheikh Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya.Wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako katika Quran,aliendelea kufafanua kuwa Quran haijakataza kufuga nguruwe bali imekataza kula nguruwe,alisema hata yeye amekuwa akifuga nguruwe ambao wamemletea manufaa ya kiuchumi ikiwemo uwezo wa kuwalipia karo watoto shuleni,alisisitiza waislamu hawakatazwi kufuga nguruwe kwa ajili ya kujikwamua kutoka katika dimbwi la umasikini.Ushauri wangu kwa waislamu wa jf na wengineo waanze kusoma nyuzi za namna ya ufugaji bora wa nguruwe au tuseme ufugaji wenye tija