Waisrael wawili tu wamejeruhiwa kidogo pamoja na Iran kurusha makombora ya masafa marefu zaidi ya 200 kuelekea Israel

Mkuu yote hayajadunguliwa.
-Kuna ambayo yameripuka yenyewe hewani huko kutokana na over heat pindi yanashuka
-Kuna Yale yamedunguliwa yakaanguka vipande vipande.
-Kuna Yale mengine hayajaripuka kabisa.
-Kuna mengine yameanguka sehemu ambayo hakuna watu yameanguka sehemu ya wazi.

Kwa kifupi yalirushwa bila 🎯 target
 
Hamas walivyofanya ugaidi na kuuwa raia zaidi 1300 ndani ya masaa 8 ule haukua uislam?!
Jeshi la Israel kupitia helcopter zao za kijeshi za Apache ziliua waisrael wenzao wengi sana kupitia ile doctrine inayoitwa Hannibal directive siku hiyo ya october 7.
 
Angetaka kuua watu wengi angerenga Ma hospital kama anavyofanya Netanyau

Amemuonyesha tu kama anao uwezo wa kuingia na kutoka

Inshort Irani hapendi vita ila analazimishwa tu na makafiri wa Israel na mabasha zao Marekani na uingereza
 
Hapo Tina wairan 6 wa kufyeka

Israel 1 sawa napalestine
Lebanon
Hezbollah
Hamas
Na sasa Iran watatu........
Walivyoua 1500 waliambiwa tynahitaji 45000 mpaka 50000

Mpaka sasa wamefikia 44300 kule gaza

Ombeen 700 wafikie haraka wasiz vita

Hawa Iran wetu tunawapigia hukohuko kwao 6 waende kwa aman
 
kaziiiendeleeee tuuu
 

Attachments

  • Screenshot_20241002-092029_Chrome.jpg
    295.7 KB · Views: 1
kaziii iendeleeeee
 

Attachments

  • Screenshot_20241002-092211_Chrome.jpg
    279.5 KB · Views: 1
Besides,we as muslims hatuwezi kushangilia umwagaji wa damu kwa namna yyte kwa CIVILIANS

Hata hivyo alichokifanya IRAN ni kulipa kisasi kwa umwagaji damu mwingi uliofanywa na ISRAEL huko Gaza,Lebanon hata kwa kuua kwa viongozi kadhaa wakiwemo wa hizbollah na Iran.

Iran hajashambulia makazi ya watu,ameshambulia military sites na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kabisa.

ISRAEL akijibu mapigo atapata majibu yake.

If you are celebrating just know that you are definitely celebrating your premature ejaculation.
 
Jiandae kwa msiba mzito, mwambieni allah aandae madem wakutosha.
Mimi sihitaji wengi sana,akinipa wewe tuh kwanza hapa hapa duniani utanitosha,pisi kali kama wewe ningeipata dunia yote ingekuwa yangu madam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…