Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 525
- 876
Mkuu yote hayajadunguliwa.nimjiuliza sana makombora yote yale!!! na yote yamedunguliwa! hivi kwa nini wasikubali tu wakapatana na myahudi jamani! hivi nyie wairan funzo la hizbollar awalioni kweli?Iran pataneni na israel nyie ni ndugu, Ibrahim baba wa israel alikuwa mkaldayo. Pataneni Dola yenu inaenda kuanguka mazima! Mark my words!
-Kuna ambayo yameripuka yenyewe hewani huko kutokana na over heat pindi yanashuka
-Kuna Yale yamedunguliwa yakaanguka vipande vipande.
-Kuna Yale mengine hayajaripuka kabisa.
-Kuna mengine yameanguka sehemu ambayo hakuna watu yameanguka sehemu ya wazi.
Kwa kifupi yalirushwa bila 🎯 target