Ile tafsiri ya "katiba yetu ni nzuri" aliyoitoa bi Kidude tafsiri yake ni katiba nzuri kwa kufanya uhuni na maamuzi yoyote bila kuwa na wasiwasi wa kuhojiwa au kushtakiwa .
Kwa kifupi katiba ile mwananchi si lolote bali wanaotawala ndio wanaweza kuamua hata kesho mtu apotee na wasihojiwe popote.
Na mambo yamefanyika haraka haraka kweli kana kwamba kuna kitu wanajaribu kukificha. Hata wanaokunyaga vichakani hawanyi kwa haraka namna hii .
Nashangaa mtu kasema ni kijitabu, halafu akiwa anataka kufanya lake anakisifu hicho kijitabu kizuri, hivi upstairs yupo sawa kweli?
Umesema jambo muhimu sana..ina maana CCM wanaweza kumuondoa Rais kwa kumvua uanachama.
Hivi kuna sehemu yeyote kwenye KATIBA imetamkwa Barua ya VP kujiuzulu ipelekwe kwa nani?View attachment 3660111
Na kwanini Rais aridhie kujiuzulu kwa mtu ambaye alipigiwa kura kama mate na sio kwa teuzi ya barua?
Kwenye kumtetea magufuli hapo unataka kudanganya na mimi sikubali unidanganye....Magufuli kwa kinywa chake alimtaka ndugai awashughulikie wabunge wenye mawazo mbadala huko ndani bungeni na wakitoka nje atawashughulikia yeye....magufuli huyohuyo aliwahi kuwashangaa wakurugenzi wanaowatangaza wabunge wa upinzani kwenye uchaguzi....Magufuli huyohuyo lissu kapigwa risasi alikaa kimya bila kulizungumzia lile tukio hata kwa kulaani alishindwa....Magufuli huyohuyo aliunajisi uchaguzi wa serikali ya mitaa 2019Wakati wa rafiki yangu, mimi naamini hakuyafanya yeye bali waliyawanya wao, yeye akawa Bangusilo na hii ilifanyika ili watu kama nyie mumchukie yeye.
Chukulia utekwaji wa Mo Dewji! isitoshe. Ukimsikiliza kwa makini sana Polepole utanielewa, japo kuna watu wamesha aminishwa kuwa utekaji na mauaji ilikuwa kazi ya Magufuli. Kwa wanamojua Magufuli kwenye IMANI ya KIROHO watakwambia sii mtu anayeweza fanya mambo yale.
MAGUFULI alikuwa Gaddafi wa Tanzania (Magufulification) ukimkosea, ukimuudhi anakuchana mbele za watu hafichi kutumbua mtu yeyote hadharani na hili liliwachukiza wengi ati udhalilishaji kwa nini isiwe siri
Niishie hapa, maana kama Polepole aliweza kupotezwa hata Makamu wa rais anaweza kupotezwa! Mimi nani wa kusimama kidume mbele ya mfumo kandamizi.
Kwanini Kamati Kuu ya CCM iliamua kututangazia Jina la VP mpya?
Kwa kifupi silaha yao kubwa kubaki madarakani ni katiba na utekajiHuwa nashangaa kweli, watu Wa CCM hawako sawa kichwani, katib ikiwa inawabana ni kijitabu, ila ikiwa inawa favor basi ni Muhimu. Lol
Jaji Waliyoba Alimpigia simu akathibitisha Dr. Nchimbi mwenyewe kwamba "Nimeandika Barua ya kujiudhuru"Na. M. M. Mwanakijiji
Wanasifia "Katiba yetu nzuri"
Wanasema wameridhia EN ajiuzulu
Wakafanya kikao na kupendekeza mtu mwingine
Wakampitisha Bungeni
Wakaenda kumuapisha Ikulu
Wakahamisha vimulimuli, ving'ora na saluti
Wenye kupiga makofi na vigelegele wakapiga...
Siku tano baadaye...
Aliyesemwa kajiuzulu hajaonekana... Wanaosifia Katiba nzuri hawatuambii kama hiyo Katiba imemlinda aliye"jiuzulu"...
Hakuna aliyeonesha hadi leo EN akisema amejiuzulu kwa hiari yake au hata kuonekana akikabidhi barua au ofisi kwa makamu mpya! Sasa ikitokea wanatuonesha mwili wake marehemu... na kujitokeza kutoa poleee... si bado watatuambia "Bwana ametoa, Bwana ametwaa"?
Kama Katiba hii ni nzuri sana... kuna ubaya gani EN aelezee bila mtutu wa bunduki sikioni alivyojiuzulu?
Maana kama VP anaweza kuondolewa tukaletewa mwingine... itakuwaje tuone Rais anatoweka, hatujui aliko, siku chache baadaye tunaambiwa "inna illahi wa inna lillahi rajioun", mwingine anaapishwa....
Inakukumbusha kitu chochote?
Swali: Ikitokea Nchimbi anaibuka na kusema hajajiuzulu Umakamu je, Ndejembi atakuwa bado halali?
Na hili liwe kwa Speaker pia. Hii mambo ya kufanyika (kufanyiana) gizani na pengine under mtutu wa bastola ni uhuni tu.Ni wakati sasa katiba mpya ilazimishe kujiuzulu kufanyike hadharani wakati tunamuona live mtu anayejiuzulu na ajieleze kwa wananchi sababu zake za kujiuzulu, ikiwezekana bungeni kabisa.
Hii habari ya kujiuzulu kisirisiri kwa barua za Twitter mtu anaweza kupandishiwa habari ya kujiuzulu na yeye akaiona Twitter tu.
Nchimbi ni mali ya Umma , public lazima iwe concerned na whereabout zakeUnajichoshaga na maswali yasiyo na kichwa wala miguu. Mbona barua yake ya kujiuzulu ilisambaa mitandaoni. Suala la kutoonekana hadharani inawezekana ni uamuzi wake binafsi. Kwani we ulishawahi kuonekana hdharani? Nenda nyumbani kwake au waulize ndg zake
Unajuaje kama alijibu bila bastola shingoni?Jaji Waliyoba Alimpigia simu akathibitisha Dr. Nchimbi mwenyewe kwamba "Nimeandika Barua ya kujiudhuru"
Kwa hoja kwamba vipi Kama ajajiudhuru ni hoja dhaifu.
Kulingana na Maelezo ya Jaji Alimpigia mara baada ya kuonaUnajuaje kama alijibu bila bastola shingoni?
Umeandika ukweli mtupu.Hakuna uwajibishwaji kwa viongozi wa ngazi kubwa wanapokiuka katiba.
Bahati mbaya aliingia kwenye madaraka katika mazingira yenye utata yaliyoacha uchungu na maumivu kwa wengi. Kupata wengi wa kumlilia labda ubinadamu (na ile aliyosema ni kauli yake ya mwisho) uchukue mkondo wake, ila hiki cha MO29 ndiyo kinaweza kuwapa nguvu na upenyo watesi wake.Nchimbi ni mali ya Umma , public lazima iwe concerned na whereabout zake
Makamu wa Rais haonekani a week huku tunaaminishwa kajiuzulu
How do you find it mzee especially kwa figure kama ile
Ujue CCM ni dumbs mkuu na hawana akili huwa movement zao ni kama zinafanywa na very low class people
Hiki walichofanya kina impact kubwa sana baadae
Mbona EN yupo na Polepole hii ni siku ya tano leo.Kwa mujibu wa Mzee Warioba,hapatikani kwenye simu licha ya jitihada za kumtafuta. Yuko wapi?
Matako yako. Wewe hata samia akikushika makalio yako utaendelea kusifia tu hapa.Mbona EN yupo na Polepole hii ni siku ya tano leo.
Mnakumbuka Magu aliwahi kusema: "huwezi kuwa msaliti na ukaendelea ku-survive"
Juzi ulisema yupo Canada, leo tena upo hapa na "Inawezekana...." Hivi watu akili zenu zinafanyaje kazi nyie?Inawezekana alijibu kwa kulazimishwa
Mugabe alitolewa na naniAtolewe na nani? Tumia akili!