Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

kwa fasta fasta hakuna , ila kwa kua inatambua makamo anaweza jiuzulu , kwa hali iliyopo naona utaratibu ni barua kwenda kwa rais, waliobobea watatusaidia
Kwa nini sio Bunge. Swali linalo thibitishwa na hii hatua ya Pili baada ya kuona ya Kwanza imeshindwa kufanya kazi.ndiyo ikawekwa , ya kufukuzwa Chama.
 
Double standards ni miongoni mwa magonjwa yetu.
Vile vile Magufuli aliwaambia majaji anashindwaje mahakamani ilhali wanapewa mishahara, nyumba na magari.
Hata wanasheria walitishwa kwa kuwatetea wakosoaji wa watawala.
 
Wewe ulivyo mpuuzi ni wa kumfunza mtu? Nimekugea point muhimu sana ungekuwa na akili ungekuwa na jibu. Yaani familia ya makamu wa rais itoke hadharani na kudai ametekwa?
 
Double standards ni miongoni mwa magonjwa yetu.
Vile vile Magufuli aliwaambia majaji anashindwaje mahakamani ilhali wanapewa mishahara, nyumba na magari.
Hata wanasheria walitishwa kwa kuwatetea wakosoaji wa watawala.
Watanzania wengi wetu ni wanafiki mno nikweli samia simkubali kafanya uhuni mno Lissu yupo ndani kwa kesi ya kuokoteza tu...watu wameuawa 0October 29 mpaka leo ni danadana tu za tume....kubambikia watu kesi kisa wanaikosoa serikali kwa maneno tu....kutekwa kwa watu....kuunajisi uchaguzi wa serikali ya mitaa 2024...nk,,, haya mambo hata wakati wa magufuli yalikuwepo ila kinachoniuma mtu kama huyo Mzee Mwanakijiji kuyaona ya Samia tu ila ya magufuli wakati ule alifumbia macho hakika huu ni zaidi ya unafiki
 
Sasa ni wazi Nchimbi, alitaka ashtakiwe Bungeni, ndio hizo hatua za kumtoa zifuatwe, lakini ikashindikana ndio , ikaja hiyo ya kufukuzwa uanachama. Hili la Barua ngoja wataalamu wa mwandiko au Waliosoma Naye watuambie
 
Inawezekana mtu aliigiza sauti, app au AI
 
Acha ufyatu..una uhakika nilifumba macho au unasema tu Ili ujipe uhalali wa kufumbia macho? Si kuna sehemu ya kusearch hapo juu...jaribu kupatumia.
 
Hilo hutaliona tena...

Kwa maelezo ya A.G ni kwamba EN hana nafasi tena ya hata kukabidhi ofisi kwa sababu kashatolewa uanachama wa chama kilichompa dhamana ya kuwa Makamu wa Rais...
Kwa hiyo hakujiuzulu, hivyo hakuna makabidhiano ya Offisi. Bali kuna kufukuzwa uanachama.Yaani wajumbe wa Halmashauri Kuu ndio waliomlazimisha yuda Stoke kwenye hiyo nafasi haramu
Bado kuna 'option' nyingine iko wazi.
Ya utashi wake mwenyewe kutotaka kuonekana..

Hili ndilo lenye matumaini kwangu.
Huo utashi utautekeleza vípi, wakati umezungukwa na walinzi
 
Hivi Chama kikimuita mwanachama wake kwa mahojiano, inatakiwa kuwa taarifa kwa umma?
Hivi ilikuaje wabunge wa Covid-19 na Zitto Kabwe kuendelea kubaki bungeni hata baada ya kufukuzwa chama ?
 
Kwenye barua ya kujiuzulue ule mstari wa kuachana na siasa na utumishi wa umma uliwekwa kimkakati ili asitokee kwenye umma tena kuzungumzia lolote kuhusu siasa, vinginevyo atawekwa detention kwa decree ya Rais au kupewa kesi ya uhaini itakayofanywa kwa siri bila camera kwa kigezo cha kulinda siri za usalama wa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…