mpk 1919 league of nations ilipomuamuru kuachia makolon km fidia ya vita , pili ilikuwa ngumu kuondoka na mali usafir mkuu ulikuwa bahar na huenda wangeporwa na mataifa yaliyoshinda vitaKwani kama angeondoka nazo nini kingetokea? Kumbuka Vita ya kwanza ilikuwa toka mwaka 1914-1918.
Kumbuka kuwa Ujerumani ilitawala Tanganyika toka 1905 mpaka 1912 , sehemu nyingine zinasema tulitawaliwa mpaka 1919, kuna kitu hakiko sawa hapa au wewe unaonaje?
Je uwepo wa nadharia ya majoka na viumbe vya ajabu katika mapango yalikofichwa mali ni uchawi wa Kijerumani?
unahis kuna mtu atakufanyia tafit akulete hapa jf?Sina comment kwamanake aliyeleta hii mambo hapa hajaja na ushahidi kaja na story kavu watu tunataka vitu vilivyoiva tuzalishe michongo ya ela mambo ya tafiti tafiti ulizofanya sijui nini
Leta ramani yenye mchongo uliokamilika watu hatuna kitu asee emb mambo kama izi kapige stori na machizi zako vijiweni man
Tusileteane michongo hewa kabisa life gumu hili mselangu emb sanuka basi
kwahiyo unawasifia wababe kwa kuiba mali zenu?Alibana akaachia kabla hajafa. Umesahau? Cheza na wababe umesahau?
mali ipo tanganyika unaita mali ya mjeruman , tukurudishe milembe?Nyie kaeni mhangaike na "mali za Mjerumani" , wenye akili wanakuja kujichotea[emoji115][emoji115]
walilipa ela hao sio 10%Jeshi la Mtu Mmoja hakuachia kirahisi kama unavyofikiri nadhani, nasema nadhani alilambishwa asali.
Hii nchi kila kiongozi mwenye final decision anatengeneza njia yake ya 10perc so yawezekana nasema yawezekana JMM alilambishwa asali!.
unaichawia nyumba yako uKitoka hapo unawasingizia mabeberu kwa umaskin wakoAliachia kiulaini kabisa, au umesahau alipowaanzishia sakata wababe ndege zikawa kila zilipo zinashikwa? Wenye uelewa wakamwambia hawa wababe ni heri ukubali tu watakavyo, utaiumiza nchi. Mwenyewe akaachia kiulaini kabisa, wababe wanachota mpaka leo, huelewi hayo?
Ambao hawajaachia kiulaini hujayaona matokeo au huyajuwi nikupe darsa?
Hii sababu haina nguvu sana, kama waliweza kuondoka na silaha walishindwaje kuondoka na vipaarceli vya madini?mpk 1919 league of nations ilipomuamuru kuachia makolon km fidia ya vita , pili ilikuwa ngumu kuondoka na mali usafir mkuu ulikuwa bahar na huenda wangeporwa na mataifa yaliyoshinda vita
Kama hii ukipata mteja wa uhakika ni kiasi gani? Au ndo unakua umeuaga umaskini?NIMEITOA FACEBOOK UHALISIA WA MALI KALE YA GERMAN,UNAWEZA JIONEA MWENYEWEView attachment 1698300
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Sio kweli angalia hayo maji wanavoyakwepesha ni matapeliKama hii ukipata mteja wa uhakika ni kiasi gani? Au ndo unakua umeuaga umaskini?
Upo wapi?Nani ana madini ya ruby jaman nina connection ya soko la ukweli mno aisee mradi mzigo uwe og
nipo kanda ya ziwa ila connection nzima niliipata kwa mtu ambaye ni movable hakai sehemu moja, nitakupm namba yangu tuchart mkuuUpo wapi?
Kuna mtu ameshawahi kwenda huko morogoro mpaka zilipo but ishu kuzitoa ..kuna hadi zahabu n mercuryNdugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.
View attachment 1022278
Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271
View attachment 1022276
Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.
Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.
- Ikombe
- Mibirizi
- Kasanga
- Ilembule
- Rombo
- Nyakanazi
- Uvinza
- Mlalo
- Kisarawe
- Kazimzumbwi
- Kirondatal
- Tukuyu
- Leganga
- Igulwa
- Ushetu
- Mnazi
- Mikese
- Shume
- Lumbira
- Mbulu
- Nansio
- Sekenke
- Galula
- Liuli
- Manda
- Lushoto
Asanteni
Ndoto za mchana.Kuna mtu ameshawahi kwenda huko morogoro mpaka zilipo but ishu kuzitoa ..kuna hadi zahabu n mercury
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Yaani na utafiti wenu uchwara mmewafanya watu wamekuwa maskini sana kutafuta vitu ambavyo havina maana kabisa kuliko kutafuta hizo lupia heller si wakachimbe dhahabu. Mmewafanya watu wamefilisika kabisaNdugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.
View attachment 1022278
Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271
View attachment 1022276
Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.
Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.
- Ikombe
- Mibirizi
- Kasanga
- Ilembule
- Rombo
- Nyakanazi
- Uvinza
- Mlalo
- Kisarawe
- Kazimzumbwi
- Kirondatal
- Tukuyu
- Leganga
- Igulwa
- Ushetu
- Mnazi
- Mikese
- Shume
- Lumbira
- Mbulu
- Nansio
- Sekenke
- Galula
- Liuli
- Manda
- Lushoto
Asanteni
Utapeli mwingine huoKuna mtoto mmoja wa kiongozi mstaafu amepiga sana hela kwa mambo haya, watu wakamzushia anauza unga. Ila alijipanga sana
UtapoteaMikese nakubali, kwenye mashamba ya mkonge wameishi sana pale na kota zao zipo hadi leo ata ukipita na morogoro Road zinaonekana, sema hili jambo kulivalia njuga kisawasawa linataka mtaji na muda wa kutosha.