Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Kwani kama angeondoka nazo nini kingetokea? Kumbuka Vita ya kwanza ilikuwa toka mwaka 1914-1918.
Kumbuka kuwa Ujerumani ilitawala Tanganyika toka 1905 mpaka 1912 , sehemu nyingine zinasema tulitawaliwa mpaka 1919, kuna kitu hakiko sawa hapa au wewe unaonaje?
Je uwepo wa nadharia ya majoka na viumbe vya ajabu katika mapango yalikofichwa mali ni uchawi wa Kijerumani?
mpk 1919 league of nations ilipomuamuru kuachia makolon km fidia ya vita , pili ilikuwa ngumu kuondoka na mali usafir mkuu ulikuwa bahar na huenda wangeporwa na mataifa yaliyoshinda vita
 
Sina comment kwamanake aliyeleta hii mambo hapa hajaja na ushahidi kaja na story kavu watu tunataka vitu vilivyoiva tuzalishe michongo ya ela mambo ya tafiti tafiti ulizofanya sijui nini

Leta ramani yenye mchongo uliokamilika watu hatuna kitu asee emb mambo kama izi kapige stori na machizi zako vijiweni man

Tusileteane michongo hewa kabisa life gumu hili mselangu emb sanuka basi
unahis kuna mtu atakufanyia tafit akulete hapa jf?
 
Jeshi la Mtu Mmoja hakuachia kirahisi kama unavyofikiri nadhani, nasema nadhani alilambishwa asali.

Hii nchi kila kiongozi mwenye final decision anatengeneza njia yake ya 10perc so yawezekana nasema yawezekana JMM alilambishwa asali!.
walilipa ela hao sio 10%
 
Aliachia kiulaini kabisa, au umesahau alipowaanzishia sakata wababe ndege zikawa kila zilipo zinashikwa? Wenye uelewa wakamwambia hawa wababe ni heri ukubali tu watakavyo, utaiumiza nchi. Mwenyewe akaachia kiulaini kabisa, wababe wanachota mpaka leo, huelewi hayo?

Ambao hawajaachia kiulaini hujayaona matokeo au huyajuwi nikupe darsa?
unaichawia nyumba yako uKitoka hapo unawasingizia mabeberu kwa umaskin wako
 
mpk 1919 league of nations ilipomuamuru kuachia makolon km fidia ya vita , pili ilikuwa ngumu kuondoka na mali usafir mkuu ulikuwa bahar na huenda wangeporwa na mataifa yaliyoshinda vita
Hii sababu haina nguvu sana, kama waliweza kuondoka na silaha walishindwaje kuondoka na vipaarceli vya madini?
 
Nani ana madini ya ruby jaman nina connection ya soko la ukweli mno aisee mradi mzigo uwe og
 
Ndugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.
View attachment 1022278

Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271

View attachment 1022276

Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.

Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-

  1. Ikombe
  2. Mibirizi
  3. Kasanga
  4. Ilembule
  5. Rombo
  6. Nyakanazi
  7. Uvinza
  8. Mlalo
  9. Kisarawe
  10. Kazimzumbwi
  11. Kirondatal
  12. Tukuyu
  13. Leganga
  14. Igulwa
  15. Ushetu
  16. Mnazi
  17. Mikese
  18. Shume
  19. Lumbira
  20. Mbulu
  21. Nansio
  22. Sekenke
  23. Galula
  24. Liuli
  25. Manda
  26. Lushoto
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.

Asanteni
Kuna mtu ameshawahi kwenda huko morogoro mpaka zilipo but ishu kuzitoa ..kuna hadi zahabu n mercury

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.
View attachment 1022278

Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022271

View attachment 1022276

Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.

Katika tafiti nilizozifanya mpaka hivi leo. Maeneo yafuatayo na mengine mengi ndiko zilipogichwa mali hizo. Inatakiwa kujua sasa ni eneo gani masanduku yenye mali yalichimbiwa:-

  1. Ikombe
  2. Mibirizi
  3. Kasanga
  4. Ilembule
  5. Rombo
  6. Nyakanazi
  7. Uvinza
  8. Mlalo
  9. Kisarawe
  10. Kazimzumbwi
  11. Kirondatal
  12. Tukuyu
  13. Leganga
  14. Igulwa
  15. Ushetu
  16. Mnazi
  17. Mikese
  18. Shume
  19. Lumbira
  20. Mbulu
  21. Nansio
  22. Sekenke
  23. Galula
  24. Liuli
  25. Manda
  26. Lushoto
Hizi ni sehemu kadhaa zinazohitajika utafiti wa kina ili kujua ni sehemu zipi mali hizo zilifichwa.

Asanteni
Yaani na utafiti wenu uchwara mmewafanya watu wamekuwa maskini sana kutafuta vitu ambavyo havina maana kabisa kuliko kutafuta hizo lupia heller si wakachimbe dhahabu. Mmewafanya watu wamefilisika kabisa
 
Mikese nakubali, kwenye mashamba ya mkonge wameishi sana pale na kota zao zipo hadi leo ata ukipita na morogoro Road zinaonekana, sema hili jambo kulivalia njuga kisawasawa linataka mtaji na muda wa kutosha.
 
Back
Top Bottom