Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

Mm Ilivyokutwa sealed it was June kaa sikosea...basi bana jamaa alikopa kopa anakokokujua barua hiyoo...😅 Kukaa kidogo mahali hiyoo...7M yani kabala ya July.haijesha ndoa Ilikuwa tayari
Saivi ndo ana clear madeni😅
Wow basi wewe ni chombo haswa! Ila nikuulize ulikua sealed ni kwamba hujawahi kutongozwa ama ulimpenda sana kiasi kwamba ukampa kabla ya ndoa maana it was risky
 
Watoto wanaliaa,,mkubwa nae bado UHANGAIKE kumuandaa awahi shule,bado hujampikia chai umsimaie anywe,bado wewe binafsi,bado kichanga kinalia kinataka kubadili pampas na kina njaa kinyonye
Mume nae akae asubiri kupigwa pasi shati na suruali,afutiwe vumbi viatu.aandaliwe chai.bado umsimdikize mtoto shule ama barabarani,ukirudi nyumba chafu manguo mavyombo nje kote kunakungoja.
Hapo usiku hujalala kunyonyesha na kuzagamuliwa
hiyo haiwezekani!
Hao wanaume wajitunze wenyewe,ni watu wazima sio watoto.tena wasaidie wake zao.mume mwema ni yule anakwambia mke wangu mi ntajianda na hawa wa shule niende nao,we deal na huyo kichanga.au we andaa chai mi nawavalisha.maisha ni kusaidia a sio kukomoana
Maawanaume kujitunza na kujiweka smart ANAANZA kufundishwa na wanaomlea.wakati anasoma,mpk anajitegemea ni jukumu lake kujiweka smart.sio la kusubiri akioa..labda kama ana changamoto za kiafya anahitaji usaidizi.
 
Binafsi huwa najiandalia nguo mwenyewe Mara nyingi hasa mwaka huu. Nadhani wanachoka na wao mimi ndio huwa nawaza hivyo. Naamka napiga pasi Baada au kabla ya kuoga maji najiwekea mwenyewe. My wife wangu yeye nae anajua. Chakula kwa sehemu kubwa huandaliwa na msaidizi wetu. Nadhani ni sababu ya kuchoka Baada ya kutoka kazini....
 
Jaman, baadhi ya wanawake walioolewa wanajisahau sana. Unakuta mchafu, ananuka jasho, haogi kwa wakati, hata kufua kwake ni mtihani. Kuna hawa wake za watu walioajiriwa, jamani, hata kama mmeajiriwa, jitahidini kuwajali waume zenu. Wanatoka home rafu sana. Kuna mkaka namjua ameoa, na ndoa yake ya miaka mingi sana, mkewe ameajiriwa. Jamani, huyo baba anaenda kazini, nguo zimejikunja. Nguo zake ni nzuri, lakini hayupo smart. Unakuta shati zimejikunja, kavaa tu, hata hajali. Viatu vimejaa vumbi.

Jamani, mlioolewa, jitahidini kuwajali waume zenu hata kama mmeajiriwa. Wawekeni smart waume zenu, jamani. Inasikitisha sana. Huyo baba akipata michepuko msafi, akamfulia, akampa mapenzi moto, akampikia chakula kizuri, atahamia huko huko. Maana kila siku yeye ni kula chakula cha house girl, nguo anavaa hazilowekwi, kama zimetafunwa. Jamani, sijui kwanini watu wakiolewa wanajisahau. Wajali waume zenu, jamani.

Sasa huyo baba kwa jinsi anavyoishi, utasema hana mke. Ni huruma, kwa kweli. Embu wajali waume zenu waonekane smart. Mtu kaoa lakini mke hata kumuandalia nguo hapana, kumsafishia viatu mke hatimizi majukumu yake kama mke. Inasikitisha. Kuna mwingine yeye ni kulala tu, hana kazi ni mama wa nyumbani, lakini hata kufua nguo za wanae ni mtihani. Nyumba nzima inanuka mikojo na mavi ya watoto. Nepi za mavi anarundika siku mbili, nyumba inanuka uozo, na ni mke wa mtu. Ni mchafu sana. Wanaume wanavumilia mengi, jamani, yaani wanaume wanavumilia jamani hawasemi tu. Jamani, jamani, wake za watu ni wachafu sana, asilimia kubwa wanajisahau, wanabweteka. Hata kujiweka smart hawawezi. Yaani ni huzuni. Poleni sana wale wote mliooa wanawake wavivu.
Umejuaje kuwa kila siku anakula chakula cha housegirl dada
 
Mm Ilivyokutwa sealed it was June kaa sikosea...basi bana jamaa alikopa kopa anakokokujua barua hiyoo...😅 Kukaa kidogo mahali hiyoo...7M yani kabala ya July.haijesha ndoa Ilikuwa tayari
Saivi ndo ana clear madeni😅
Mmh 7M yote hiyo kwa mtu asiye na experience?aaah mmempiga baba wa watu
 
Huyo mwanaume ndio mchafu na hajitambui. Kwani ni mlemavu hadi ashindwe kunyoosha nguo zake!!
 
Back
Top Bottom