#COVID19 Wajinga wameibuka na hoja kwamba waliochomwa jana sio chanjo ni maji!

Wewe na Huyo dikteta kichaa wote Ni majinga
 
kwahiyo unakiri mwendazake alikuwa ana ushawishi mkubwa sana kwny jamii hii.

Sasa kama aliweza kubadilisha mitizamo ya watu kuhusu chanjo kwa extent inayokufanya uje kulalamika;
angeshindwaje kuwashawishi haohao kumpa kura za kishindo?

Maana munajicontradict sana.
 
Gwajima achomwe moto ,yeye ndio chanzo kikubwa cha upotoshaji unaondelea aisee
 
Research afanye nani? kabla ya chanjo kuruhusiwa kutumika Researh tayari, huyo kibwetele atafute vibwetele wenzake wakafanye research wao waje na majibu kua haifai
Ww haujui usemalo! Research ya kujua usalama wa dawa au chanjo unachukuaa muda mrefu kwa sababu zifuatazo:
1. Mnyama kama panya akidungwa atafuatiliwa kwa muda wa kutosha kutaka kujua kama kuna madhara ya moja kwa moja kwa mnyama husika, kama, mabadiriko hasi, ugumba, na hata kifo,
2. Kama hakuna madhara ya moja kwa moja kwa mnyama husika watataka kujiridhisha madhara kwenye uzao wake (kama atakuwa na uwezo wa kuzaa baada ya kudungwa),; kwamba watoto wake watakuwa wa kawaida au vilema, na je nao wataweza kuzaa watoto (wajukuu wa aliyechanjwa) wa kawaida, wasiokuwa na ulemavu au tabia zisizo za kawaida?
3. Hao wajukuu nao watafuatiliwa kufahamu kama kuna madhara nk
Kwa kutumia panya, ukizingatia ukuaji wao na 'metabolic rates' zao ni faster, matokeo yanaweza kuwa bayana ndani ya mwaka 1-2
4. Dawa au chanjo ikifaulu kwenye panya, hupelekwa kwenye wanyama mamalia wanaokaribiana sana na binadamu...hapa nyani , baadaye sokwe hawawezi kwepa! Huku nako yanafanyika kama ya kwenye panya. Lakini kwa kuzingatia mzunguko wa maisha wa nyani na sokwe(life cycle), matokeo kutoka kwa mnyama aliyedungwa mpaka kufikia mjukuu huchukua muda mrefu zaidi, hapa siyo chini ya miaka 5!
5. Baada ya kujiridhisha huko chini kwa wanyama wasio binadamu (takribani miaka 10) na kufaulu kuwa dawa au chanjo kweli inatibu au kukinga, na madhara haina yaliyo makubwa, huu ndio muda muafaka kufanya majaribio kwa binadamu, tena wasiozidi 100! Hawa nao watafuatiliwa kuona kama hiyo dawa 1)haina madhara makubwa 2) inatibu au kukinga ugongwa husika tena kwa kiwango kinachoridhisha?
6. Ikifaulu hapo idadi ya wakufanyiwa majaribio huongezwa, huku wakirekodi kila dhara ( side effect) na mafanikio ya dawa au chanjo husika huku wakifuatilia kiasi cha dawa vs madhara ili kuja na dosage inayo tibu huku ikipunguza madhara
7. Ni baada ya no.6 hapo juu ndio ikithibitika kuwa ni salama (safe) na inatibu/kukinga vizuri (effective in prevention/treatment) hapo ndipo inaruhusiwa kutumika kwa watu kwa kufuata miiko iliyojitokeza kuanzia panya mpaka bin adam!
Ukijaribu kuhesabu miaka hapo, kwa uchache ni 10+, hili ndio kiini cha wasiwasi wa covax (chanjo ya korona), ndani ya miezi tu hata mwaka haujaisha wanaibuka na chanjo na kuanza kushindana kuchanja watu! Ukiuliza nini madhara yake baada ya mwaka mmoja au 10, 20 ijayo, nini madhara ktk uzazi na watoto watakaozaliwa, hawana majibu! Wao wanataka tu usaini fomu ya kutomlaumu mtu endapo utapata madhara!
Kibaya zaidi haikukingi dhidi ya MAAMBUKIZI MAPYA ya corona, na kimsingi wapo wengi wamekufa kwa covid-19 huku wamechanjwa full dose ya covax! Hapa ndipo unajiuliza, unachanja watu ili iweje!?
Nimejaribu kueleza in a layman manner ili tuelewane !
 
Mkuu waTZ ujinga upo kwenye damu hata wakisoma haileti mabadiliko makubwa, turudi mwaka mmoja nyuma tuwasikilize Prof Kabudi, Hamisi Kigwangalla, Dr. Dorothy Gwajima, hayati Magufuli, nk
kama vile Mungu ametupa laana ni maslahi, unafiki na mihemko tu.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Wewe ni kichaa kama baba yako mwendazake alivyokuwa kichaa. Mawazo ya vichaa yanafanana. Wote wanapinga chanjo ilijali wanatembea nazo kwenye miili yao tangu wakiwa watoto.q
 
Unapomuita kipanga Hon. Dr. J P M kichaa, hapo hatuhitaji mbobezi kumjua kichaa halisi ni yupi!
 
Ikiwa nikichanja bado kuna uwezekano wa kuambukizwa korona au kufa kwa korona, je chanjo ina msaada gani? Nini tofauti kati ya mtu aliyechanjwa na mtu asiyochanjwa ikiwa wote tuna uwezo wa kuambukiza, kuambukizwa au kufa kwa korona?
Utofauti ni kwamba athari za maambukizi ikiwemo kufa ni kubwa kwa asiyechanja kulinganisha na aliyechanja.Aliyechanja ameongezewa resistance against virus.
 
Utofauti ni kwamba athari za maambukizi ikiwemo kufa ni kubwa kwa asiyechanja kulinganisha na aliyechanja.Aliyechanja ameongezewa resistance against virus.
Ndivyo ulivyokaririshwa hivyo! Unaithibitishaje hiyo wakati waliochanjwa na wasiochanjwa wanakufa kwa rate inayofanana!
Ipo kazi kweli kweli!
 
Ahahaha mkuu wewe una ELIMU sana eti kwa kua umekubali chanjo? [emoji3] duuh ama kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…