Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

Usichachamae kusema waislam wasome je wewe umeshasoma na ukapata majibu sawasawa kuwa Yale masanamu mnayoyachonga na kuyanyenyekea na kuyapiga mabusu motomoto ndiye yesu hasa au ile sura ilikopiwa wapi kiasi cha kila afugae midevu na nywele ndefu ujikute fahamu zikikutoka,na je pale yesu alipokufa na kuzikwa kabla kufufuka dunia ilikuwa inaongozwa na nani Baada ya Mungu kufa kwa kutundikwa msalabani?
 
Walatamka Shahada?

Walishuhudia kuwa yupo Mungu mmoja tu ambaye ni Allah na Mtume mmoja tu ambaye ni Muhammad?

Jibu kinagaubaga
Nani kakwambia nyakati zote sheria ilikuwa ni moja tu? hii ndio shida Uislam hujui halafu unausemea kuna changamoto sana, kila Umah ulikuwa na sheria yake kijana, Kuna Umah wa Adam huna sheria zake, Umah wa Ibrahim huna sheria zake, Umah wa Mohammed una sheria zake, sasa unaleta maswali ata mtoto mdogo anakushangaa, ndio Adam alikuwa Muislamu na aliingia Uislam kwa kukiri Mungu mmoja wala hana mshirika, suala la nabii ata yeye Adam alikuwa nabii hivyo haitaji kumkiri Mohamad, na watu wa Umah wake watamkiri Adam kama nabii sio Mohammed, watu wa Umah husika watawajibika kwa nabii na sheria husika, SWALI tuambie Adam alikuwa DINI gani kama unadai hakuwa Muislamu?
 

YESU KRISTO HAJAWAHI KUWA MUISLAMU NA KAMWE HATOKUJA KUWA MUISLAMU​


INAONESHA JINSI GANI MNAVYOLAZIMISHA MAMBO ......

Yohana 19:23 Nao askari walipomsulibisha Yesu, waliyatwaa mavazi yake, wakafanya mafungu manne, kwa kila askari fungu lake; na kanzu nayo. Basi kanzu ile haikushonwa, ilikuwa imefumwa yote pia tangu juu.
Andiko hilo Waislamu wanalitumia katika kusema kwao kwamba, Yesu alikuwa muislamu mwenzao, kwa sababu alivaa kanzu kama wao, ukitaka kujua kwamba, watu hao ni wababishaji, andiko limesema Kanzu ya Yesu, ilipigiwa kura, baada ya Kusulubiwa, kabla ya Kusulubiwa, kanzu yake haikupigiwa kura, sasa wewe Waulize, "Je! wanakubali kwamba Yesu Kristo alisulubiwa msalabani akafa?" Utawasikia, "Yesu hakusulubiwa, wala hakufa" Sasa kama hakusulubiwa, inakuwaje mlitumie andiko la kanzu kusema ni muislamu mwenzenu, wakati hamkubali kwamba amesulubiwa? Inamaana kama hakusulubiwa kwa mujibu wa imani yenu, basi hilo andiko lilipaswa kuwa la uongo kwenu:- Na kama la uongo kwenu, hakuna sababu ya kulitumia.
Sasa tuangalie hoja hiyo ya kusema kwamba, Kuvaa kanzu hata kama watakubali Yesu amesulubiwa, je! linaweza kumfanya Yesu awe muislamu?
Katika Quran nzima hakuna andiko linalotaja Kanzu kama vazi la Kiislamu, au ni vazi special kwa ajili ya kufanyia Ibada, kama Waislamu wafanyavyo leo, bali Quran ina kazi 2 tu kwa mujibu wa Quran.
Quran 16 SURATUL NAHL
ﻭَﺍﻟﻠّﻪُ ﺟَﻌَﻞَ ﻟَﻜُﻢ
ﻣِّﻤَّﺎ ﺧَﻠَﻖَ ﻇِﻼَﻻً ﻭَﺟَﻌَﻞَ
ﻟَﻜُﻢ ﻣِّﻦَ ﺍﻟْﺠِﺒَﺎﻝِ ﺃَﻛْﻨَﺎﻧًﺎ
ﻭَﺟَﻌَﻞَ ﻟَﻜُﻢْ ﺳَﺮَﺍﺑِﻴﻞَ
ﺗَﻘِﻴﻜُﻢُ ﺍﻟْﺤَﺮَّ ﻭَﺳَﺮَﺍﺑِﻴﻞَ
ﺗَﻘِﻴﻜُﻢ ﺑَﺄْﺳَﻜُﻢْ ﻛَﺬَﻟِﻚَ
ﻳُﺘِﻢُّ ﻧِﻌْﻤَﺘَﻪُ ﻋَﻠَﻴْﻜُﻢْ
ﻟَﻌَﻠَّﻜُﻢْ ﺗُﺴْﻠِﻤُﻮﻥَ
81. Na Mwenyeezi
Mungu katika vitu alivyo viumba
amekufanyieni vitu vitiavyo
vivuli, na amekufanyieni makazi
katika milima, na amekufanyieni
kanzu zinakukingeni na joto, na (baridi) na amekufanyieni
nguo za chuma ndivyo hivyo
anavyokutimizieni neema zake
ili mpate kutii.
Kanzu kazi zake ni hizo mbili kama zilivyoanishwa ndani ya Quran.
(1) Kukinga na Joto
(2) Kukinga na baridi
Japo hapo sina uhakika kama kweli kanzu inaweza kugeuka A/c wakati wa Joto, au au Eater wakati wa Baridi, maana Dar e salaam kusingekuwa na haja ya kununua Feni, kwa ajili ya kupambana na Joto, watu tungekuwa tunavaa kanzu, ili tupate ubaridi.
Waislamu waishio MBEYA, Arusha, Iringa, Njombe, na sehemu zingine zenye baridi, wangekuwa wanavaa tu kanzu, ili kujikinga na baridi. Kwa hivyo hakuna andiko linalosema kwamba Kanzu ni vazi la kiislamu, au vazi la Ibada kwa ajili ya waislamu, ili Yesu awe muislamu! na isitoshe Kanzu Kibiblia matumizi yake ni tofauti na ya ndani ya Quran, kwani Iliandaliwa kwa ajili ya kazi ya Ukuhani.
Kutoka 28:40 Kisha utafanya kanzu kwa ajili ya wana wa Haruni, nawe wafanyie mishipi, wafanyie na kofia kwa utukufu na uzuri.
41 Nawe mvike huyo nduguyo Haruni na wanawe nao mavazi hayo; nawe watie mafuta, na kuwaweka kwa kazi takatifu, na kuwatakasa, ili wapate kunitumikia mimi katika kazi ya ukuhani.
42 Nawe wafanyie suruali za nguo ya kitani, ili kufunika tupu ya miili yao; suruali hizo zitafika tangu kiunoni hata mapajani;
43 na Haruni na wanawe watazivaa, hapo watakapoingia katika hema ya kukutania, au hapo watakapoikaribia madhabahu ili watumike katika mahali patakatifu; wasije wakachukua uovu, wakafa; hii itakuwa ni amri ya milele kwake yeye, na kwa wazao wake.
Hiyo ndo ilikuwa kazi ya Kanzu, kwa ajili ya kazi ya Ukuhani, Waliivaa tu pale walipoingia katika hema za kukutania, na walipotoka, waliyavua, hayo yakaitwa mavazi Matakatifu, kwa sababu yalivaliwa kwa ajili ya kazi Takatifu.
 
(AL – AN-A’AM – 163)
Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu.

Hapo katika zama zake hakuna, yeye anatajwa kuwa ni wa kwanza wa Waislamu, sasa tuambie, katika ya MUHAMMADI ambaye ni muislamu wa kwanza, na Yesu Kristo Mwana wa Mungu, ni nani ametangulia kuwepo DUNIANI??

PIA JE! Kuna andiko hata moja, la Yesu Kristo, amenukuliwa na wanafunzi wake, akisema yeye ni muislamu, ama kulitaja tu neno Uislamu?

MUHAMMADI anakiri kwa kusema kwamba yeye ni muislamu wa kwanza.

لَا شَرِيكَ لَهُ ۖ وَبِذَٰلِكَ أُمِرْتُ وَأَنَا أَوَّلُ الْمُسْلِمِينَ

(AL – AN-A’AM – 163)
Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu.

Je! unalo andiko mfano wa hilo kwa kinywa cha Yesu Kristo mwenyewe akisema yeye ni Muislamu???
 
Ibrahimu Hakuwa Muislamu, wala Mwanaye Ismaeli Sio Baba wa Waarabu wala Allah wa Quran HAJUI maana na asili ya Neno Israeli
 

SHETANI ANAWAPULIZA WAISLAM MSIKITIN

Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)

Muhammad anasema: Shetani anaingia msikitni na kuwachezea Waislam kama ushahidi unavyo sema hapo juu.
Kwanini mfuate dini ambayo inaongozwa na MASHETANI Msikitini?
Kwanini Shetani ana mamlaka ya kuwapuliza Waislam matako yao tena wakiwa Msikitini?
 
So Unesco wa naamini hadith I za "Mudy"

Wengi wenu humu mnachojua ni dhihaka tu, mukiletewa facts hamna cha kujibu munakimbilia kudhihaki.
unesco wanaamini huu upuuzi?

 
uislsmu umekuja mwaka 600AD, sayansi ipo before uislamu... leo unadanganya, unapozungumzia ELIMU dunia, uislamu upo nyuma sana

The word alchemy comes from Old French alquemie, alkimie, used in Medieval Latin as alchymia.

 
QUR'AN NI KITABU CHA WAARABU WANNE SIYO KITABU CHA MWENYEZI MUNGU
1 saidna abubakar.
2 saidna ummar
3 saidna uthman na
4 saidna ally
Watunzi wa Quran ni Muhammad na amawshikisha maswahaba wake ambao ni:
~ Abu bakari
~ Zayd ibn Thabit
~ Uthman
ni kwa mujibu wa Suna
( sahih bukhari -vol 6, book 61, Hadith 507)
WaShia nao wanasema aliye andika ni :
~ AL ibn Abi Talib
( Tafsiri ya Ali Juma Mayunga uk 190-1)
 
Note: kwenye uislam hamna kiongoz anaitwa muddy,huo ni uhuni
 
MUHAMMAD NI NABII WA UONGO ALISEMA UKILA TENDE SABA ZA KUTOKA AJWA HUWEZI KUFA KWA SUMU WALA KUROGWA LAKINI MUHAMMAD ALIKUFA KWA SUMU NA ALIROGWA PIA KWA USHAHIDI HUU MUHAMMAD SI MTUME WA MWENYEZI MUNGU 100%

Imesimuliwa na Sa`d kuwa
Nilimsikia Mtume wa allah akisema, "Yeyote atakayechukua tende saba za Ajwa na kuzila asubuhi hataathiriwa na uchawi au sumu siku hiyo."
حَدَّثَنَا مُحَمَّدٌ، أَخْبَرَنَا أَحْمَدُ بْنُ بَشِيرٍ أَبُو بَكْرٍ، أَخْبَرَنَا هَاشِمُ بْنُ هَاشِمٍ، قَالَ أَخْبَرَنِي عَامِرُ بْنُ سَعْدٍ، قَالَ سَمِعْتُ أَبِي يَقُولُ، سَمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ ‏ "‏ مَنِ اصْطَبَحَ بِسَبْعِ تَمَرَاتٍ عَجْوَةٍ لَمْ يَضُرَّهُ ذَلِكَ الْيَوْمَ سَمٌّ وَلاَ سِحْرٌ ‏"‏‏.‏
Sahih al-Bukhari 5779 Juzuu ya 7 kitabu cha 71 Hadith 671

Abu Huraira aliripoti mjumbe wa Allah akisema, "Tende za ajwa zinatoka peponi na zina tibu sumu;na tunda lake ni aina ya mana na juisi yao ni dawa kwa jicho. ” Tirmidhi aliieneza.
وَعَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: «الْعَجْوَةُ مِنَ الْجَنَّةِ وَفِيهَا شِفَاءٌ مِنَ السُّمِّ وَالْكَمْأَةُ مِنَ الْمَنِّ وماؤُها شفاءٌ للعينِ» . رَوَاهُ التِّرْمِذِيّ

لم تتمّ دراسته (الألباني) حكم :
Reference : Mishkat al-Masabih 4235
In-book reference : Book 21, Hadith 72
 
Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliye.............
SHETANI ANAWAPULIZA WAISLAMU MATAKONI JAMA
(KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42
)
Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”.

AKISHAKUPULIZA USIKU ANAKUJA TENA KULALA NDANI YA PUA ZENU WAISLAMU
 
Note: kwenye uislam hamna kiongoz anaitwa muddy,huo ni u

kifupi cha muhammad

MUHAMMAD NI NABII WA UONGO KANUKUU UCHAWI WA ZAMANI
Qurani 15:91 Ambao wameifanya Quran kuwa ni mkusanyiko wa uongo aliokusanya nabii Muhammad akadai kuwa ni maneno ya Mwenyezi Mungu
Quran 74:24 Na akasema Hayakuwa haya aliyokuja nayo Nabii Muhammad ila ni uchawi ulionukuliwa kwa wachawi wakubwa kabisa wa zamani?
 
Hebu andika Aya ya 161 ya sura hio hio Aya ya pili tu toka nyuma ya hapo.
 
Huwezi ukafasiri kitu kwa ku quote maneno matatu tu unatakiwa usome kitu kwa ujumla wake,

Mfano Aya yako wewe ulioisema 74:24 ianzie mwanzo

18. Verily, he thought and plotted;

19. So let him be cursed! How he plotted!

20. And once more let him be cursed, how he plotted!

21. Then he thought;

22. Then he frowned and he looked in a bad tempered way;

23. Then he turned back and was proud;

24. Then he said: "This is nothing but magic from that of old;

25. "This is nothing but the word of a human being!"

So ulichofanya wewe ni kudandia bila kuangalia counted mzima ya hizo Aya,

Context ya hizo Aya ni kisa hichi
(This is nothing but the word of a human being!) meaning, it is not the Words of Allah. The person who is mentioned in this discussion is Al-Walid bin Al-Mughirah Al-Makhzumi. He was one of the chiefs of the Quraysh -- may Allah curse him. Among the narrations about this is what was reported by Al-`Awfi from Ibn `Abbas. He (Ibn `Abbas) said, "Al-Walid bin Al-Mughirah entered the house of Abu Bakr bin Abi Quhafah and asked him about the Qur'an. When Abu Bakr informed him about it, he left and went to the Quraysh saying, `What a great thing this is that Ibn Abi Kabshah is saying. I swear by Allah that it is not poetry, nor magic, nor the prattling of insanity. Verily, his speech is from the Words of Allah!' So when a group of the Quraysh heard this they gathered and said, `By Allah, if Al-Walid converts (to Islam) all of the Quraysh will convert.' When Abu Jahl bin Hisham heard this he said, `By Allah, I will deal with him for you.' So he went to Al-Walid's house and entered upon him. He said to Al-Walid, `Don't you see that your people are collecting charity for you' Al-Walid replied, `Don't I have more wealth and children than they do' Abu Jahl answered, `They are saying that you only went to Ibn Abi Quhafah's house so that you can get some of his food.' Al-Walid then said, `Is this what my tribe is saying Nay, by Allah, I am not seeking to be close to Ibn Abi Quhafah, nor `Umar, nor Ibn Abi Kabshah. And his speech is only inherited magic of old.' So Allah revealed to His Messenger ,
 
ACHA UONGO HATA KAMA MUDY KARUHUSU

MUHAMMAD ALIRUHUSU WAISLAMU WOTE WATUMIE UONGO ILI KUUSAFISHA UISLAMU
Kasema Mtume (s.a.w) “Uwongo wote ni dhambi ila kwa kile kinachomfaa muislamu kwa jambo la kheri, unaweza kutumia uongo kupatanisha watu waliokhasimisna au katika jambo litakaloleta kheri na manufaa kwa waislamu” (Mkweli Mwaminifu, juu ya 3-4, Hadithi Na. 855, Uk 57)

Hivi unafahamu kuwa Uislam ulianzishwa na Muhammad na haukuwepo kabla yake?
Uislamu ambao ulianzishwa na Muhammad, Mtume wa Allah (s.w.t.) mnamo mwaka 610 A.D. huko Makka, na ulikamilishwa kwa msaada wa binamu yake, mshiriki na makamu wake, Ali ibn Abi Talib, mnamo mwaka 632 A.D. hapo Madina. Inahusisha kipindi cha miaka tisini kuanzia 570 A.D. wakati yeye Muhammad alipozaliwa huko Makka, hadi mwaka 661 wakati mrithi wake, Ali ibn Abi Talib, alipouawa huko mjini Kufah.
 
Kwenye Quran na sunnah kwa ujumla kuna mamia ya vitu vimekuwa predicted ama kuelezewa ambavyo ni karibuni tu vimekuja kuthibitika kama ni kweli kama vile

1. Nyuki Ana matumbo mawili
2. Siafu wanaongea
3.bing bang theory
4. Expansion of universe
5.Embryology
6.fingerprints etc

Kuna mamia ya vitu yameelezewa miaka 1400 iliopita.

Nielezee mkuu walijuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…