Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

Mwanamke akipata mafanikio kiuchumi anataka kuwa huru(kuishi bila masharti), wakati mwanaume akiwa na mafanikio kiuchumi anataka kuwa na watu pembeni yake wafaidi jasho lake pamoja.

That's the only difference.
 
Rose muhamdo hajawahi kuolewa ,hapa umemuonea!
Ndo Yuko kwenye process ss!

Flora mbasha(madam flora) ana mambo yake ,Gwajima alisingiziwa wana undugu hao!
Upendo kilahilo unamuonea alipitia mateso sn kupigwa haswa,afe kisa ndoa,no way!

Wengine 😷😷🏃🏃
 
Ukweli halisi unaokataliwa na wengi.
 
Labda ule msemo wa kwenye maandiko kuwa mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake.😂
 

Iyo kasumba ipo kwa sababu;

* Mwanamke ndo mleta ndoa yenyewe.
Mwanaume unavutiwa na mdada unatuma ombi mdada anakuzoom&kuscan then anachagua kukubali au kukukataa.

*Mwanamke ndo mwenye power ndani.
Hii wengi imeshawashinda maana wengi wanaishia kujitunisha misuli na wanaume hawajui nguvu naturally walipewa na mungu.

Mi naamini mwanamke ndo chanzo cha ndoa na ndo mwamuzi wa mwisho wa ndoa kama atakua na akili timamu(Thinking capability).
 
Labda ule msemo wa kwenye maandiko kuwa mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake.😂
Sio msemo
Ndivyo ilivyo!
90%ya wanawake ni chanzo.
Neno la Mungu liko wazi

Mwanamke Mjinga atabomoa nyumba Kwa mikono yake mwenyewe......
Mungu ameumba jambo jipya, mwanamke atamlinda mwanaume....
Ndivyo ilivyo mkuu ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…