Wajue wasomi hawa wenye IQ kubwa, wanaoamini kuwa Biblia ni kitabu cha kweli

Nini comment yako, kuhusu hawa Atheist walio mwamini MUNGU yupo....Au na wewe tukutarajie shambani mwa BWANA.
Ni wanadamu tu wanaohangaika kutafuta maana ya maisha, wanaozidiwa na mambo ya kushangaza ya ulimwengu, wanaoweza kumiss mazingira ya kijamii ya dini na wenye hisia mbalimbali zinazoweza kubadilika kwa sababu nyingi.

Dini/mungu pia kwa watu wengine ni kama ulevi, wanaweza kuacha na kurudia tena. Kama ambavyo kuna watu ni alcoholics(walevi wa kudumu) na hawawezi kuishi bila ulevi, hivyo ndivyo ilivyo dini kwa watu wengi.
 
kwaiyo wasingeiamin na ww usingeiamin??
wao ndo kielelezo chako nn
No. Nimekupa mifano hiyo ili usidanganyike kwamba wanaoiamini Biblia ni watu wenye IQ ndogo au ambao hawajaenda shule
 
Ni wanadamu tu wanaohangaika kutafuta maana ya maisha, wanaozidiwa na mambo ya kushangaza ya ulimwengu, wanaoweza kumiss mazingira ya kijamii ya dini na wenye hisia mbalimbali zinazoweza kubadilika kwa sababu nyingi.
Asante...... kama hawa wamefanya hivi inawezekana pia hata wewe, kwa sababu ulizozitaja ukabadilika.
 
Rafiki, hapo unahitaji kutofautisha psychological explanation ya “kwa nini mtu anaamini” na epistemological question ya “je, Mungu yupo kweli?”
 
Well.... hili jibu liliwahi kutolewa miaka zaidi ya 2000 iliyopita....
Na mfalme flani hivi.

Ni
Muumbaji wa mbingu na nchi.
Miaka 2000 iliyopita ni karibu sana. Imani za dini zimekuwepo miaka 30,000 iliyopita.
 
Uwezo wako wakutafakari ni mdogo ndugu mwandishi kwa maana kuna wanasayansi wengi tu hawaamini Mungu wala uwo ukristo wako, mfano
Jerry Coyne — evolutionary geneticist na professor wa University of Chicago.

Brian Cox — physicist wa University of Manchester; ameeleza msimamo wake wa kutokuwa na imani ya Mungu.

Bertrand Russell — mwanafalsafa, mwanahisabati na mshindi wa Nobel Prize in Literature;

Francis Crick — mmoja wa waliogundua muundo wa DNA na mshindi wa Nobel Prize.
 
Rafiki, hapo unahitaji kutofautisha psychological explanation ya “kwa nini mtu anaamini” na epistemological question ya “je, Mungu yupo kweli?”
Hakuna ushahidi au uthibitisho mungu yupo, zaidi mungu wa Israel. Unaweza kuamini chochote. Imani sio uthibitisho wa kitu.
 
Miaka 2000 iliyopita ni karibu sana. Imani za dini zimekuwepo miaka 30,000 iliyopita.
Dunia ina mengi mkuu...... ila UKWELI utajulikana at the point of no RETURN!
 
No. Nimekupa mifano hiyo ili usidanganyike kwamba wanaoiamini Biblia ni watu wenye IQ ndogo au ambao hawajaenda shule
unasema IQ hii iliyosemwa hapa kuwa ni upumbavu?? hatuwez tegemea IQ ya mtu ili tuamin

1 Wakorintho 1:20
[20]Yu wapi mwenye hekima? Yu wapi mwandishi? Yu wapi mlete hoja wa zamani hizi? Je! Mungu hakuifanya hekima ya dunia kuwa ni upumbavu?
Where is the wise? where is the scribe? where is the disputer of this world? hath not God made foolish the wisdom of this world?
 
ok.🐒
 
Dunia ina mengi mkuu...... ila UKWELI utajulikana at the point of no RETURN!
Ukweli kuhusu nini ? Vipi kama hakuna ukweli wowote wa kujulikana?
Waamini mungu mnabidi mkubali tu kuna mysteries za ulimwengu ambazo labda binadamu hatakaa azielewe au kuzivumbua. Hakuna haja ya kulazimisha kwamba lazima binadamu aelewe na kujua kila kitu😁
 
asante mkuu, ngoja nisikilize neno la MUNGU ambaye YUPO.....Na anatenda!
 
asante mkuu, ngoja nisikilize neno la MUNGU ambaye YUPO.....Na anatenda!
Mungu wako anapenda sifa na kupambwa sana kwa lugha kubwa kubwa za kusisimua😁

Usisahau kumkumbusha kuhusu watoto wa Gaza.
 
Huyo jamaa hatari,
Tripple First?
 
"Dini ilivumbuliwa pale ambapo tapeli wa kwanza alipokutana na mpumbavu wa kwanza." Mark Twain

"Dini imefanikiwa kuwaminisha watu kwamba kuna mtu asiyeonekana anayeishi angani ambaye anatazama kila kitu unachofanya... Na huyu mtu asiyeonekana ana orodha maalum ya mambo kumi ambayo hataki uyafanye... Lakini anakupenda. Anakupenda, na anahitaji pesa! Kila wakati anahitaji pesa! Ana nguvu zote, ni mkamilifu wa kila kitu, anajua kila kitu, na ana hekima yote, lakini kwa namna fulani tu hawezi kabisa kumudu mambo ya pesa!" George Carlin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…