Wajue wasomi hawa wenye IQ kubwa, wanaoamini kuwa Biblia ni kitabu cha kweli

Ndio utetezi wako huu?
 
psalm 23:1.
"The Lord is my shepherd, I lack nothing"

🐒
Beautiful!
It’s great to see you sharing Scripture!
Psalm 23:1 is such a powerful reminder that when the Lord is our Shepherd, we really lack nothing.
 
Sina jopo, ila hujawahi kumuona daktari anavuta sigara na kunywa pombe ?
Leo Tu ni siku amethibitisha Mungu hayupo na kama yupo Hana power yoyote, haiwezekani Mvua inanyesha Dar ambalo haihitajiki wakati Morogoro wakulima Wana ukame.

Mungu hawezi kuwa na akili hizi zisizo na mpangilio wa vipaumbele
 
Beautiful!
It’s great to see you sharing Scripture!
Psalm 23:1 is such a powerful reminder that when the Lord is our Shepherd, we really lack nothing.
Huyo aliyeshare sasa ungejua🤣🤣
 
Ndio utetezi wako huu?
Utetezi? Kwani hapa ni mahakamani kaka. Hizo ni facts. Ukipenda ziite data.

Methali 18:1
"Anayetafuta yake tu hujitenga na wenzake; hukasirika akipewa shauri lolote jema."
 
Leo Tu ni siku amethibitisha Mungu hayupo na kama yupo Hana power yoyote, haiwezekani Mvua inanyesha Dar ambalo haihitajiki wakati Morogoro wakulima Wana ukame.

Mungu hawezi kuwa na akili hizi zisizo na mpangilio wa vipaumbele
Umenikumbusha nikiwa mdogo wakati naenda au natoka shule mvua kubwa inaanza kunyesha na bado niko mbali na shule au nyumbani, naomba mungu aikate kwanza mpaka nifike shule lakini wapi, sikuwahi kufanikiwa kabisa😁
 
The fact that rain does not fall where and when we think it should does not prove that God does not exist. Even the Bible acknowledges that God’s purposes and wisdom are beyond our limited understanding.
Isaya 55:8
"Maana, Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Mawazo yangu si kama mawazo yenu, wala njia zangu si kama njia zenu."
 
Umenikumbusha nikiwa mdogo wakati naenda au natoka shule mvua kubwa inaanza kunyesha na bado niko mbali na shule au nyumbani, naomba mungu aikate kwanza mpaka nifike shule lakini wapi, sikuwahi kufanikiwa kabisa😁
Ingekatika hata kwa bahati mbaya ungeamini Mungu kakusikilizza🤣
 
Umenikumbusha nikiwa mdogo wakati naenda au natoka shule mvua kubwa inaanza kunyesha na bado niko mbali na shule au nyumbani, naomba mungu aikate kwanza mpaka nifike shule lakini wapi, sikuwahi kufanikiwa kabisa😁
Huko shuleni ulikuwa unaishi kama Eliya? Au ulikuwa unagombana na kutukanana na wenzako.
Jifunze kwanza maisha ya Eliya aliyeomba mvua isinyeshe na haikunyesha miaka mitatu na nusu.
Yakobo 5:17
"Eliya alikuwa mwanadamu kama sisi. Aliomba kwa bidii kwamba mvua isinyeshe, nayo haikunyesha juu ya nchi kwa muda wa miaka mitatu na miezi sita."
 
Bible inasomwa na wajinga wajinga tu huoni kama huo mstari ni wa kujidefend pale kunapokuwa na failures ili watu wasihoji performance yake?🤣🤣
 
Bible ni vipande kutoka kwenye torati na injili,pia kuna baadhi ya mistari iliyotungwa tu na waandishi kwaajili ya watawala wa zama zao.
Hakuna mkiristo anaeijua torati au injili.
Torati kilikuwa kitabu kimoja na injili kilikuwa kitabu kimoja
Lakin ajabu leo utakuta torat na injili kwenye biblia.
 
Bible inasomwa na wajinga wajinga tu huoni kama huo mstari ni wa kujidefend pale kunapokuwa na failures ili watu wasihoji performance yake?🤣🤣
Weka hapa academic credentials zako ili tujue kama kweli unawazidi hao wasomi unaowaita wajinga.
Biblia ina majibu mengi kwanini mvua hazinyeshi kwa wakati au mahali panapohitajika mvua. Ila kwakuwa huiamini hata kukuwekea hapa vifungu ntakuwa napoteza muda
 
Beautiful!
It’s great to see you sharing Scripture!
Psalm 23:1 is such a powerful reminder that when the Lord is our Shepherd, we really lack nothing.
Psalm 27:1

"The Lord is my light and salvation, who shall I fear? The Lord is stronghold of my life, of whom shall I be afraid?"

🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…