Wakaka fueni boxer, acheni kuvaa zaidi ya mara moja

Wanachokiandika hapa kisikufanye uwavike usafi..

Wangekuwa Dabliyusibii sasa
Yote haya yamekuja kisa kusema sisi wasafi dadek πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Angesema opposite hapa ungekua na furaha mkuu ..
Kijana hovyo sana wewe alaaah
 
kwahiyo ulipeleka pua hadi kwenye kiuno chake kunusa kama ni boxer
 
dah pole sana japo na mimi hakuna kitu kinanichukiza kama kupishana na mwanamke alafu awe anatoa haruf ya jasho kali,au unapnda gari alafu dada kavaa nguo ya mikono mifupi alafu ana bonge la vuzi la kwapa
 
bora alivyo mkaushia jamaa,nakumbuka tulikuwa tunaelekea mbagara sa kufika mtoni kwa aziz ally akapanda teja ,sa akawa ananuka kishenzi akatokea mama mmoja akasema dah kuna mtu ananuka humu anachafua hali ya hewa mama kakazana tu,yule jamaa akaona hapa ni ta shushwa hapa. ika bidii adakie kwa sauti kubwa ,e e kweli ananuka yule dada akakazana kuna mtu anachafua hali ya hewa humu, ndipo yule jamaa akamdakia... ana nuka kama mikuma **** kweli inaonekana ime chacha..basi yule mama aliinama kwa aibu na safari ikaendelea .ila nilicheka sana siku hiyo.
 
Mtu kama anakaa mbagala alafu mbagala ya daslam..
Lazima wawe wana shida tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…