Wakandarasi Tunafilisika. Serikali iangalie utaratibu mzuri wa tenda

Ina maana makampuni yote Tanzania hayana uwezo?
Mbona wamesajiliwa na wanalipa kodi zote?
Kwa hio mayanga ya mume mwenza wa Pombe Ndio pekee Wana ubora?
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
Kufa! Unagojea nini wakati kazi huiwezi?
 
Hahaha bora wao wamesema, walimu kimyaaa!

Huu ndio muda kulalamika wanasikia muda huu, wakiishashinda wanaziba masikio.
Mbona mnapenda kila wakati kuwaingiza walimu. Walimu mbona wamepewa mishahara hata wakati shule zime fubngwa wakati wa Coronavirus?

Msiwachonganishe walimu na serikali yao. Serikali yao imejitahidi kwa kadri ilivyo weza kuona kwamba wako kwenye utulivu na amani.
 
Kila mtu atakufa wakati wake u
Nyie mmeisha zoea kupiga fedha bora msipumue mfe kabisa.
Kama wewe mpaka sasa hujafa utasimulia kizazi chako.
Kila mtu atakufa wakati wake ukifika
You sound like your the owner of mayanga construction
We are sick and tired to be ruled dictatorship
We can't breathe
 
Wakandarasi mpeni jiwe mitano tena ili amalizie project ya kuwafanyizia ili mpate akili.
 
Dhoful hali,meko yuko na mayanga kampuni ndogo ambayo ina vifaa duni kupewa kandarasi kubwa ya chato airport
 

Waache Unafiki wao kwani Sekta iliyoathirika Awamu hii si yao tu pekee bali ni nyingi tu. Mbona huko nyuma walipokuwa wakizipata walinyamaza?
 

Mkandarasi kazi yake ni kujenga serikali yako ndio inachora na kuamua mitaro iwe na upana gani, barabara ziwe na upana gani etc kona zipite wapi na wapi nknk sitetei ujinga nakukumbusha tu miradi mingi ya barabara inachorwa na tanroads na tarura
 

Serikali inapenda kufanya kazi na jkt kwa sababu rate zao ni profit free hawaweki faida kabisa kwemye miradi yao na automatically tender zao zinakuwa lowest. Hio ndo sababu pekee zingine zote ni porojo tu

TBA nao wameanza hii kitu wanadesign na kujenga miradi profit free thats unfair competion man ndio maana unaona miradi mingi ya serikali wanaushia kupata taasisi za serikali
 
Mkandarasi kazi yake ni kujenga serikali yako ndio inachora na kuamua mitaro iwe na upana gani, barabara ziwe na upana gani etc kona zipite wapi na wapi nknk sitetei ujinga nakukumbusha tu miradi mingi ya barabara inachorwa na tanroads na tarura
Hakuna uchoraji wa hivyo.. mosi
Na ile ukipita ukaniambia ilisanifiwa nitakataa katakata.

Uzuri transport planning nina Idea nayo... Yale mautumbo hayana chochote. Na wapi ulisikia serikali huchora Mkuu?

Road designs hufanywa na engineering firms yawezekana isiwe inayojenga ila hufanywa na specialists ambao I can guarantee hawapo kila halmashauri.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo wakipewa kazi wanaboronga wanasingizia uzawa! Tunataka matokeo, unakuta MTU kapewa kazi haiishi au ubora zero!
Kwaiyo wachina ndo wapo vizuri eh.....Ila CCM mna laana kweli Yani hata sehemu ndogo Kama hii unataka ulete maneno yako ya ajabu dah!!!... Lord have mercy.
 
Km ni profit free wanawezaje kutu subcontract sisi wengine na tukapata faida na wao JKT wasipate faida? Hakuna anaweza kufanya biashara kichaa km hio.
Mkuu acha ku assume na ku guess mambo.
 

Serikali haina pesa na wanabana matumizi na ni wajanja sana hupenda kufanya design and supervision ya miradi mingi wenyewe ili kupunguza gharama ya kuengage consultants. Miradi complex na migumu ndo utaona wanahitaji washauri ila tarura, tanroads etcetc wanachora wenyewe na hapo ndipo changamoto huanzia maana wana wataalamu wachache na wengi tia maji tiamaji sababu ya kuwekana na miradi ni mingi hivyo wengi huborobga kazi au huchora kwa mazoea etcetc unaweza angalia mchoro wa eng wa halmashauri mpaka ukashangaa.
Halafu unavyoambiwa serikali inachora usidhanie ni raisi au waziri anakuja kuchora namaanisha taasisi za serikali ndo huchora mfano tarura, tanroads, etcetc

Mkandarasi hawezi jenga tofauti na mchoro na mkataba hiko kitu hakipo na kama kikitokea atafukuzwa site mara moja hicho unachokiongelea practically hakiwezekani
 
Wametumwa na Mabeberu hao, Mbona Mayanga halalamiki?🤣🤣
 
Kama ndio practice... Basi the entire team ya wataalamu wa Kahama wafukuzwe. Ule ni upuuzi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…