Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #21
Mzee na wewe unateseka kiasi hiki.tunafunga booster mbele mtakufa sita kwenda mbele mwaka huu.Yani niteseke na ligi ya michongo? Wewe haupo serious.
Huyu ni failure kutoka Morocco ambaye ni lulu kwenye ligi ya michongo.
Unaweza kuweka tusi nililotukana hapa mwanangu. Naona sasa hivi wanayanga wanaweweseka.Naona unatusimanga
Acha dharau zako dogo, Simba na Yanga ni watani,unatakiwa kutania na siyo kutukana
Jamii forum
Haa HaaMabingwa wa muda wot lig kuu bara tz
Sasa nani anajaribu wachezaji? Kama sio nyie Viporo FC yule Mnaija wenu aliyekuja majaribio na Shiboub mmewaweka chaka gani?Kitu kimoja ambacho kitampa sana mafanikio simba mbele ya yangu ni hizi sajili.
Sajili nyingi za yanga zaungo wachezaji wakaida sana. Unatemea mwakani yanga ishiriki club afu ngushi awavushe kwenye makundi kuwapeleka robo.
Yanga haipaswi kusajili kwaajili ya kujarib wachezaji inapaswa kufanya sajili za wachezaji ambao tyr washa achive ili kuja kufanya makuu yanga.
Yanga akisha mfunga Simba kamaliza, hata wakikosa kombe wala haiwasumbuiKwa ulejeo wa chama kwenye kikosi cha Simba mbio za ubingwa zimeisha sisi ndala tujipange kwa msimu ujao
Nimekugonga wakati hao wote wakiwemo,misimu miwili mfululizo nimechukua points 4 pamoja na huyo mchezaji wako aliyeflop Morocco akiwa ndani.Mzee na wewe unateseka kiasi hiki.tunafunga booster mbele mtakufa sita kwenda mbele mwaka huu.
Hii inaitwa mama mkanye mwanao.View attachment 2081937
Kwani hilo kombe Simba kachukua mara ngapi na Yanga mara ngapi? Halafu jiulize nani anafurahi akimfunga mwenzie.Yanga akisha mfunga Simba kamaliza, hata wakikosa kombe wala haiwasumbui
Mzee wa history. Mpira ni sasa, Mpira ni makombe sasa mnang'ang'ania vi historia vidogo vidogo.Nimekugonga wakati hao wote wakiwemo,misimu miwili mfululizo nimechukua points 4 pamoja na huyo mchezaji wako aliyeflop Morocco akiwa ndani.
Nimekugonga tena kwenye ngao na haohao wachezaji wako na utagongwa tena.
Hata ngao ni kombe au ndio sizitaki mbichi hizi. We kubali ngao ya hisani ulizidiwa ukagongwa.Mzee wa history. Mpira ni sasa, Mpira ni makombe sasa mnang'ang'ania vi historia vidogo vidogo.
Kuna mchezaji gani mpya hapo ambaye hakuwepo kabla?Mzee na wewe unateseka kiasi hiki.tunafunga booster mbele mtakufa sita kwenda mbele mwaka huu.
Hii inaitwa mama mkanye mwanao.View attachment 2081937
Kwa ulejeo wa chama kwenye kikosi cha Simba mbio za ubingwa zimeisha sisi ndala tujipange kwa msimu ujao
Ahsante [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwani hilo kombe Simba kachukua mara ngapi na Yanga mara ngapi? Halafu jiulize nani anafurahi akimfunga mwenzie.
Halafu jiulize Dalali na Kaduguda wao walikuwa wanajisifia kitu gani enzi za uongozi wao?.
Enzi hizo mnashindia chapati za Kaduguda, kuna siku mkamuuzi Kaduguda akaanza kudai chapati zake.
Chama ametoka Morocco kwa issue za nje ya uwanja.Yani niteseke na ligi ya michongo? Wewe haupo serious.
Huyu ni failure kutoka Morocco ambaye ni lulu kwenye ligi ya michongo.
Huoni au mpaka nikupige Kofi!?Kuna mchezaji gani mpya hapo ambaye hakuwepo kabla?
Unampima mchezaji kwa Mechi moja wakati mechi kibao alikuwa anakisugua benchi.Kama ndio hivyo Ajibu msinge muuza,kwani mechi yenu na Namungo FC msimu huu mliyo shinda dk za nyongeza yy ndiye aliyekuwa man of the match na bado mkamuuza mkidai kadrop/mvivu.Chama ametoka Morocco kwa issue za nje ya uwanja.
Mechi iliyopita tu ya Berkane alikuwa man of the match.
Failure ni Makambo.
Nyie ya Chama yanawauma nini?Umeandika ukiwa na maumivu makali sana kama vile usajili wa Yanga unakuhusu. Waache wenye Yanga yao hata wakisajiliwa wachezaji wa bei cheee wewe inakuuma nini?
Hujakosea . Hata aucho na mayere aliyetoka ligi ya wanaume nao wanacheza hiyo ligi ya wavulana. Ngoma draw.Tofauti yake ipo wapi, huyo Chama kadrop ligi ya wanaume kaja kwenye ligi ya wavulana wenye kelele nyingi mpira hamna.
Ndio hii ligi yetu ya wavulana.Hujakosea . Hata aucho na mayere aliyetoka ligi ya wanaume nao wanacheza hiyo ligi ya wavulana. Ngoma draw.