Wakati Simba ikimtangaza Chama, Yanga yamtangaza Ibrahim Bacca Kutoka KMKM Zanzibar

Wakati Simba ikimtangaza Chama, Yanga yamtangaza Ibrahim Bacca Kutoka KMKM Zanzibar

Yani niteseke na ligi ya michongo? Wewe haupo serious.

Huyu ni failure kutoka Morocco ambaye ni lulu kwenye ligi ya michongo.
Mzee na wewe unateseka kiasi hiki.tunafunga booster mbele mtakufa sita kwenda mbele mwaka huu.
Hii inaitwa mama mkanye mwanao.
Screenshot_20220114-175846.png
 
Naona unatusimanga

Acha dharau zako dogo, Simba na Yanga ni watani,unatakiwa kutania na siyo kutukana

Jamii forum
Unaweza kuweka tusi nililotukana hapa mwanangu. Naona sasa hivi wanayanga wanaweweseka.
 
Kitu kimoja ambacho kitampa sana mafanikio simba mbele ya yangu ni hizi sajili.
Sajili nyingi za yanga zaungo wachezaji wakaida sana. Unatemea mwakani yanga ishiriki club afu ngushi awavushe kwenye makundi kuwapeleka robo.
Yanga haipaswi kusajili kwaajili ya kujarib wachezaji inapaswa kufanya sajili za wachezaji ambao tyr washa achive ili kuja kufanya makuu yanga.
Sasa nani anajaribu wachezaji? Kama sio nyie Viporo FC yule Mnaija wenu aliyekuja majaribio na Shiboub mmewaweka chaka gani?
 
Mzee na wewe unateseka kiasi hiki.tunafunga booster mbele mtakufa sita kwenda mbele mwaka huu.
Hii inaitwa mama mkanye mwanao.View attachment 2081937
Nimekugonga wakati hao wote wakiwemo,misimu miwili mfululizo nimechukua points 4 pamoja na huyo mchezaji wako aliyeflop Morocco akiwa ndani.

Nimekugonga tena kwenye ngao na haohao wachezaji wako na utagongwa tena.
 
Yanga akisha mfunga Simba kamaliza, hata wakikosa kombe wala haiwasumbui
Kwani hilo kombe Simba kachukua mara ngapi na Yanga mara ngapi? Halafu jiulize nani anafurahi akimfunga mwenzie.

Halafu jiulize Dalali na Kaduguda wao walikuwa wanajisifia kitu gani enzi za uongozi wao?.

Enzi hizo mnashindia chapati za Kaduguda, kuna siku mkamuuzi Kaduguda akaanza kudai chapati zake.
 
Nimekugonga wakati hao wote wakiwemo,misimu miwili mfululizo nimechukua points 4 pamoja na huyo mchezaji wako aliyeflop Morocco akiwa ndani.

Nimekugonga tena kwenye ngao na haohao wachezaji wako na utagongwa tena.
Mzee wa history. Mpira ni sasa, Mpira ni makombe sasa mnang'ang'ania vi historia vidogo vidogo.
 
Mzee wa history. Mpira ni sasa, Mpira ni makombe sasa mnang'ang'ania vi historia vidogo vidogo.
Hata ngao ni kombe au ndio sizitaki mbichi hizi. We kubali ngao ya hisani ulizidiwa ukagongwa.

Huwezi kutenganisha historia na sasa, huwezi kuizungumzia sasa bila kujua mlipotoka na hapo historia ndipo inapo ingia.

Tatizo lenu mpira mmeujulia ukubwani, hebu pata shule 👇👇
Screenshot_20220115-103916_Chrome.jpg
 
Ngoja wafungwe kesho na coastal ndo ujue utopox hamnazo...wataanza kulia kama watoto wadogo. Furaha yao inaishiaga mwezi wa kwanza. Wanaanza kulia
 
Kwani hilo kombe Simba kachukua mara ngapi na Yanga mara ngapi? Halafu jiulize nani anafurahi akimfunga mwenzie.

Halafu jiulize Dalali na Kaduguda wao walikuwa wanajisifia kitu gani enzi za uongozi wao?.

Enzi hizo mnashindia chapati za Kaduguda, kuna siku mkamuuzi Kaduguda akaanza kudai chapati zake.
Ahsante [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
rudi shule ya msingi ukajifunze hisabati kwanza, huo mshahara wa huyo mchezaji kutoka zenji ulioandika unasomekaje?
 
Yani niteseke na ligi ya michongo? Wewe haupo serious.

Huyu ni failure kutoka Morocco ambaye ni lulu kwenye ligi ya michongo.
Chama ametoka Morocco kwa issue za nje ya uwanja.

Mechi iliyopita tu ya Berkane alikuwa man of the match.

Failure ni Makambo.
 
Chama ametoka Morocco kwa issue za nje ya uwanja.

Mechi iliyopita tu ya Berkane alikuwa man of the match.

Failure ni Makambo.
Unampima mchezaji kwa Mechi moja wakati mechi kibao alikuwa anakisugua benchi.Kama ndio hivyo Ajibu msinge muuza,kwani mechi yenu na Namungo FC msimu huu mliyo shinda dk za nyongeza yy ndiye aliyekuwa man of the match na bado mkamuuza mkidai kadrop/mvivu.
 
Tofauti yake ipo wapi, huyo Chama kadrop ligi ya wanaume kaja kwenye ligi ya wavulana wenye kelele nyingi mpira hamna.
Hujakosea . Hata aucho na mayere aliyetoka ligi ya wanaume nao wanacheza hiyo ligi ya wavulana. Ngoma draw.
 
Back
Top Bottom