Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

Nawe kuwa Mkenya sie tuachie Yanga na Simba setup.
Uku ndio hakuna stress.
 
Utumwa huo, eperties ni wachache sana
Experts wachache Kenya? Kama kuna Nchi ya Africa ambako kuna ibukia Tech Start Ups nyingi , basi Kenya ni moja ya Kitovu cha Innovators, has in Tech related innovations. Ndo maana hata major Investors kwenye early stages Companies wako Kenya. Kule wako mbali Bro.
 
Mh Bashe anaupiga mwingi ! Anajua anachokitafuta kupitia BBT
 
Kwa hiyo nchi hii wataalamu wote wana ajira?
Acha uzuzu , JK alirudisha wangapi ukiacha wale dada washikaji zake mojawapo yule aliyemtoa Sounth Africa akampa kuwa CEO pale TIC? Nan baada ya Jembe kuja akakutwa analipwa Mshahara wa Kufuru akamwambia either akubali Mshahara kupunguzwa au aachie ngazi, akaamua kutimuka tena? Yule alikuwa just MC ambaye JK alikutana naye South Africa wakati wana Kikao kule ndipo akavutiwa naye, siyo kwa umahili wake Kichwani bali muonekano wake .
 
Acha uzuzu , JK alirudisha wangapi ukiacha wale dada washikaji zake mojawapo yule aliyemtoa Sounth Africa akampa kuwa CEO pale TIC? Nan baada ya Jembe kuja akakutwa analipwa Mshahara wa Kufuru akamwambia either akubali Mshahara kupunguzwa au aachie ngazi, akaamua kutimuka tena? Yule alikuwa just MC ambaye JK alikutana naye South Africa wakati wana Kikao kule ndipo akavutiwa naye, siyo kwa umahili wake Kichwani bali muonekano wake
 
Walio na visenti hawaendi ughaibuni?
Watoto wa hao unaowaita wana Visenti hapa Bongo , wote wako Ughaibuni. Nani kakudanganya. Hata hao Viongozi unaofanyia Uchawa watoto wao wako huko Ughaibuni na wengine wazazi wao wana Mighorofa huko tayari. We jidanganye eti Ughaibuni hapalipi endelea kula Mihogo ya kukaanga na Kachumbali hapo kwenu.
 
Mkuu umenielewa kweli? Au umeamka na mning'inio wako ukachomoa simu chaji ukaanza kuandika tu
 
Ujermani tayari idadi ya wazee ni kubwa kama Italy, na nguvu kazi imepungua sana hasa za kazi kama drivers, gardeners, wapishi, wafanya usafi, hivo hapo hakuna jipya, watalipwa hiyo pesa na kodi watalipa vilevile,
Ili nakubaliana kabisa maana wanaofanya kazi Leo ndio wanawalipa wazee Kwa Kodi wanazokatwa hivyo lazima waongeze wafanyakazi kulipa kundi kubwa la waliostaafu.
 
Unajua mawazo na akili ndogo ziache huko kwenye family. Unachoongea sio kweli . Mbona Egypt imeendelea kiuchumi na kuna Zamaleik na Ahly na Pyramid. Mbona Morroco imeendelea na kuna timu kubwa tu. Mbona South African imeendelea na kuna Mamelod na Kaiser Chiefs. Uliochoongea ni uongo uongo.
 
Na
Nataka ujue wengi wako nje na mikopo hawajalipa sasa tatizo ni la nchi Hilo sera mbovu za ajira
 
Kwanza wanachoeshimu ni matumizi ya lugha yao ndio kipaumbele ila sio kwamba kama ujui lugha uwezi kupewa msaada Kwa lugha kama English coz ni lugha wanaielewa ila awaipi kipaumbele sababu ya tamaduni zao hapa
 
Ukiwa unafuatilia passport tu bongo ndio utaelewa sisi ni nchi ya namna gani, mtu una kitambulisho cha uraia ila bado hakitoshi!
 
Tofauti ni namna sisi wabongo tulivyoweka mawazo na muda wetu mwingi kujadili na kuandika mambo ya Yanga na Simba na kuacha mambo megine mengi ya kijamii na kisiasa ambayo yana athari ya mojo kwa moja katika maisha yetu hapa Nchini. Hata England kuna Timu maarufu na zina wafiasi, but it doesnt distract people from their focusing to other important matters that affect their daily life. Sisi wabongo Serikali imejua udhaifu wetu huu na ndiyo imezidi kukoleza chunvi na pilipili kupitia vitu kama Goli la mama. Huyu mama yuko very smart na ametupatia.
 
Ujerumani wanaongea Kiingereza?
Get your facts straight wacha kuongea kama zuzu, Kila mtu anasoma English as a secondary language hapa kwetu, ni sawa tu na nyingine zote ambazo English sio lugha ya kwanza!
Ujerumani wanaongea Kijerumani na Kingereza, Ujerumani ndio taifa la pili Ulaya baada ya Uingereza kuwa na wazungumzaji wengi zaidi wa English.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…