Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

Team Diomond vs Hermonize or Ali Kiba?
 
Tuendelee kuwa chawa, majirani wanatoboa, nilicheka eti walimu wazuri wa Kiswahili ni Wakenya dah
Ni aibu kwa Nchi yetu. Akina Balile walienda kujaribu DW wakarudi, si kwa kuwa hawajui Kiswahili ila kiasi gani cha materials kimo kichwani
 
Hili suala nimeongea sana humu jf. Shida kubwa ni kwa watunga sera wa bongo hawajui kuongea English na wengi ni wazee waliochapwa bakora na mjerumani kuchimba barabara. Hivyo suala la English kuwa teaching language tz litakuja naturally baada ya wazee wote waliopo sasa kufa, kuwa mavumbi na kupotea duniani. Haya mazee ya chama ndio kikwazo kikubwa kujidai tunakuza kiswahili ambayo ni mother tongue hatuhitaji kuitumia kujifunza it is our native language haitopotea maana tutaongea nyumbani na mitaani.

Cha ajabu wanaozuia English isiwe medium of instruction bongo from nursery to university wanasomesha watoto wao academy za English medium na wengine nje ya nchi kabisa. These selfish bongo seniors are nonsense kabisa.

Bimkubwa anabonga English nzuri sana hadi unafurahi kumsikiliza (refer Royal Tour) kila siku natamani kusikia amemwita Waziri wa Elimu amwambie mchakato uanze tusome in English from vidudu otherwise bongo itabaki maskini milele.

Mwanangu wale wa basi la njano ana 12 years tu ila anaongea fasaha English sawa na form six aliepitia mfumo wa kayumba.

Nyerere keshaenda ila bado mazee nuksi ya bongo yanamuogopa hayataki kufuta kiswahili chake mashuleni!
 
Safi sana. Ni wazo zuri kuachana na wenye harufu ya UJAMAA.
Ujamaa haujwahi kuwa Mbaya. Huko China kwenyewe tunakoenda kila siku kutemebeza Bakuli wao mpaka leo bado hawajauacha ujamaa, ila wameuboresha . Bado ni role model ya ufanisi wa Sera za kijamaa wa advanced level ambao umekuwa tuned kwendana na maendeleo ya Karne ya 21.
 
Ujerumani pia imepanga kuwafukuza Wanaijeria elfu kumi na tano na kuwarudisha nyumbani Wasiria Wairaq na Waafghanistan.
Waarabu, wahindi na popo hawakubaliki huko abroad kwa tabia zao za kijinga
 
Pamoja nakuwa mfuasi na mshabiki wa JPM (RIP) Lugha nayo ilikuwa ni tatizo kwake na ndiyo maana alikuwa anataka hata Kiswahili kichukue nafasi ya Kiingereza mashuleni na hata Vyuo Vikuu vyetu. Graduates wetu wenyewe Ligha ya Kiingereza ni Kichomi kwao, so hawawezi shindana na wa Kenya ,Uganda or eveni our SADC neighbors
 
Tatizo ni viongozi tulionao hawana vision bora na ubinafsi umewajaa.
Ndiyo maana napendelea kuchagua Kiongozi siyo kwa Chama au jukwaa analopitia bali uwezo wake Binafsi. Mengine yote yanaweza kurekebika once una Kiongozi anayejua majukumu yake na anayejua anataka kulipeleka Taifa lake wapi. Akina Kagame siyo wasomi wakubwa, bali walikuwa na Uzalendo kwanza na pia walijua wapi wanataka Taifa lao lielekee kulingana na mazingira waliyomo .
 
English is an International Language Bro. Ndo maana hata Wachina pamoja na kuwa na closed system, bado wanahangaika kujifunza na kuongea Kingereza. Huwezi kukwepa English. Nani alikwambia Germany is an international Language? EU Labour market ni moja tu na English is the main working Language. Usitake kukwepa kwa sababu kinaleta shida kwetu kukimudu. Jitahidi .
Ujerumani wanaongea Kijerumani. Point yako ni ipi sasa!
 
Waarabu, wahindi na popo hawakubaliki huko abroad kwa tabia zao za kijinga
Hapana siyo hivyo. Tatizo unasikiliza Taarifa bila kuzifuatalia kwa kina . Wanataka kurudisha wale wakimbizi ambao wameenda kule kinyume cha taratibu kama watafuta hifadhi. Hawa wa Kenya siyo Refugees wala ilegal Migrants, wao wanaenda kwa utaratibu wa kujazia gaps zilizopo kwenye Labour Market ya Germany. Wanaenda watu professionals, kama umesikia vuziri leo taarifa wakati Ruto anatliana saini ya haya makubaliaono na Chancellor wa Ujerumani leo.
 
Kuna mkenya, kwenye hiyo conference anafundisha vijana kukarabati ndege, Serikali ya Kenya, imekubali kumsadia kuingiza ndege za kufundishia Kenya, ili vijana kibao wapate mafunzo, huku kwetu samia na, genge lake la ccm, walikumuwekea vikwazo Tajiri kijana m wenzetu, Fernandez asiwekeze bongo, na, NALA, akaenda kuwekeza Kenya,! Ccm inaogopa vijana wengi wakiwa na nguvu za ki uchumi, watawatishia na, kuwa weka, roho juu, wasitswale ki uraiiini,
Kijana awe maskini wa, kipato, Afya duni, elimu ya, hovyo, anatawalika kirahisi,
Samia, yupo comfortable kukutana na mwijaku, baba levo, ndio level yake, lakini, hawezi, kukutana, na, Fernandez boss wa, NALA, au, wale vijana wenye kampuni ya Ramani, U Tajiri wa Fernandez wa, NALA, ni mara kumi ya u Tajiri wa, Diamond!
Vijana wa bongo wapo bize kujadili Iphone 16!, Kenya, wanavuka mipaka wapo mpaka Ireland, kutafuta maisha, mbongo, aliyezaliwa Dar, akipata uhamisho, kwenda Mtwara, Bukoba, Dodoma, anachanganyikiwa! Anaona, katupwa, mbali Sana, fuckers
 
Huu ni utumwa wa mawazo.
Huu ni ukoloni/utumwa mamboleo.
========
Itoshe, huu ni ufukara wa mawazo.
========
Uzuri Watanzania hawafikirii na mafuvu tupu. Sio watumwa wa mawazo na ni wakemeaji wakubwa, tena namba moja wa ukoloni mamboleo
Usikalili kwamba kila International enterraction ni Ukoloni Mambo leo? By the way what is Neocolonialism? Globalization is inevitable sir ! Kwa sasa tunachokabiliana na ambacho ni adaui no.1 wa Mataifa yetu ya Kiafrika ni watawala wetu wenyewe kutupora Mamlaka yetu sisi Wananchi . Tusisingizie wakoloni tena.
 
Kwetu ni system Ila vijana ambao tupo tayari kwenda kufanya kazi tupo na lugha tunajua mkuu.

English language tunaongea na kuandika

Pia kijerumani tunaweza kujifunza.
 
Tanzania ni pazuri kuishi, kuna amani na utulivu. Kenya nchi yao siyo nzuri kama Tanzania ndiyo maana wanakubali kuomdoka nchini mwao.
Tanzania hata wazungu wanalilia waende wakaishi
 
Kwetu ni system Ila vijana ambao tupo tayari kwenda kufanya kazi tupo na lugha tunajua mkuu.

English language tunaongea na kuandika

Pia kijerumani tunaweza kujifunza.
Hapa ni kumuomba Bimkubwa atuombee wabongo fursa kama hii US kule hatushindwi!!
 
Ujerumani wanaongea Kiingereza?
Get your facts straight wacha kuongea kama zuzu, Kila mtu anasoma English as a secondary language hapa kwetu, ni sawa tu na nyingine zote ambazo English sio lugha ya kwanza!
The problem is not learning English be it from Kindergarten or Secondary levels or even at College, the problem is what you grasp and store in your head. Unatoka povu kwa kuwa wewe ni moja ya wale mnahesabu milango ya vyumba vya madarasa maliyopitia but not what you received and stored in your head.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…