Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
Balozi zetu zitengeneze nafasi uone kama lugha itakua kipengele! Watu wana vigezo sema wapo Bunju wanafuga kuku siku ziendeShida lugha kwetu ni tatzo
Kwani biashara ya kuku hailipiBalozi zetu zitengeneze nafasi uone kama lugha itakua kipengele! Watu wana vigezo sema wapo Bunju wanafuga kuku siku ziende
Haya maneno we umeyatoa wapi ya kulipa au kutokulipa?Kwani biashara ya kuku hailipi
Nimeuliza mkuu sasa kama unapata visenti uko ughaibuni kuna faida gani?Haya maneno we umeyatoa wapi ya kulipa au kutokulipa?
Walio na visenti hawaendi ughaibuni?Nimeuliza mkuu sasa kama unapata visenti uko ughaibuni kuna faida gani?
Nimekuuliza wewe mfuga kuku...au unataka kwenda kufuta vinyeo vya wazunguWalio na visenti hawaendi ughaibuni?
Upo negative sana chaliangu! πNimekuuliza wewe mfuga kuku...au unataka kwenda kufuta vinyeo vya wazungu
Sasa wewe ukiwa positivity na mimi nikiwa positivity hizi negativity tunamuachia nani ππππUpo negative sana chaliangu! π
Acha watu wakashike dollar huku hizi za Madafu inatosha, Haya mambo hata kwa kujipambania inawezekana sema kama kile kitonga walichopata wakenya ina security flanSasa wewe ukiwa positivity na mimi nikiwa positivity hizi negativity tunamuachia nani ππππ
π΅ kila la kheri mkuu ukifanikiwa account yangu ni ile ile πππAcha watu wakashike dollar huku hizi za Madafu inatosha, Haya mambo hata kwa kujipambania inawezekana sema kama kile kitonga walichopata wakenya ina security flan
Mi siendi huko takufa na upwiru labda niende Dubai vacation nipate picha mbili tatu narudi Tandahimbaπ΅ kila la kheri mkuu ukifanikiwa account yangu ni ile ile πππ
Mkuu upwiru tena ππMi siendi huko takufa na upwiru labda niende Dubai vacation nipate picha mbili tatu narudi Tandahimba
Huku Tz kimtindo hili lifestyle la Kijamaa tamu sana sasa jichanganye uende mambele kizembe utapiga ny3t0 mpaka Abdala kichwa wazi atabadilika rangiMkuu upwiru tena ππ
Tuambie ni mtumwa yupi alikuwa analipwa kwenye somo la history, usilete matangopori yenu ya kijinga kutoka Kwa wajinga wenzio huko ccm ndio maana lichama lenu limewageuza mazwazwa ya imba imba huku yakiteka na kuuwa watu.illiteracy, Jielemishe kwani watumwa walikuwa hawalipwi?
Ccm inaogopa sana DiasporaWabongo wanapenda kulalamika diasporas hawatoi connection ila hata siku moja hawaulizi serikali yao imefanya jitihada gani kupunguza tatizo la ajira nchini kwa kuingia mikataba kama hii. Bongo kuomba passport tu unaonekana muhaini let alone uraia pacha. Bongo bado ipo stone age from miviongozi to wananchi wote empty set kabisa.
Wabongo mmefungwa akili utajiri wenu mkubwa ni natural resources kitu ambacho sio kweli. Number one asset ni human resources. Watu wenye elimu, skills na wanaojua lugha. Kila nchi ina natural resources nyie endeleeni kudhani hivyo vimadini ni dili sana wakati dunia nzima ina natural resources. Human resources is the biggest asset there is.
Akilo hizi ndio zinawafanya Watz wasitoke nje.Huku Tz kimtindo hili lifestyle la Kijamaa tamu sana sasa jichanganye uende mambele kizembe utapiga ny3t0 mpaka Abdala kichwa wazi atabadilika rangi