Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

Serikali ya Tanzania inafikiria hapa kufikia bei ya mtu maarufu ndani ya Chadema na kupoteza watu shame on CCM
 
Sasa wewe ukiwa positivity na mimi nikiwa positivity hizi negativity tunamuachia nani 😂😂😂😂
Acha watu wakashike dollar huku hizi za Madafu inatosha, Haya mambo hata kwa kujipambania inawezekana sema kama kile kitonga walichopata wakenya ina security flan
 
Acha watu wakashike dollar huku hizi za Madafu inatosha, Haya mambo hata kwa kujipambania inawezekana sema kama kile kitonga walichopata wakenya ina security flan
💵 kila la kheri mkuu ukifanikiwa account yangu ni ile ile 😂😂😂
 
illiteracy, Jielemishe kwani watumwa walikuwa hawalipwi?
Tuambie ni mtumwa yupi alikuwa analipwa kwenye somo la history, usilete matangopori yenu ya kijinga kutoka Kwa wajinga wenzio huko ccm ndio maana lichama lenu limewageuza mazwazwa ya imba imba huku yakiteka na kuuwa watu.
 
Wabongo wanapenda kulalamika diasporas hawatoi connection ila hata siku moja hawaulizi serikali yao imefanya jitihada gani kupunguza tatizo la ajira nchini kwa kuingia mikataba kama hii. Bongo kuomba passport tu unaonekana muhaini let alone uraia pacha. Bongo bado ipo stone age from miviongozi to wananchi wote empty set kabisa.

Wabongo mmefungwa akili utajiri wenu mkubwa ni natural resources kitu ambacho sio kweli. Number one asset ni human resources. Watu wenye elimu, skills na wanaojua lugha. Kila nchi ina natural resources nyie endeleeni kudhani hivyo vimadini ni dili sana wakati dunia nzima ina natural resources. Human resources is the biggest asset there is.
Ccm inaogopa sana Diaspora
 
Back
Top Bottom