Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

Tanzania ni Nchi yenye Opportunities nyingi tu, sitarudia waliyosema wengine ila bottom line ukishindwa Kutoboa hapa kuna possibility kubwa huko kwengine pia kuka kushinda.
Labda unaishi Tanzania ya Mars ndugu ,si Tanzania hii tunayoishi sisi , au kuna probability wewe ni wale ambao hamjawahi pitia hustling na msoto wake WA kutafuta life nchi hii from scratch up .
Ungekuwa umepitia msoto wa kutafuta pesa nchi hii from ground zero tena bila ajira wala mtaji ,usingeandika haya maujinga ya motivation speakers uchwara unayoyaandika humu
 
Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!,

Anyway tukirudi kwenye kichwa cha habari, Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya kazi nchini humo.

Makubaliano hayo yamefikiwa kati ya Rais William Ruto na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.

Makubaliani ni kuingiza experts sio vibarua, kundi la kwanza ni skilled workers (mfano wahandisi, it, wahasibu, madaktari, walimu, n.k), kundi la pili ni semi skilled workers (mfano madereva, wapishi, reception, store keeper, n.k)

Tayari madereva Watano toka Kenya wamefika kwenye mji wa Flensburg Ujerumani kupitia mpango huu. (Maderva hulipwa wastani wa euro 14 / shilingi elf 42 kwa saa)

Lugha kuu ujerumani ni kijerumani lakini asilimia 56 ya watu Ujerumani wanaweza kuongea kiingereza, ni sawa na kwenda Uganda unaweza usijue lugha yao ya kiganda lakini ukijua kiingereza inasaidia, inakuwa rahisi zaidi kujifunza kijerumani taratibu unapojua kiingereza.

Faida..
  • Fursa za kujiongeza kielimu na kupata kazi zenye mishahara ya kizungu (Mwalimu analipwa milioni 8 kwa mwezi)
  • Kupunguza tatizo la wahitimu wengi wasio na ajira Kenya, hata kwenye ajira za kiswahili mfano walimu wa kiswahili na watangazaji wa vituo vya Idhaa za Kiswahili kama BBC na DW, wakenya ni wengi na wanaenda kujazana zaidi.
  • Baadhi ya pesa wanazopata ujerumani zinarudi Kenya, mfano mdogo kutuma euro 500 nyumbani kila mwezi, ni kiasi kidogo ujerumani lakini kwetu ni shilingi milioni 1 na nusu, ni ada ya mwaka mzima chuoni, si haba ni mtaji wa kuanza biashara , n.k.
  • Kupata connections za biashara za kimataifa, Mfano kununua maparachichi Tanzania kwa mia mbili, kuyauza ujerumani kwa elf 5.
  • Diaspora inazidi kupanuka, baadhi ya sehemu kunakuwa na vijiji / mitaa iliyojaa wakenya
  • Inakuwa rahisi kwa wakenya kuingia ujerumani wakiwa na ndugu, marafiki na jamaa waliojaa nchini humo.
  • Wakenya kupata fursa za kutumia vipaji kupata pesa zaidi, Kuna vijana wadogo ujerumani wanacheza mpira wanakunja milioni 200 kila wiki.
  • n.k.
Hayo maswala wanaohusika na kutafuta hizo michongo si watu wa mhimili. Wenye mamlaka wqpo wanasifiana. Sisi tupo na kutekana hatutaki demokrasia halisi..
 
Labda unaishi Tanzania ya Mars ndugu ,si Tanzania hii tunayoishi sisi , au kuna probability wewe ni wale ambao hamjawahi pitia hustling na msoto wake WA kutafuta life nchi hii from scratch up .
Ungekuwa umepitia msoto wa kutafuta pesa nchi hii from ground zero tena bila ajira wala mtaji ,usingeandika haya maujinga ya motivation speakers uchwara unayoyaandika humu
Mimi nipo kariakoo, Nimemaliza nina degree sijahangaika na bahasha sababu opportunities ni nyingi. Mbeba mizigo kariakoo anapata hela nyingi kuliko hata Mfanyakazi TRA (ukiondoa rushwa na marupurupu), kama umekaa unahisi kazi ya Elimu ni kuajiriwa hatutafika popote pale na huu mjadala, ila kama upo flexible kuna opportunities nyingi mno.

Angalia nchi zote zilizotuzunguka Congo, Uganda, Kenya, Zambia, Malawi, Burundi etc wote hao wanakuja kwa wingi sana Tanzania kutafuta Maisha na Kutoboa, sisi Watanzania tupo wachache nchi zao sababu ngumu Kutoboa kwao.

Cha muhimu Soma upate Elimu, acha kukariri akili yako itafunguka na kuona vitu ambavyo wengine hawaoni.
 
Swali la kipumbavu kabisa , hii inahusiana nini na mada ya wakenya kupata fursa za kazi Germany ?
Ina maana wewe unatakwimu za kwamba hamna wajerumani wanaofanya kazi Kenya ?
Je ni wakenya wangapi wanafanya kazi Tanzania?ninayo maswali mengi unayoyaita ya kipumbavu.
 
Mimi nipo kariakoo, Nimemaliza nina degree sijahangaika na bahasha sababu opportunities ni nyingi. Mbeba mizigo kariakoo anapata hela nyingi kuliko hata Mfanyakazi TRA (ukiondoa rushwa na marupurupu), kama umekaa unahisi kazi ya Elimu ni kuajiriwa hatutafika popote pale na huu mjadala, ila kama upo flexible kuna opportunities nyingi mno.

Angalia nchi zote zilizotuzunguka Congo, Uganda, Kenya, Zambia, Malawi, Burundi etc wote hao wanakuja kwa wingi sana Tanzania kutafuta Maisha na Kutoboa, sisi Watanzania tupo wachache nchi zao sababu ngumu Kutoboa kwao.

Cha muhimu Soma upate Elimu, acha kukariri akili yako itafunguka na kuona vitu ambavyo wengine hawaoni.
Acha kuandika nadharia uchwara ndugu ,kwamba unajiona mimi zuzu Kariakoo silajui sio ?

Kwamba mbeba mizigo kariakoo amzidi kipato mwajiriwa wa TRA ?
Hii degree yako uliipata chuo gani , Udaku college au wapi ?
 
Je ni wakenya wangapi wanafanya kazi Tanzania?ninayo maswali mengi unayoyaita ya kipumbavu.
Hebu tengeneza uhusiano wa hoja yako hiyo na mada husika hii ,utumie logic kwenye akili yako hiyo fupi uone kama ina make sense
 
Mkubali mkatae kiswahili kimeturudisha nyuma sana .Tumekuwa kama hatupo duniani na kuna vichwa maji hawataki kuamini kwamba.!
 
Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!,

Anyway tukirudi kwenye kichwa cha habari, Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya kazi nchini humo.

Makubaliano hayo yamefikiwa kati ya Rais William Ruto na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.

Makubaliani ni kuingiza experts sio vibarua, kundi la kwanza ni skilled workers (mfano wahandisi, it, wahasibu, madaktari, walimu, n.k), kundi la pili ni semi skilled workers (mfano madereva, wapishi, reception, store keeper, n.k)

Tayari madereva Watano toka Kenya wamefika kwenye mji wa Flensburg Ujerumani kupitia mpango huu. (Maderva hulipwa wastani wa euro 14 / shilingi elf 42 kwa saa)

Lugha kuu ujerumani ni kijerumani lakini asilimia 56 ya watu Ujerumani wanaweza kuongea kiingereza, ni sawa na kwenda Uganda unaweza usijue lugha yao ya kiganda lakini ukijua kiingereza inasaidia, inakuwa rahisi zaidi kujifunza kijerumani taratibu unapojua kiingereza.

Faida..
  • Fursa za kujiongeza kielimu na kupata kazi zenye mishahara ya kizungu (Mwalimu analipwa milioni 8 kwa mwezi)
  • Kupunguza tatizo la wahitimu wengi wasio na ajira Kenya, hata kwenye ajira za kiswahili mfano walimu wa kiswahili na watangazaji wa vituo vya Idhaa za Kiswahili kama BBC na DW, wakenya ni wengi na wanaenda kujazana zaidi.
  • Baadhi ya pesa wanazopata ujerumani zinarudi Kenya, mfano mdogo kutuma euro 500 nyumbani kila mwezi, ni kiasi kidogo ujerumani lakini kwetu ni shilingi milioni 1 na nusu, ni ada ya mwaka mzima chuoni, si haba ni mtaji wa kuanza biashara , n.k.
  • Kupata connections za biashara za kimataifa, Mfano kununua maparachichi Tanzania kwa mia mbili, kuyauza ujerumani kwa elf 5.
  • Diaspora inazidi kupanuka, baadhi ya sehemu kunakuwa na vijiji / mitaa iliyojaa wakenya
  • Inakuwa rahisi kwa wakenya kuingia ujerumani wakiwa na ndugu, marafiki na jamaa waliojaa nchini humo.
  • Wakenya kupata fursa za kutumia vipaji kupata pesa zaidi, Kuna vijana wadogo ujerumani wanacheza mpira wanakunja milioni 200 kila wiki.

Safi sana. Ni wazo zuri kuachana na wenye harufu ya UJAMAA.
Kwangu mimi bado naona huu ni umaskini wa fikira kwa taifa kushindwa kutengeneza ajira kwa watu wake na badala yake kuwapeleka kwenda kuwa vibaraka kwa wazungu kwa ujira mdogo. Bora ule ugali na sukuma ukiwa huru kuliko kula pilau utumwani.
 
Wewe unaishi dunia gani? Unajua maana ya Diaspora na mchango wake kwenye uchumi wa nchi walikotoka. Unazo takwimu zake? Rudi shuleni ukasome ujielimishe zaidi. Hujachewa mbona!
 
Wewe ndo nikuulize unaishi dunia gani? Watafute hao wanajiita Diaspora wamefenya nini cha maana. Zaidi kuishi kufanya kazi kama punda usiku na mchana na bado hawawezi kuafford hata hela ya kwenda kwa kinyozi. Wazungu wenyewe wanakuja kutafuta utajiri Africa wewe unasupport mtu kwenda Ulaya kufanya kibarua huku akiitwa nyani?
 
Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!,

Anyway tukirudi kwenye kichwa cha habari, Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya kazi nchini humo.

Makubaliano hayo yamefikiwa kati ya Rais William Ruto na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.

Makubaliani ni kuingiza experts sio vibarua, kundi la kwanza ni skilled workers (mfano wahandisi, it, wahasibu, madaktari, walimu, n.k), kundi la pili ni semi skilled workers (mfano madereva, wapishi, reception, store keeper, n.k)

Tayari madereva Watano toka Kenya wamefika kwenye mji wa Flensburg Ujerumani kupitia mpango huu. (Maderva hulipwa wastani wa euro 14 / shilingi elf 42 kwa saa)

Lugha kuu ujerumani ni kijerumani lakini asilimia 56 ya watu Ujerumani wanaweza kuongea kiingereza, ni sawa na kwenda Uganda unaweza usijue lugha yao ya kiganda lakini ukijua kiingereza inasaidia, inakuwa rahisi zaidi kujifunza kijerumani taratibu unapojua kiingereza.

Faida..
  • Fursa za kujiongeza kielimu na kupata kazi zenye mishahara ya kizungu (Mwalimu analipwa milioni 8 kwa mwezi)
  • Kupunguza tatizo la wahitimu wengi wasio na ajira Kenya, hata kwenye ajira za kiswahili mfano walimu wa kiswahili na watangazaji wa vituo vya Idhaa za Kiswahili kama BBC na DW, wakenya ni wengi na wanaenda kujazana zaidi.
  • Baadhi ya pesa wanazopata ujerumani zinarudi Kenya, mfano mdogo kutuma euro 500 nyumbani kila mwezi, ni kiasi kidogo ujerumani lakini kwetu ni shilingi milioni 1 na nusu, ni ada ya mwaka mzima chuoni, si haba ni mtaji wa kuanza biashara , n.k.
  • Kupata connections za biashara za kimataifa, Mfano kununua maparachichi Tanzania kwa mia mbili, kuyauza ujerumani kwa elf 5.
  • Diaspora inazidi kupanuka, baadhi ya sehemu kunakuwa na vijiji / mitaa iliyojaa wakenya
  • Inakuwa rahisi kwa wakenya kuingia ujerumani wakiwa na ndugu, marafiki na jamaa waliojaa nchini humo.
  • Wakenya kupata fursa za kutumia vipaji kupata pesa zaidi, Kuna vijana wadogo ujerumani wanacheza mpira wanakunja milioni 200 kila wiki.
  • n.k.
Sisi huku kwetu tupo bize na matamasha na umbea wa kina Mwijaku huko mjini IG.
 
Ukoloni mamboleo kaziniì......Africa shida tupu je tuliwahi kupewa au kudai uhuru?
Kipi Bora?
Ukoloni mambo Leo,tumekaa nchini hatuna ajira hali ngumu za maisha huku wachache wakineemeka na Asali

Kwenda nje kuajiriwa na kujipatia kipato
 
Acha wapinge kwa kadri wanavyoweza lakini ukweli kuhusu mahitaji ya kutumia lugha ya Kiingereza kufundishia kutoka shule ya awali mpaka Chuo kikuu yapo pale pale ili kuondoa aibu ya ENE KWESHENI.
Aliyesema "ene kwesheni" amepinga, yeye anasema aliuliza Kwa kiswahili "ene kwesheni" sasa kuna watu wana mtamsifiri vibaya Kwa aliuliza Kwa hiyo english yako
 
Ushahidi wa namna umaskini wetu unavyotupa sababu za kuja na hoja za kumlalamikia kila mtu ni huu uzi.

Umeshawahi kujiuliza ni kiasi gani cha pesa kinachotokana na mzunguko wa mechi zenye kuhusu Simba na Yanga?.

Umeshajiuliza huko TRA zinakwenda pesa kiasi gani zinazotokana na usajili wa wachezaji wa kigeni wanaokuja kuchezea Yanga na Simba?.

Msipende kuja na hoja za kishamba za kuchukia mchezo wa mpira kwa makosa ya kushindwa kujenga ajira kwa vijana.

Yanga na Simba ni viwanda vyenye kujitegemea katika wakati huu ambapo serikali kuu haiwezi kukidhi kuajiri vijana wengi wanaoingia kwenye soko la ajira na kukosa kuajiriwa.
 
Wewe ndo nikuulize unaishi dunia gani? Watafute hao wanajiita Diaspora wamefenya nini cha maana. Zaidi kuishi kufanya kazi kama punda usiku na mchana na bado hawawezi kuafford hata hela ya kwenda kwa kinyozi. Wazungu wenyewe wanakuja kutafuta utajiri Africa wewe unasupport mtu kwenda Ulaya kufanya kibarua huku akiitwa nyani?
Basi huna takimwu!
 
Back
Top Bottom