Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

Mkuu nadhani wewe ni exposure huna. Duniani kote nchi hutaftia wananchi wake nafasi mahala pengine wakafanye kazi. Wachina wote unaoona Tanzania ni diasporas, nchi yao imewataftia nafasi Tanzania waje kufanya kazi warudishe fedha nyumbani kwa sababu hakuna nchi inaweza kuajiri wanachi wake wote. Kwa akili yako hapo ni workforce exportation, hairuhusiwi.

Diaspora ni mtu ambae yuko sehemu nyingine tofauti na kwao akitafta pesa, wewe kama kwenu ni Mbeya, uko Arusha unatafta na kupata fedha unatuma mbeya wewe ni diaspora, ama basi ulitakiwa ukae tu kwenu mbeya utafte maisha maana kuondoka mbeya ni kupoteza nguvu kazi ya mbeya, na hapo sio mbeya tu, tutaanzia level ya familia, kitongoji, kijiji, kata, tarafa, wilaya na mkoa.

Vitu vingine mtu usiandike tu ili kuonekana unaandika.
Tatizo wewe ndio Huna comprehension ya kuelewa nilichoandika.

Lets take mfano huo wa China uliousema, hapa Tanzania kuna wachina wengi mno kazi zao ni kama

1. Wanauza Maduka bidhaa za China
2. Wanajenga miradi ambayo Serikali ya China ina Finance
3. Wanajenga miradi yetu tunawalipa etc.
4. Wapo kwenye Madini na Ku Exploit rasilimali nyengine.

Hapa kwetu kuna Maprofesa wangapi, Madaktari wangapi, na skilled labour wengine toka China waliokuwa exported toka China na kuleta huku? Figure ni ndogo sana.

Kila mchina unaemuona hapa ni kwa ajili ya Maslahi mapana ya China.

Ingekuwa tuna Vision unapeleka waTanzania Ujerumani viwanda vya magari na Advanced industries nyengine ku exploit tech zao na kuja kuziendeleza huku atleast ungekua una make sense.

Ila hii inayofanywa na Serikali zetu ni Siasa tu kusatisfy Mabwana wakubwa, Zamani walitaka Natural Resource wakaja kuchukua huku na sasa hivi wanakuja kuchukua Labour sababu wana shida nazo, huku Nchi za Ki Africa zinazidi kudidimia.
 
Our education system needs total overhaul and English should be used as a medium of instruction from Kindergarten to University. This is what Kagame & Co did by introducing English (removing French) in schools from down the academic ladder to the top when RPF took over Rwanda. Sasa sijui kama wale wa "Ene Kwesheni" watanialewa!

Hatujachelewa kabisa!
Kuna tofauti kati ya kusoma na kuwa na maarifa. Wengi wetu tunafikiri kusoma ndio kuwa na maarifa.

Na ukilitambua hilo, utajua kuwa hata ungekuwa na maarifa kwenye lugha yako ya asili bado ungekuwa na thamani. Ndio maana Wachina, Wajapani, Wajerumani, Wafaransa wapo wanajifundisha kwa lugha zao
 
Kama kuna uwezekano wa mtoto wako kwenda kusoma kwenye nchi zinazotumia kiingereza ama kifaransa mpeleke. Kiswahili ni lugha ya kufukuzia mashetani na sio zaidi ya hapo.
 
Kuna tofauti kati ya kusoma na kuwa na maarifa. Wengi wetu tunafikiri kusoma ndio kuwa na maarifa.

Na ukilitambua hilo, utajua kuwa hata ungekuwa na maarifa kwenye lugha yako ya asili bado ungekuwa na thamani. Ndio maana Wachina, Wajapani, Wajerumani, Wafaransa wapo wanajifundisha kwa lugha zao
Ni maarifa gani unayozungumzia wewe? Hao uliowataja wanafundishwa na lugha za watu wengine na hasa zile za kimataifa. Kumbe hawana sababu ya kufanya hivyo kwa sababu wanayo maarifa katika lugha yao ya asili kweli! Nakubaliana na hoja yako ya lugha za asili. Kiswahili ni lugha ya asili ya nani?
 
Ujerumani wamepinga hii taarifa Acha kuzingua.
Acha wapinge kwa kadri wanavyoweza lakini ukweli kuhusu mahitaji ya kutumia lugha ya Kiingereza kufundishia kutoka shule ya awali mpaka Chuo kikuu yapo pale pale ili kuondoa aibu ya ENE KWESHENI.
 
Acha wapinge kwa kadri wanavyoweza lakini ukweli kuhusu mahitaji ya kutumia lugha ya Kiingereza kufundishia kutoka shule ya awali mpaka Chuo kikuu yapo pale pale ili kuondoa aibu ya ENE KWESHENI.
Haya
 

Attachments

  • 20240916_103225.jpg
    20240916_103225.jpg
    110.6 KB · Views: 2
Hapa Bongo Kiwanda cha upumbavu ,ujinga na uchawa aka ccm ,kinakomaa kuzalisha na machawa na mafukara wa akili na mali ili kuendelea kutawala nchi ,
Kenya na nchi nyingine wanaangazia fursa huko nje watu wao waondokane na dhiki na uhaba wa ajira ,njoo Bongo sasa .
 
Kenya gen z wamekichafua kutokana na tatizo la unemployment na vijana kukosa prospects za maisha serikali imeact njoo Bongo sasa kwanza hizo fursa wangepeana makada wa chama chakavu cha mazezeta ccm kwanza .
 
Nashangaa mnabishana kwa vitu irrelevant , kinachotakiwa ni serikali kupitia balozi zake kuratibu haya mambo ya kusaka fursa kama hizo ajira na mambo mengine huko , wapo wanepal ,philipinos ,wapakistan dunia nzima hata English wanayozungumza ni kichefuchefu kabisa na haieleweki lakini wanazidi kusambaa huko kote uarabuni , Australia , Ulaya ,Marekani ,Canada nk
Tatizo kwa hapa Tanzania ni serikali ya ccm ,hii ccm ni cancer ya hii nchi tangia tunapata uhuru .
Ccm ni kama mama wa kambo ,roho mbaya ya kuhakikisha raia wake wanaendelea kuwa wajinga na mafukara ili watawaliwe vizuri na tabaka la Makada wakineemeka na rasilimali za nchi ,basi
 
Wewe gumbaru hao wakenya wamenda kama experts au vibarua?! Dereva ni expert wa nini?! Kuendesha gari la taka au?
Sasa wewe ni mpumbavu , wewe unawapangia wajerumani aina ya watu wanaowataka au nafasi za kazi walizo nazo ? , wewe na serikali yako ya Mazezeta ccm mlikuwa wapi miaka 60+ sasa kutengeneza hizo skilled jobs Kwa idadi unayoitaka kwa raia wa hii nchi ?
Unapozungumzia vibarua , hapa Bongo ni wangapi kati ya milioni 60 wanafanya kazi zisizo za vibarua ?
Au kubinua mkundV hapo kwenye kochi la shemeji yako sebuleni baada ya kuvimbiwa kiporo cha maharage na viazi ndio kunakutoa akili unaanza kuandika uharo kama malaya aliyelewa pombe ya chimpumu ?
Mpumbavu sana wewe .
Cha muhimu fursa za kipato kizuri na mazingira ya kazi yanayoridhisha zipatikane watu wakapige kazi waingize kipato cha kuendesha maisha yao na kuimprove living standards zao
 
it doesnt matter kapata ajira ndani ama hajapata ila kutoa resource za nchi nje ni ujinga, na usifikiri Ujerumani wana Target mtoto wa mkulima, wakitaka daktari wanachukua yule bingwa mwenye uzoefu, wakitaka injinia hawachukui mwenye gentleman ambaye anahangaika na bahasha, wanataka first class mwenye uzoefu. kesho na keshokutwa mgonjwa wa mguu akifanyiwa operation ya kichwa mtalalamika hali ya kuwa top cream za nchi mnazigawa.

watu ni resource kama madini na bandari, kama unaamini madini yanaibiwa na ni sawa kutoa watu 250K uwapeleke nchi nyengine basi tuna safari ndefu sana.
Kama wewe unazalisha Engineers na madkatari kila mwaka tena Lundo na unashindwa kuwatumia ,wewe ni nani kama sio mpumbavu ?
 
jiulize mbona wajerumani hawaji kufanya kazi kenya???
Swali la kipumbavu kabisa , hii inahusiana nini na mada ya wakenya kupata fursa za kazi Germany ?
Ina maana wewe unatakwimu za kwamba hamna wajerumani wanaofanya kazi Kenya ?
 
Wakenya ni watu wenye mtizamo chanya sana na bidii ya kazi.
Tatizo sio wakenya wala watz ,tatizo ni kwamba Bongo Hamna fursa hizo kama wakenya wanavyozipata za kazi huko nje , wewe unafikiri watz ni wajinga kwamba fursa kama hiyo waliopata wakenya itokee hapa washindwe kuichangamkia ?
Majitu humu yanaandika ujinga tu ila umasikini uliokithiri humu nchini nakuhakikishia kuna majitu humu yanaandika kwa dharau kuponda hizi fursa yataacha hata ajira zao na shughuli yanazofanya yakafukuzie hizo fursa za ajira nje .
 
Lets say Mtanzania anaenda China, kafika pale kaona fursa ya kuleta mizigo Watanzania wenzake, kafungua ofisi ya kuleta mizigo anacharge analeta, huyu ni Diaspora, anaisaidia nchi yake bila kuiathiri.

Ila una daktari yupo Hospitali XXX anatoka anaenda Kutibu Ujerumani, hata kama ataleta kiasi fulani cha hela sisi ndio losers.

Mtu kaenda mwenyewe that's one thing, Serikali kufacilitate raia wake iliowagharamia waende huo ni ujinga kiwango cha lami.
Hamna ujinga unaozidi ujinga wa kusomesha wataalamu na kuwadump nchini na kuwaacha wazagae mitaaani kama machokoraha bila mitaji wala ajira wala fursa zozote za kipato na future ,huo ni zaidi ya ujinga ,actually ni utaahira kabisa .
Na ndicho kinachofanywa na serikali yenu ya ccm
 
Kwa jinsi hii nchi ilivyo na majitu mavivu,malalamishi na mazembe.wacha wakenya watupige bao tu.
 
Hamna ujinga unaozidi ujinga wa kusomesha wataalamu na kuwadump nchini na kuwaacha wazagae mitaaani kama machokoraha bila mitaji wala ajira wala fursa zozote za kipato na future ,huo ni zaidi ya ujinga ,actually ni utaahira kabisa .
Na ndicho kinachofanywa na serikali yenu ya ccm
Tanzania ni Nchi yenye Opportunities nyingi tu, sitarudia waliyosema wengine ila bottom line ukishindwa Kutoboa hapa kuna possibility kubwa huko kwengine pia kuka kushinda.
 
Back
Top Bottom