baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Tatizo wewe ndio Huna comprehension ya kuelewa nilichoandika.Mkuu nadhani wewe ni exposure huna. Duniani kote nchi hutaftia wananchi wake nafasi mahala pengine wakafanye kazi. Wachina wote unaoona Tanzania ni diasporas, nchi yao imewataftia nafasi Tanzania waje kufanya kazi warudishe fedha nyumbani kwa sababu hakuna nchi inaweza kuajiri wanachi wake wote. Kwa akili yako hapo ni workforce exportation, hairuhusiwi.
Diaspora ni mtu ambae yuko sehemu nyingine tofauti na kwao akitafta pesa, wewe kama kwenu ni Mbeya, uko Arusha unatafta na kupata fedha unatuma mbeya wewe ni diaspora, ama basi ulitakiwa ukae tu kwenu mbeya utafte maisha maana kuondoka mbeya ni kupoteza nguvu kazi ya mbeya, na hapo sio mbeya tu, tutaanzia level ya familia, kitongoji, kijiji, kata, tarafa, wilaya na mkoa.
Vitu vingine mtu usiandike tu ili kuonekana unaandika.
Lets take mfano huo wa China uliousema, hapa Tanzania kuna wachina wengi mno kazi zao ni kama
1. Wanauza Maduka bidhaa za China
2. Wanajenga miradi ambayo Serikali ya China ina Finance
3. Wanajenga miradi yetu tunawalipa etc.
4. Wapo kwenye Madini na Ku Exploit rasilimali nyengine.
Hapa kwetu kuna Maprofesa wangapi, Madaktari wangapi, na skilled labour wengine toka China waliokuwa exported toka China na kuleta huku? Figure ni ndogo sana.
Kila mchina unaemuona hapa ni kwa ajili ya Maslahi mapana ya China.
Ingekuwa tuna Vision unapeleka waTanzania Ujerumani viwanda vya magari na Advanced industries nyengine ku exploit tech zao na kuja kuziendeleza huku atleast ungekua una make sense.
Ila hii inayofanywa na Serikali zetu ni Siasa tu kusatisfy Mabwana wakubwa, Zamani walitaka Natural Resource wakaja kuchukua huku na sasa hivi wanakuja kuchukua Labour sababu wana shida nazo, huku Nchi za Ki Africa zinazidi kudidimia.