Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Nyie wa Israel wa kwampalangeUmwelezee nani?
Nyie wa Israel wa kwampalangeUmwelezee nani?
Kati ya Marekani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Nielezee kwa kifupi sababu halisi za vita hivi, ili mtu akijitia upumbavu iwe ni shauri yake. Maana kuna watu tayari wamejazwa punzi kuwa Iran ni magaidi, wasiotaka maendeleo, wanaotaka kuuangamiza Ufalmu wa Mungu wa Israeli, na... 'malakia' mengine!
Iran ilifanya mapinduzi ya Wananchi mwaka 1979 na kufanikiwa kumwondoa mfalme aliyekuwa kipenzi cha Marekani, Shah Mohammad Reza Pahlavi. Shah (Mfalme) alikuwa nambari 1 Mashariki ya kati kwa kupendwa na Marekani kuliko hata Israel, Turkey au Saudi Arabia hivi sasa. Kama unavyoiona Israeli hivi sasa ilikuwa Iran.
Tukio la kupinduliwa Reza halikuipendeza Marekanai na kwa kweli lilikuja kama kustukiza kwani Marekani haikufikiria hata siku moja hilo lingewezekana. Kama unavyojua katika serikali vibaraka wananchi hawa patilizwi, na ndivyo ilivyokuwa hivyo Iran. Mapinduzi yalikuja kama tija ya umaskini katika nchi iliyokuwa nambari 1 kwa kuuza mafuta nje.
Fast Forward....chuki zilianza mara moja. Marekani ikijaribu kumrudisha Shah na Wairan, wote wakati huo, wakipinga. Ndipo Ayatollah Khomaini akaamuru Wanabalozi wa Marekani wazuiwe kuondoka nchini ili wawe kama dhamana ya kutotokea mapinduzi. Jambo hili lilipandisha mori wa Marekani na chuki. Tangu siku hiyo Marekani ikaiwekea vikwazo Iran hadi leo!
Kinyume na wengi walivyodanganywa, Ayatollah Khomeini alisimika Jamhuri ya Kiislamu baada ya kura ya maoni 1979, ambapo mfumo wa Kiislamu, Islamic Republic, ulikubaliwa na wengi kwa kura ya maoni ya asilimia 98.2. Hii ilikuwa kura ya wazi, huru na amani kabisa katika Mashariki ya Kati kuwahi kutokea, hata kushinda kura za Israel na Uturuki (zinazosifiwa kuwa na demokrsia), kwa mujibu wa UN wakati huo.
Wamarekani waliposhindwa kumrudisha Shah mapema, wakasuka mpango wa kumshawishi rais jirani wa Iraq, Saddam Hussein, kuishabulia Iran, angalau waweze kuiangusha Jamhuri changa kwa vita. Hilo halikufanikiwa, na kwa miaka 8 iliyofuata vita ikapiganwa. Kwanza Wairan walikuwa wanyonge, waliwekewa vikwazo vya kununua silaha na nchi zote, hata risasi! Hata na Soviet Union, nchi iliyojitambulisha kwa kuwatetea wanyonge na wanaokandamizwa!
Ila kutokana na akili, vipaji na ubunifu wa Wairan, kidogo kidogo wakajitengenezea silaha hadi ilipofika 1985 wakakomboa ardhi zao zote, bali wakaingia Iraq! Kumbuka, nchi zote za Kiarabu zilikuwa zikiisaidia Iraq kwa mabilioni. Ni Syria na Libya pekee waliomwunga mkono Iran, zaidi kwa maneno.
Ni katika kipindi hiki ndipo Iran ilipoanza kujijengea viwanda mbali mbali hasa vya silaha baada ya kupata fundisho baya.
SUALA LA NUKLIA
Hili ndilo suala ambalo Marekani inasema inaingia vitani kwa ajili yake.
Ni hivi, kwanza kuna tofauti baina ya silaha za nuklia na nishati ya nuklia. UN, baada ya kuona maafa makubwa yaliyosababishwa na Mabomu ya nuklia yaliyoangushwa na Marekani kule Nagasaki na Heroshima Japan mwishoni mwa vita kuu ya pili, iliweka taratibu kufanya Mataifa yote mengine yasiyokuwa bado yameunda silaha za nuklia kufikia mwaka 1950, wazuiwe kabisa kuundfa silaha hizo, lakini wapewe ruhusa ya kufaidika na nishati za nuklia, kwani nishati hizi zinaweza kutumiwa katika matumizi ya amani kama kufua umeme, madawa, kilimo na safina ziendazo chini zaidi baharini au kwenye anga za nje nk.
Hadi hapo ni Marekani, Urusi, China, France, Uingereza ndiyo zilizokuwa na silaha hizo pekee, Baadaye wengine wakazipata kinyemela, Israel, India, Pakistan na Korea ya Kusini (Hiyo ni hadithi kando).
Ili kuratibu utumiaji wa nishati za nuklia, mwaka 1968 wakaunda NPT, Nuclear non Proliferation Treaty, Yaani Mkataba wa Kuzuia Kusambaa kwa Silaha za Nuklia.
Kwa mujibu wake, nchi inayotaka kutumia nishati ya nuklia kwa mambo ya amani, labuda kwanza wajiunge na NPT, waahidi hawatatengeneza silaha, na pia vinu na mitambo yote ya kufulia nishati hiyo viwe chini ya udhibiti na uchunguzi wa mara kwa mawa wa Shirika hili NPT.
IRAN INABAGULIWA
Program ya nuklia ya Iran ilianza tangu wakati wa Shah ambaye alisaini NPT mwanzoni kabisa 1968. Marekani hasa ndiyo iliyomjengea Shah mitambo miwili ya mwanzo ya nuklia bila nongwa. Iran ilikuwa inanunua madini ya Urani au Kinywe kutoka Marekani bila matatizo yoyote, kwa ajili ya kutengeneza madawa hasa ya Kansa.
Tatizo likaanza kujitokeza wakati Serikali mpya ya Kiislamu, mwaka 1990, ikataka kununua mzigo kutoka Marekani kwa ajili ya wagonjwa wake. Wakati huo Iran ilikuwa na wagonjwa wasiopungua 40 elfu wa Kansa. Malimbikizo yaliyokuwepo kabla ya mapinduzi yalikuwa yamekwisha. Lo! Hammadi. Marekani, ikakataa kuuza urani kwa Iran, ingawaje hili ni kinyume cha Sheria za Kimataifa na NPT! Zaidi ya hivyo, kila Iran ilipokwenda kutafuta nchi nyingine, kama Brazil, Argentina, Japan....walikuta katazo la Marekani wasiuziwe!
Ungefanyaje kama wewe ni kiongozi wa nchi yako? Hapo ndipo Iran ilipanza fikra ya kuweza kutengeneza enrichment (kutakasa) yenyewe.
Kama nilivyokuambia, Wairan ni watu wana akili za ajabu sana. Lakini pia, kitu cha kwanza Serikali ya Kiislamu kukitilia mkazo ilipofika madarakani ni elimu. JHakuna kazi nzuri Iran kama mwalimu. Serikali imefungua vyuo vya viwango vya nchi zilizoendelea na zaidi. Hivi tusemavyo, kila mwaka wanafunzi wa Iran ndiyo wanaochukua namba 1, 2 katika mashindano ya Hesabati duniani (World Maths Olympics). Vyuo Vikuu vinne vya Iran ni kati ya 10 vinaongoza duniani katika Engineering!
Kifupi...wakaweza kujifanyia wenyewe enrichment...kurutubisha madini ya kinywe! Wamarekani macho yakawatoka, hawakuamini kamwa Wairan wenyewe wangeweza kufanya enrichment! Ni elimu ambayo hata nchi kama Italy, Spain, Sweden etc bado hawajafika!
MIZENGWE YA MAREKANI
Kwa kutaka kuzuia maendeleo ya Iran, Marekani ikishakizwa na Israel, ikaanza kuchochea kwamba Iran ina nia ya kutengeneza silaha za nuklia, ingawaje Iran imetia saini ya kutotengeneza silaha hizo, bali na Kiongozi wake wa Kidini Ayatollah Khomeini alitoa fatwa kwamba kutengeneza silaha kali za kuuwa binadamu kwa jumla bila kuchagua ni marufuku katika Uislamu.
Marekani imeshikilia Iran ina nia ya kutengeneza silah! Baya zaidi, marafiki wa Marekani, kama Israel, ina silaha za nuklia hasa na imekataa kutia saini ya kudhibiti silaha hizo....lakini Israel ndiyo hasa iko mbele katika kuisakama Iran ambayo haina!
NPT iliibana Iran kwa kuipa masharti magumu zaidi, mfano wawe waweza kutembelea mitambo yote bila hodi na bila kutoa taarifa.... Iran ilikubali hiyo ingawaje haikuwa lazima, lakini havijawaombea!
Kama unajua dunia vizuri, basi utajua kuwa Marekani ni koloni la Israel na kwa hiyo inafanya kila inaloamriwa na Israel, ikiwemo vita hii ijayo.
Israel haitaki kuona nchi yenye nguvu inayoshindana nayo. Na sababu kuu hasa ni kwamba inaogopa kwamba kukiwa na dola linaloweza kusikizwa duniani, hatimaye dola hilo litakuja kuilazimisha Israel kuwapa Wapalestiona sehemu zao ilizoziteka mwaka 1967 kwa mujibu wa UN.
Sehemu hizo, kama Gaza na Ufukwe wa Mashariki wa Mto Jordan, Wayahudi wanadai Mungu wao aliwakabidhi wao, miaka 3,000 iliyopita! Sisi tuliouliza tuone Hati hiyo Miliki ya Mungu....bado twasubiri majinbu. Ila baadhi ya madhehebu ya Kikristo huunga mkono hilo, Huko Marekani, Wakristo hao ndiyo wanaoshinikiza serikali yao juu ya kuisapoti Israel hata kinyume na sheria za Kimataifa!
Utaona ingawaje kuna udini fulani katika vita hivi kwa mtazamo wa Israel, lakini kwaa mtazamo wa siasa za dunia yetu ya sasa zinazosimamiwa na misingi ya haki na sheria....hii ni vita ya mbabe mwenye silaha kubwa kumkanyaga mnyonge. Might is right!
Iran hakuwahi kuwa Chaguo la kwanza kabla ya Israel.Pengine kuna takwimu sikuzicheki zaidi kutokana na muda, hasa katika mara Iran walizoshinda Olympiki hizi. Ila ni uwongo kusema mna uwongo mwingi humu. Orodhesha!
Uzi mrefu sana uliojaa UHARO mtupu!!!Kati ya Marekani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Nielezee kwa kifupi sababu halisi za vita hivi, ili mtu akijitia upumbavu iwe ni shauri yake. Maana kuna watu tayari wamejazwa punzi kuwa Iran ni magaidi, wasiotaka maendeleo, wanaotaka kuuangamiza Ufalmu wa Mungu wa Israeli, na... 'malakia' mengine!

Iran ni Magaidi hawajaanza leo toka 1979 walipoteza Ubalozi wa Marekani na wafanye Kai wao wote huo ni Ugaidi nakushangaa wewe unayewatetea kuwa si Magaidi!!!Maana kuna watu tayari wamejazwa punzi kuwa Iran ni magaidi, wasiotaka maendeleo,
Huo ni Ugaidi nakushangaa Gaidi lazima wawekewe vikwazo!!Ndipo Ayatollah Khomaini akaamuru Wanabalozi wa Marekani wazuiwe kuondoka nchini ili wawe kama dhamana ya kutotokea mapinduzi. Jambo hili lilipandisha mori wa Marekani na chuki. Tangu siku hiyo Marekani ikaiwekea vikwazo Iran hadi leo!
Rudi darasani ukasome Hiroshima na Nagasaki Mabomu ya Nuclear haya kutumika Marekani wali Tumia Mabomu ya Atomic Acha ujinga!!!UN, baada ya kuona maafa makubwa yaliyosababishwa na Mabomu ya nuklia yaliyoangushwa na Marekani kule Nagasaki na Heroshima Japan mwishoni mwa vita kuu ya pili,
Acha kupotosha Marekani na Israel ni Washirika (Allies) labda tu hujui maana ya Neno Washirika!!!Kama unajua dunia vizuri, basi utajua kuwa Marekani ni koloni la Israel na kwa hiyo inafanya kila inaloamriwa na Israel, ikiwemo vita hii ijayo.
Nakuambia tena rudi shule ukasome uondoe ujinga na Propaganda za waarabu unadai uone Hati kutoka kwa Mungu? Utasubiri sana na hao Wafuga Midevu na Majini wenzako!!kama Gaza na Ufukwe wa Mashariki wa Mto Jordan, Wayahudi wanadai Mungu wao aliwakabidhi wao, miaka 3,000 iliyopita! Sisi tuliouliza tuone Hati hiyo Miliki ya Mungu....bado twasubiri majinbu. Ila baadhi ya madhehebu ya Kikristo huunga mkono hilo, Huko Marekani, Wakristo hao ndiyo wanaoshinikiza serikali yao juu ya kuisapoti Israel hata kinyume na sheria za Kimataifa!
Iran hawezi kuruhusu wa kutengeneza silaha za Nuclear kwa sababu ana Nia ovu Alisha tangaza kuwa ataifuta Israel kwenye uso wa dunia!!! Mtu kama huyo anaruhusiwaje kuwa na silaha za maangamizi?MIZENGWE YA MAREKANI
Kwa kutaka kuzuia maendeleo ya Iran, Marekani ikishakizwa na Israel, ikaanza kuchochea kwamba Iran ina nia ya kutengeneza silaha za nuklia, ingawaje Iran imetia saini ya kutotengeneza silaha hizo, bali na Kiongozi wake wa Kidini Ayatollah Khomeini alitoa fatwa kwamba kutengeneza silaha kali za kuuwa binadamu kwa jumla bila kuchagua ni marufuku katika Uislamu.
Eti Kura ya wazi huru na Amani duniani hakuna kitu kama kupata 98.2 wakati wanawake na Jamii zingine hadi kupiga kura!!! Mazezeta tu kama wewe ndiyo wanaweza kufanya upuuzi huu wa kushabikia uongo wa kipumbavu kama huuKinyume na wengi walivyodanganywa, Ayatollah Khomeini alisimika Jamhuri ya Kiislamu baada ya kura ya maoni 1979, ambapo mfumo wa Kiislamu, Islamic Republic, ulikubaliwa na wengi kwa kura ya maoni ya asilimia 98.2. Hii ilikuwa kura ya wazi, huru na amani kabisa katika Mashariki ya Kati kuwahi kutokea, hata kushinda kura za Israel na Uturuki (zinazosifiwa kuwa na demokrsia), kwa mujibu wa UN wakati huo.
Acha kuteseka na Uongo wako!!! Usifikiri wote humu ni wajinga kama wewe!!Pengine kuna takwimu sikuzicheki zaidi kutokana na muda, hasa katika mara Iran walizoshinda Olympiki hizi. Ila ni uwongo kusema mna uwongo mwingi humu. Orodhesha!
Nakushangaa sana kusifia ujinga!!!Uzi bora kabisa hapa international forum
Katika watu magenius hapa JF wewe pia nakupa mauwa yako
Umechambua kwa umakini sana Big Up
Aksante sana kwa kumtoa tongotongo kwenye macho mjinga huyu!!Mleta mada, mengi aliyoyaandika ni uwongo mtupu:
1. Kudai kuwa Marekani iliitumia Iraq kuishambulia Iran, ni uwongo mkubwa. Ukweli ni kwamba baada ya Ayatollah kuchukua madaraka, alitaka nchi zote zenye waislam.wengi ziongozwe kwa Sharia, na watawala watoke kwenye kundi la Washia. Motive hiyo ya Ayatollah, kwa hofu ya washia wa Iraq kuipinfua serikali yake, Sadam Hussein alianzisha vita dhidi ya Iran. Kwa kuzingatia mahusiano mazuri ya awali kati ya Israel, Marekani na Iran, Israel iisaidia Iran kwa kuwapa silaha za Marekani.
Soma hapa:
Israel provided significant clandestine military support to Iran during the 1980–1988 Iran-Iraq War
. Despite public hostility from Tehran, Israel viewed Saddam Hussein's Iraq as a greater strategic threat and sought to weaken by supplying Iran with arms, intelligence, and military instructors.
2. Ni uwongo kudai Iran ina watu wenye uwezo mkubwa wa akili na kwamba eti kwa uwezo wao wa ndani waliweza kuanza kurutubisha nuclear energy. Tekinolojia ya urutubishaji nuclear energy, mwanzoni walisaidiwa na Marekani na Ujerumani, mahusiano yalipozorota, wakawa wanasaidiwa na Pakistani, Urusi, Argentina na China. Kusaidiwa na mataifa mengi kiasi hicho kunaashiria uwezo duni wa wataalam wa Iran. Soma hapa:
Following the 1979 revolution, Western support largely ceased, leading Iran to rely on Russian, Chinese, and clandestine sources to advance its program.
- United States: Initiated the program in 1957, supplied the Tehran Research Reactor (1967), provided weapons-grade uranium, and trained scientists.
- West Germany: Kraftwerk Union began constructing the Bushehr nuclear power plant in the 1970s before withdrawing after the 1979 revolution.
- Russia: Resumed construction of the Bushehr plant in 1995, utilizing Russian technology and expertise to complete the reactor.
- China: Provided assistance in the 1980s and 1990s, including training and potential technology transfers.
- Pakistan: A.Q. Khan's black-market network is believed to have supplied centrifuge technology for uranium enrichment in the 1990s.
- Argentina: Provided fuel for the Tehran Research Reactor in the 1990s.
Iran Watch +6
Sijui ni kwa unafiki au ujinga, mnaipaisha sana Iran, wakati nchi ipo kwenye uduni wa hali ya juu. Sasa hivi baada ya kukosa pesa za kigeni, inafanya bata trade na Pakistani.
3. Kusema kuwa eti Wairan, kwa sababu walikuwa na akili sana ndiyo waliweza kuunda makombora ya masafa marefu, ni uwongo wa hali ya juu. Mradi wa makombora wa Iran ulianzishwa kwa usaidizi wa North Korea, China na Urusi. Hayo mataifa yamekuwa yakinufaika na utajiri wa mafuta ya Iran, kwa malipo ya kuwafunfisha kutengeneza makombora kwa sababu yanajua kuwa ndio hamu ya Ayatollah. Ayatollah haumizwi na mateso ya Wairan, nguvu zake zote ameelekeza kwenye silaha ili aendelee kuwatawala Wairan kwa nguvu. Leo hii wakimbizi wa Iran waliopo Marekani na Ulaya ni zaidi ta milioni 3. Soma hapa uelewe programu ya makombora ya Iran ilisaidiwa na nani:
ballistic missile program has been built with extensive, long-term assistance from North Korea, Russia, and China. North Korea provided the initial technology, including Scuds, while Russia and China provided advanced components, materials, and training to develop longer-range and more accurate systems, enabling Iran to develop its own production capability.
Uwezo wa Iran katika tekinolojia ni duni sana. Wameshindwa hata kuprocess maji ya bahari kama inavyofanya Israel. Iran ina shida kubwa ya ajabu ya upatikanaji hata wa maji ya matumizi ya kawaida.
4. Kwenye mifumo ya ulinzi wa anga, Iran ilipewa baadhi ya mifumo na Urusi na China, pia wakafundishwa namna ya kutengeneza. Baadaye Iran ilidai kuwa iliweza kutengeneza mifumo ya ulinzi wa anga yenye uwezo wa zaidi ya ile ya S-300 iliyopewa na Urusi, cha ajabu, ilidhihirika mwakajana kuwa mifumo hiyo ni takataka tupu. Iran ilipigwa na ndege za Israel, nyingine zikiendeshwa na wanawake, kama vile nchi haina ulinzi wowote wa anga.
Ana miaka 86 sasa Khamenei, atatokea Khamenei mwingine...Ali Hosseini Khamenei siku zake zinahesabika.
Marekani imeendelea kufanya build-up kubwa sana ya kijeshi katika Middle East kwa siku za hivi karibuni bila kuvutia attention au kutengeneza headlines za kimataifa. Ni hivi karibuni tu Vladimir Putin alikiri kwamba linapokuja suala la media propaganda, huwezi kuishinda USA. Sasa hivi international headlines nyingi zinaongelea masuala ya Greenland, Epstein files, na kauli za Donald Trump kuhusu Gaza Board of Peace, huku Marekani ikiendelea kuimarisha build-up ya kijeshi Middle East. Kuna jambo linaonekana kuandaliwa katika Mashariki ya Kati, hasa kwa Mzee wetu Khamenei.
Huwezi kuipiga Iran pasipo kupeleka jeshi la ardhini..Lengo la USA ni kuipiga Iran mbona ipo wazi sana hiyo haitaji rocket science.
Tatizo lako ni matusi , humu kuna watu wanajiheshimu ni na ni sehemu ya kupeana elimu, kuanza kutukana mtu ni mjinga si busara haa kama mawazo yake yametofautiana na yako.Aksante sana kwa kumtoa tongotongo kwenye macho mjinga huyu!!
Kwenye hio profile picture umevaa gauni la mke wako?Wajinga wenzako ndiyo watakubaliana na uongo wako huu!!!
Katika vita vya siku 12 Ndege-Vita za Israel zilitawala anga lote la Iran hapakuwa na Nywinywinywi wala Nywinywinywi ndege -vita hizo ziliweza kupiga popote zilipotaka hakukuwa na upinzani wowote na Iran hawakuweza kuangusha hata ndege-vita moja ya Israel leo wewe unakuja kusifia Air defense System za Iran huo ni Ujinga uliopitiliza.
Unawasifia Waajemi ambao kwa vita ya siku 12 tu waliuwawa Makamanda waandamizi karibu wote akiwemo Mkuu wa Majeshi kwa kitendo hicho tu utajua hapo hawana Jeshi kulinganisha na Israel.
Majeshi ya Israel yaliweza kuua Makamanda wa IRGC na wataalamu wa Nuclear kama nzige angalia picha zao hapo chini
Uwongo...Kusema kuwa eti Wairan, kwa sababu walikuwa na akili sana ndiyo waliweza kuunda makombora ya masafa marefu, ni uwongo wa hali ya juu. Mradi wa makombora wa Iran ulianzishwa kwa usaidizi wa North Korea, China na Urusi.
Endelea tu kujifariji na kujipa moyo kuwa anatokea mwingine!!!! Ni kweli kabisa Gaidi Ayatollah Ali Khamenei siku za utawala wake zinahesabika na ni lazima atolewe atake asitake lazima ang’olewe tuAna miaka 86 sasa Khamenei, atatokea Khamenei mwingine...
Uo sahihi mkuu...Hizi hypersonic ballistic missiles; kama Oreshnik zitakuja kufanya nuclear missiles kuwa obsolete; kwa maana kwamba hadi hapo kinga dhidi yake itakapopatikana, hakuna haja ya kukimbilia nuclear ; kwa sababu zinasababisha uharibivu wa maeneo yaliyolengwa bila ya pingamizi lolote
System inarushwa angani, ikishuka inayo mishale minne au sita na kila mmoja umelenga eneo tofauti; na inauwezo wa kubadili mwelekeo. ikidondoka ilipolengwa joto la centigrade 4000 linaunguza kila kitu!
Kwa nini utumie nuclear na kupata laana bure!
Acha ujinga!! Ujinga si Matusi rudi shule ukasome uondoe ujinga kichwani kwakoTatizo lako ni matusi , humu kuna watu wanajiheshimu ni na ni sehemu ya kupeana elimu, kuanza kutukana mtu ni mjinga si busara haa kama mawazo yake yametofautiana na yako.
Wajaribu kumuua waone moto wake..Endelea tu kujifariji na kujipa moyo kuwa anatokea mwingine!!!! Ni kweli kabisa Gaidi Ayatollah Ali Khamenei siku za utawala wake zinahesabika na ni lazima atolewe atake asitake lazima ang’olewe tu
Hizo ni story za kijiweni!!Uo sahihi mkuu...
Oreshnik ilipigwa Ukraine... NATO iliitisha kikao haraka sana kujadili kile walichokiona ilikuwa ni silaha ya aina gani, maana vyuma vilikuwa vinatoka angani utasema ni aliens ndio wanashambulia...
Uwongo...
Kitu ambacho huwa kinasababisha kutozingatia posts zako ni kwa sababu una ubishi ule kama wa walevi wa pombe za kienyeji kwenye vilabu wakiwa wamelewa...Hizo ni story za kijiweni!!